Hivi kwanini Wanawake wengi walioolewa wanapenda sana kuonyesha pete zao za ndoa tofauti na sisi wanaume?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
10,532
2,000
Hello Jf.

Kuna kautafiti kangu kasiko rasmi nimekuwa nakafanya kisirisiri,nimegundua kwamba wanawake wengi walioolewa wanapenda sana kuonyesha pete zao za ndoa,utakuta anajipiga picha kwa kutumia simu but atahakikisha lazima pete yake ya ndoa inaonekana kwa watazamaji.

Hivi hii huwa ina maana gani wakuu?
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
57,793
2,000
Hello jf.
Kuna kautafiti kangu kasiko rasmi nimekuwa nakafanya kisirisiri,nimegundua kwamba wanawake wengi walioolewa wanapenda sana kuonyesha pete zao za ndoa,utakuta anajipiga picha kwa kutumia simu but atahakikisha lazima pete yake ya ndoa inaonekana kwa watazamaji.
Hivi hii huwa ina maana gani wakuu?
Wee uneona wapi mwanaume anaenda kwq Mwamposa aombewe kupata mke?
 
Possibles

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
1,608
2,000
Mwanaume huchagua mwanamke bora wa kumuoa.
Ndio maana mama wa Bi Harusi huitwa 'mama mzaa chema'.
Kwahiyo mwanamke akiolewa tayari huyo ni grade ya juu maana ameonekana 'chema na bora' kwa anayeolewa naye.

Kisaikolojia atajitahidi kwenye kila jambo kuonekana kuwa yeye ni 'mwanamke ambaye ameolewa'.

Na hakuna ubaya wowote kwenye hilo.

Mbaya ni mwanamkwe kutaka kulazimisha mumewe naye avae pete ilhal wanaume wengi hatupendi kuvaa pete za ndoa.
 
Mariki boy

JF-Expert Member
Nov 17, 2019
221
1,000
Wanaume muda mwingi tunakuwa kwenye majukumu kwaiyo pete huwa inaleta changamoto kwenye kukamilisha majukumu alafu ukiongeza na kiasi cha joto duniani yani ndo kabisa ukivaa joto lina ongezeka mwilini
 
Litro

Senior Member
Nov 18, 2018
141
250
Mwanaume huchagua mwanamke bora wa kumuoa.
Ndio maana mama wa Bi Harusi huitwa 'mama mzaa chema'.
Kwahiyo mwanamke akiolewa tayari huyo ni grade ya juu maana ameonekana 'chema na bora' kwa anayeolewa naye.

Kisaikolojia atajitahidi kwenye kila jambo kuonekana kuwa yeye ni 'mwanamke ambaye ameolewa'.

Na hakuna ubaya wowote kwenye hilo.

Mbaya ni mwanamkwe kutaka kulazimisha mumewe naye avae pete ilhal wanaume wengi hatupendi kuvaa pete za ndoa.
Kwanini hampendi mkuu?
 
johnhance

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
1,814
2,000
Proverbs 18:22
[22]Who so findeth a wife findeth a good thing, and obtaineth favour of the LORD.
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA.
achana na imaginations za makaratasi ayo aliotunga binaadam mwenzako, tunaongea in reality
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom