Akina dada na kaka wanawekana kinyumba. Moja ya sababu ya kataa ndoa

McCollum

JF-Expert Member
Jan 10, 2023
384
679
Gwala kwa wana Jf wote, kwa wengine wote ninawapa salamu yangu ya heshima!

NB: Naomba kwanza niombe samahani kwa ambaye atakereka na mada tajwa, pia hii sio sehemu ya utafiti na hivyo haitakiwi kuchukulia hili jambo kwa ujumla.

Naomba rasmi nianze na uzi huu, kwa miaka ya hivi karibuni vijana wengi na hata wale wanaoukimbilia utu uzima limekuwa jambo la kawaida kutoa madahi haya "Kataa ndoa, ndoa inazeesha na mengine kibao". Kauli hizi huchukuliwa kirahisi na watu wanaozisikia bila kujali na kutaka kujua zimetokea wapi.

Nilikuwa nje ya mada kidogo, ngoja niingie mazima. Ili ku-back nitakachokiongea nitahusisha na kisa cha kweli ambacho nimekumbana nacho huku mtaani ninakoishi.

SCENARIO.

Kijana mmoja wa miaka 40 ambaye kwasasa tumuite Noel ( si jina halisi) huyu ni miongoni mwa vijana ambao wameamua kukaa kipopo (yaani hajaoa na hana mpango, to which it's okay kwakuwa ni mamuzi yake). Katika familia yao ambayo wapo watatu na huyo Noel kama kaka mkubwa, kuna mabinti wawili ambao nao wanaishi kivyao, binti wa mwisho kaolewa na anaishi mkoa mwingine, binti wa pili yeye anaishi kivyakevyake lakini naye hajaolewa.

Lakini recently kuna maneno yalikuwa yanazagaa kwamba dada mtu analala kwenye nyumba ya kaka yake (Noel) ambaye naye hajaoa, kijamii picha iliyojengeka nikwamba wanakulana kimasikhara (😂😂😂). Baba yao alizipata taarifa kwa watu ambao walionyesha kuwa curious kumuuliza kuhusu marital status ya mtoto wake wa kiume (kama wabongo walivyo), mmoja kati ya majirani wa baba huyo aliona ni kheri kumtonya baba huyo kuhusu kilichokuwa kikiendelea baina ya watoto wake wawili.

Baada ya kupata taarifa ambayo baba huyo alitaka kuithibitisha alienda kwa mtoto wake wa kiume ghafla na alimkuta binti yake akiwa huko.
Baada ya kumuuliza kaka mtu akadahi ameishi na dada yake kwa zaidi ya miezi sita na kila alipojaribu kumfukuza nyumbani alikuwa akikataa.

Hata baba mtu alipojaribu kumtoa bintiye kutoka kwnye nyumba ya kaka yake binti aliishia kusema "Siwezi ondoka, hata ukinifukuza nitalala nje ya nyumba".

Sasa tumejua sababu ya Noel kutokutaka ndoa, wazazi waangalieni sana hao *mabinti na vijana wenu
 
Kuna ka harufu ka umbea hapo kwenye bandiko lako.
Anyway, huyo "noel" sio kijana. Miaka 40 ni senior bachelor.
Ujumbe umefika kwa hadhira husika, kuhusu kuona kama uandishi huu ni kama umbea (="gossip") huo ni mtazamo wako binafsi na perception yako!
 
Gwala kwa wana Jf wote, kwa wengine wote ninawapa salamu yangu ya heshima!

NB: Naomba kwanza niombe samahani kwa ambaye atakereka na mada tajwa, pia hii sio sehemu ya utafiti na hivyo haitakiwi kuchukulia hili jambo kwa ujumla.

Naomba rasmi nianze na uzi huu, kwa miaka ya hivi karibuni vijana wengi na hata wale wanaoukimbilia utu uzima limekuwa jambo la kawaida kutoa madahi haya "Kataa ndoa, ndoa inazeesha na mengine kibao". Kauli hizi huchukuliwa kirahisi na watu wanaozisikia bila kujali na kutaka kujua zimetokea wapi.

Nilikuwa nje ya mada kidogo, ngoja niingie mazima. Ili ku-back nitakachokiongea nitahusisha na kisa cha kweli ambacho nimekumbana nacho huku mtaani ninakoishi.

SCENARIO.

Kijana mmoja wa miaka 40 ambaye kwasasa tumuite Noel ( si jina halisi) huyu ni miongoni mwa vijana ambao wameamua kukaa kipopo (yaani hajaoa na hana mpango, to which it's okay kwakuwa ni mamuzi yake). Katika familia yao ambayo wapo watatu na huyo Noel kama kaka mkubwa, kuna mabinti wawili ambao nao wanaishi kivyao, binti wa mwisho kaolewa na anaishi mkoa mwingine, binti wa pili yeye anaishi kivyakevyake lakini naye hajaolewa.

Lakini recently kuna maneno yalikuwa yanazagaa kwamba dada mtu analala kwenye nyumba ya kaka yake (Noel) ambaye naye hajaoa, kijamii picha iliyojengeka nikwamba wanakulana kimasikhara (). Baba yao alizipata taarifa kwa watu ambao walionyesha kuwa curious kumuuliza kuhusu marital status ya mtoto wake wa kiume (kama wabongo walivyo), mmoja kati ya majirani wa baba huyo aliona ni kheri kumtonya baba huyo kuhusu kilichokuwa kikiendelea baina ya watoto wake wawili.

Baada ya kupata taarifa ambayo baba huyo alitaka kuithibitisha alienda kwa mtoto wake wa kiume ghafla na alimkuta binti yake akiwa huko.
Baada ya kumuuliza kaka mtu akadahi ameishi na dada yake kwa zaidi ya miezi sita na kila alipojaribu kumfukuza nyumbani alikuwa akikataa.

Hata baba mtu alipojaribu kumtoa bintiye kutoka kwnye nyumba ya kaka yake binti aliishia kusema "Siwezi ondoka, hata ukinifukuza nitalala nje ya nyumba".

Sasa tumejua sababu ya Noel kutokutaka ndoa, wazazi waangalieni sana hao *mabinti na vijana wenu
Kuna jamaa yangu naye ni mchaga amepanga nyumba Moja na dada yake.Wanaidhi wote,kuhusu kunyanduana sijui
 
Back
Top Bottom