Jamaa "aokota" mwanamke ombaomba mtaani, amuogesha, atangaza ndoa

CORAL

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
2,789
1,782
Jamaa mmoja huko SA amebadilisha kabisa maisha ya mwanamke mmoja kijana---yaani kile ambacho wazungu wanaita u-turn. Alikutana na mwanamke huyo mtaani akiwa mchafumchafu akamuomba rand 50 kwani alikuwa na njaa sana.

Badala ya kumpa hela akale akambeba na kwenda naye nyumbani akamuogesha, akamlisha akamnunulia nguo nzurii!

Jitihada zake zikatokeza mwanamke mrembo sana. Jamaa akatangaza ndoa. Ndoa yao ni mwaka huu mwezi Mei.

======
1616583709660.png
The story was shared by a Facebook user who narrated how the couple met and added some pictures as well.

“He met her homeless and hungry in the streets. She asked him for R50 to buy food. He took her, cleaned and bought her new clothes. He searched for her relatives and ask them for a hand in marriage because she already said yes but he needed permission from her elders. 29 May 2021 they will be getting married. Their wedding is going to be very big.” He wrote.

Mrembo.jpg
 
Kuna vitu usirudie kuvitumia kama chanzo chako cha taarifa.

Mfano Opera News.

Yaani unakuta kuna picha ya huyo omba omba akiwa na jamaa kisha picha yao wakiwa wanatangaza ndoa, kwamba media ilikuepo siku jamaa anaombwa hela na ikawepo mpaka siku ya kutangaza ndoa.

Hizo ni clickbait kuhakikisha wanapata traffic.
 
Duuh sio FUTUHI hii? Mbona PISI kali?
Jamaa mmoja huko SA amebadilisha kabisa maisha ya mwanamke mmoja kijana---yaani kile ambacho wazungu wanaita u-turn. Alikutana na mwanamke huyo mtaani akiwa mchafumchafu akamuomba rand 50 kwani alikuwa na njaa sana.

Badala ya kumpa hela akale akambeba na kwenda naye nyumbani akamuogesha, akamlisha akamnunulia nguo nzurii!

Jitihada zake zikatokeza mwanamke mrembo sana. Jamaa akatangaza ndoa. Ndoa yao ni mwaka huu mwezi Mei.

======
View attachment 1733253
The story was shared by a Facebook user who narrated how the couple met and added some pictures as well.

“He met her homeless and hungry in the streets. She asked him for R50 to buy food. He took her, cleaned and bought her new clothes. He searched for her relatives and ask them for a hand in marriage because she already said yes but he needed permission from her elders. 29 May 2021 they will be getting married. Their wedding is going to be very big.” He wrote.
Swali ni, Je, watu wangapi wameshachezea hii "takataka " mpaka wewe uje uiokote uiweke ndani kama Mke?

Jamani, Mke, ni chombo cha heshima. Mke siyo takataka ya kuokota jalalani au mitaani. Mimi mtanisamehe kwakweli.
 
Jamaa mmoja huko SA amebadilisha kabisa maisha ya mwanamke mmoja kijana---yaani kile ambacho wazungu wanaita u-turn. Alikutana na mwanamke huyo mtaani akiwa mchafumchafu akamuomba rand 50 kwani alikuwa na njaa sana.

Badala ya kumpa hela akale akambeba na kwenda naye nyumbani akamuogesha, akamlisha akamnunulia nguo nzurii!

Jitihada zake zikatokeza mwanamke mrembo sana. Jamaa akatangaza ndoa. Ndoa yao ni mwaka huu mwezi Mei.

======
The story was shared by a Facebook user who narrated how the couple met and added some pictures as well.

“He met her homeless and hungry in the streets. She asked him for R50 to buy food. He took her, cleaned and bought her new clothes. He searched for her relatives and ask them for a hand in marriage because she already said yes but he needed permission from her elders. 29 May 2021 they will be getting married. Their wedding is going to be very big.” He wrote.

Pesa nomaaaa
 
Back
Top Bottom