Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

FORTUNE JR

Member
Mar 20, 2021
69
336
Wakuu habari zenu.
Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama

Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya kujifungua maana alipoteza damu nyingi sana na kujifungua kwake kulikua Complicated kidogo hivo nikachukua mda wangu kwenda hospitali kumwona

Ni hivi Wakuu, kitu ninachoamini ni kwamba katika safari ya maisha ya mahusiano wengi wetu tuna yule mtu ambae ulikua nae kwenye mahusiano na mmepitia nae mengi yanayojenga kumbukumbu ambazo zinakua ni ngumu kufutika kiwepesi na huenda bado unatamani kuendelea nae kwenye safari ya mahusiano ila ndo vile tena ya dunia ni Mengi.

Kwa upande wangu mm ni huyu binti(Ex) ambaye namzungumzia hapa. Nilianza nae mahusiano Chuo masomoni, Alichukua nafasi kubwa sana kwenye maisha yangu kama Mshauri, Msaidizi, Mfariji na kifupi Chemistry yangu na yake zili match kwasababu alimudu madhaifu yangu na mm nlimudu yake na nikienda mbali zaidi nilimwona huyu binti kama Mama yangu wa pili kwasababu alizijua Mood zangu zote kama kuumwa, Huzuni hata kama nilizificha vipi kitu ambacho hata Dada zangu hawajawai kueleewa kiivo moods zangu. Hivyo naweza sema Huyu binti na Mamangu walinielewa sana(My strength and Weakness). Kifupi aliniheshimu na kunithamini sana na hakuona taabu kumweka bayana Mwanaume mwingine aliyemtaka kimapenzi kwamba anaye mimi inatosha.

Nimedumu na huyu binti takribani miaka mitatu na kifupi Sikupenda mwanamke mwingine zaidi ya kutamani tu tamaa za kawaida ambazo kila mwanaume kaumbiwa ila moyoni alijaa huyu binti.

Kilichonitenga na huyu binti baada ya miaka 3 ya mahusiano ni kwamba Alikua ana shoga yake mmoja Ambae nilikuwa na mazoea nae na kifupi tulizoeana kama mtu na shemeji yake na tuliishi kama familia kwakuwa alikuwa rafiki wa Mpenzi wangu, nashindwa kuielezea vizuri hii sehemu kwakuwa huwa inanifanya nijute kila nikikumbuka kifupi niliteleza na nilishindwa kukabiliana na Tamaa, nililala na shemeji yangu siku moja baada ya kupata nae Faragha.

Na ni kwamba mtu wangu aligundua na kuubaini ukweli wote kitu ambacho kilimfanya alie sana na kupatwa na hasira kwa namna nyingine naweza kusema hakuweza kuamini kama siku moja ningeweza kumfanyia kitu kama hicho na mbaya zaidi kwa rafiki yake mkubwa. Na katika hali hio hio ya hasira alimkubalia mwanaume mwingine ambaye alikuwa akimtaka kitambo tu na hakuwai kukata tamaa licha yakuwa mwanzo alikuwa ananiambia jamaa anamsumbua sana na hakati tamaa, safari hii jamaa alifanikiwa kukubaliwa baada ya mimi ya kuyakanyaga

Mwamba alienda nyumbani kwa binti akaonekana kwa wazazi wake na akatoa mahali na taratibu zote zikafwata hatimae mtoto akawekwa ndani na kufumba na kufumbua mwamba alivyokosa adabu na stara akamtundika na Mimba daaaa! 😢 Wakuu nilikosa raha,nilikua Mnyonge, usingizi ulinipaa na zaidi ya yote nilikosa Mwelekeo kwasababu katika kila nilichokifanya nilikua naona dhahiri kuna ki2 kinamiss, nikijaribu Mahusiano mengine ndo kwanza Moto unazidi kuwaka nivizinga kwa kwenda mbele, kuchitiwa kwa sana.

Nilianza kukubaliana na ukweli kwamba tayari nishapoteza moja ya nguzo yangu mhimu. Nilifuta namba za binti nikajiweka busy na maisha Mengine. Baada ya kama miezi 2 kupita bila mawasiliano na binti, siku moja nimekaa namba ngeni inanipigia kucheki kwa makini niya huyu Ex sabu niliikariri ikabidi kumsikiliza bidada ananung'unika Maisha yamemkua Mgumu, hana raha na maisha kiujumla na kachoka na hiyo ndoa na ndio kwanza ana miezi 2 tu anautafuta wa 3, lakini hana raha na huyo bwana na anaona wanapishana nae kwenye vingi yani hana Chemistry nae kabsa mbaya zaidi vijisenti vyake vinaishia kwenye bia kwaio imekua ni ngumu hata kwa bidada ku survive na ni mjamzito bidada kaenda mbali zaidi na kunilaumu kwamba mm ndo nimeua hatmi yake apa duniani haoni radha ya maisha tena. Binafsi iliniumiza lakini pia nilitoa ya moyoni kwamba nae alikurupuka sana hata kama sawa ni hasira zilimwendesha ila kujiingiza kwenye ndoa na m2 ambae hakupata mda wa kumfahamu vizuri.

Kuanzia siku hio niliendelea kuwasiliana na binti ila mara zote yeye ndo alinitafuta akiniomba ushauri na sometimes alidai hana hata hela ya kula bwana busy na bia kwaio nlikua na desturi ya kumsaidi kwakua mm nilikua na kazi hatakama sio ya moja kwa moja ila iliniingizia kipato na niliweza walau kuendesha maisha yangu kwaio nilikua namsaidia pia.

Kiukweli nilijua nafanya makosa kwanza kufanya mawisiliano nae na pia kumpa pesa ilihali ana mme wake ila kiukweli nilifanya toka moyoni ukizingatia ni binti ambae kiukweli ni ngumu kwangu kuona anapata shida na mimi naona kifupi hata iwe usiku wa manane ni lazima nitamsaidia tu kama nina uwezo wa kufanya ivo, ni yale maisha tuliyoyaishi kabla na hadi sasa huwa naona kabisa kuna milango ya maisha ingekua ngumu kufunguka kwangu pasina huyu binti ni kama (destiny helper) vile na ndomaana huwa nashindwa kukaa kimya pindi atakapo msaada. Ubaya ni kwamba utata unakuja ni kwamba ndoa ya binti ikaanza kuingia matatani kwasababu sometimes akigombana na Mumewe ananitaja kwa Bwana ake et mm nlikuwa nam handle ila sio yy mumewe. Wanaume wenzangu mnaweza elewa maumivu ya hii kitu.

Ushauri wenu nauhitaji hapa wakuu. Ni kwamba wiki iliyopita bidada mda wake wakujifungua ulifika ila haukua salama kidogo alimwaga damu nyingi sana hivo akazidiwa nilivyozipata hizi habari ikabidi niende kumwona kama rafiki. Kufika pale nikapata taarifa bidada anahitaji donation ya damu ili aludi kwenye utimamu wake, binti Group lake ni "AB" na mimi langu ni "O " wataalamu mtakua mmenipata hapo kwamba niko kwenye nafasi ya kufanya donation kwa binti na kikubwa kilicho ni push kufanya ivo ni kwamba binafsi huwaga na shida ya ugonjwa wa polycythemia au hypervolemia, huu ni ugonjwa wa mtu kuwa na damu nyingi sana mwili hali inayopelekea kuumwa na kichwa mara kwa mara na kupatwa na kizunguzungu hivyo binafsi huwa na utaratibu wa kwenda kufanya donation baada ya mda fulani kwaajili ya afya yangu pia binafsi. Ivo kwakua sikua nimefanya ilo zoezi kwa miezi kadhaa nikaona sio mbaya kwafaida yangu na kwa binti pia.

Nashukuru Mungu zoezi likaenda vizuri kwangu na kwa binti hadi aka recover. Utata unakuja baada ya binti ku recover mahaba yamezidi kwangu hali yakushindwa kujizuia hata kwa Mumewe na hivi ninavyoandika uzi huu wametengana Jamaa kamaindi na issue ya mm kumchangia damu mkewe ndo imemchefua zaidi na jamaa kaenda mbali zaidi kwa kunitisha kama kuna surprise yangu ambayo sitakaa niisahau.

Bidada ni kama vile anataka kunilazimishia mm ndo nimwoe vle na mm inanipa ukakasi io kwakua tayari ana mtoto na jamaa, kwaio najua italeta shida mbeleni ila jamaa anabifu na mimi ambalo so la kawaida na jamaa navoelewa anampenda sana binti ila binti ndo vile tena. Ushauri wenu wakuu naluka vipi iki kiunzi bila kumuumiza yoyote na maisha yaendele. Asanteni kwa time yenu.
 
Umeandika maelezo marefu Ili kujiharalishia dhambi ya kuwa na mahusiano na mke wa mtu. Ni Hivi omba kikao na wazee na huyo jamaa na mke wake awepo. Uape kuachana na Binti Kwa namna zote yaani urafiki, ukaribu, undugu, mawasiliano ya ana Kwa ana, ya simu n.k achana nae.

Binti akishaolewa hata Kama ulimchangia Figo ndo imeisha hiyo. Kijana wewe ndie unasumbua na kwamantiki hiyo nikuombe kaa mbali na mke wa mtu na ikiwezekana hama mkoa mpuuzi mkubwa wewe.
 
Wakuu habari zenu.
Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama

Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya kujifungua maana alipoteza damu nyingi sana na kujifungua kwake kulikua Complicated kidogo hivo nikachukua mda wangu kwenda hospitali kumwona
Ni ivi Wakuu, kitu ninachoamini ni kwamba katika safari ya maisha ya mahusiano wengi wetu tuna yule mtu ambae ulikua nae kwenye mahusiano na mmepitia nae mengi yanayojenga kumbukumbu ambazo zinakua ni ngumu kufutika kiwepesi na huenda bado unatamani kuendelea nae kwenye safari ya mahusiano ila ndo vile tena ya dunia ni Mengi.
Kwa upande wangu mm ni huyu binti(Ex) ambaye namzungumzia hapa. Nilianza nae mahusiano Chuo masomoni, Alichukua nafasi kubwa sana kwenye maisha yangu kama Mshauri, Msaidizi, Mfariji na kifupi Chemistry yangu na yake zili match kwasababu alimudu madhaifu yangu na mm nlimudu yake na nikienda mbali zaidi nilimwona huyu binti kama Mama yangu wa pili kwasababu alizijua Mood zangu zote kama kuumwa, Huzuni hata kama nilizificha vipi kitu ambacho hata Dada zangu hawajawai kueleewa kiivo moods zangu. Hivyo naweza sema Huyu binti na Mamangu walinielewa sana(My strength and Weakness). Kifupi aliniheshimu na kunithamini sana na hakuona taabu kumweka bayana Mwanaume mwingine aliyemtaka kimapenzi kwamba anaye mimi inatosha.

Nimedumu na huyu binti takribani miaka mitatu na kifupi Sikupenda mwanamke mwingine zaidi ya kutamani tu tamaa za kawaida ambazo kila mwanaume kaumbiwa ila moyoni alijaa huyu binti.
Kilichonitenga na huyu binti baada ya miaka 3 ya mahusiano ni kwamba Alikua anashoga ake mmoja Ambae nilikua na mazoea nae na kifupi tulizoeana kama mtu na shemeji ake na tuliishi kama familia kwakua alikua rafiki wa Mpenzi wangu, nashindwa kuielezea vizuri hii sehemu kwakua huwa inanifanya nijute kila nikikumbuka kifupi niliteleza na nilishindwa kukabiliana na Tamaa, nililala na shemeji ang siku moja baada ya kupata nae Faragha . Na nikwamba mtu wangu aligundua na kuubaini ukweli wote kitu ambacho kilimfanya alie sana na kupatwa na hasira kwa namna nyingine naweza kusema hakuweza kuamini kama siku moja ningeweza kumfanyia kitu kama icho na mbaya zaidi kwa rafiki yake mkubwa. Na katika hali hio hio ya hasira alimkubalia mwanaume mwingine ambaye alikua akimtaka kitambo tu na hakuwai kukata tamaa licha yakuwa mwanzo alikua ananiambia jamaa anamsumbua sana na hakati tamaa, safari hii jamaa alifanikiwa kukubaliwa baada ya mimi ya kuyakanyaga

Mwamba alienda nyumbani kwa binti akaonekana kwa wazazi wake na akatoa mahali na taratibu zote zikafwata hatimae mtoto akawekwa ndani na kufumba na kufumbua mwamba alivyokosa adabu na stara akamtundika na Mimba daaaa! Wakuu nilikosa raha,nilikua Mnyonge, usingizi ulinipaa na zaidi ya yote nilikosa Mwelekeo kwasababu katika kila nilichokifanya nilikua naona dhahiri kuna ki2 kinamiss, nikijaribu Mahusiano mengine ndo kwanza Moto unazidi kuwaka nivizinga kwa kwenda mbele, kuchitiwa kwa sana.
Nilianza kukubaliana na ukweli kwamba tayari nishapoteza moja ya nguzo yangu mhimu. Nilifuta namba za binti nikajiweka busy na maisha Mengine. Baada ya kama miezi 2 kupita bila mawasiliano na binti, siku moja nimekaa namba ngeni inanipigia kucheki kwa makini niya huyu Ex sabu niliikariri ikabidi kumsikiliza bidada ananung'unika Maisha yamemkua Mgumu, hana raha na maisha kiujumla na kachoka na io ndoa na ndo kwanza anamiezi 2 tu anautafuta wa 3, lakini hana raha na uyo bwana na anaona wanapishana nae kwenye vingi yani hana Chemistry nae kabsa mbaya zaidi vijisenti vyake vinaishia kwenye bia kwaio imekua ni ngumu hata kwa bidada ku survive na ni mjamzito bidada kaenda mbali zaidi na kunilaumu kwamba mm ndo nimeua hatmi yake apa duniani haoni radha ya maisha tena. Binafsi iliniumiza lakini pia nilitoa ya moyoni kwamba nae alikurupuka sana hata kama sawa ni hasira zilimwendesha ila kujiingiza kwenye ndoa na m2 ambae hakupata mda wa kumfahamu vizuri.

Kuanzia siku hio niliendelea kuwasiliana na binti ila mara zote yeye ndo alinitafuta akiniomba ushauri na sometimes alidai hana hata hela ya kula bwana busy na bia kwaio nlikua na desturi ya kumsaidi kwakua mm nilikua na kazi hatakama sio ya moja kwa moja ila iliniingizia kipato na niliweza walau kuendesha maisha yangu kwaio nilikua namsaidia pia. Kiukweli nilijua nafanya makosa kwanza kufanya mawisiliano nae na pia kumpa pesa ilihali ana mme wake ila kiukweli nilifanya toka moyoni ukizingatia ni binti ambae kiukweli ni ngumu kwangu kuona anapata shida na mimi naona kifupi hata iwe usiku wa manane ni lazima nitamsaidia tu kama nina uwezo wa kufanya ivo, ni yale maisha tuliyoyaishi kabla na hadi sasa huwa naona kabisa kuna milango ya maisha ingekua ngumu kufunguka kwangu pasina huyu binti ni kama (destiny helper) vile na ndomaana huwa nashindwa kukaa kimya pindi atakapo msaada. Ubaya ni kwamba utata unakuja ni kwamba ndoa ya binti ikaanza kuingia matatani kwasababu sometimes akigombana na Mumewe ananitaja kwa Bwana ake et mm nlikuwa nam handle ila sio yy mumewe. Wanaume wenzangu mnaweza elewa maumivu ya hii kitu.

Ushauri wenu nauhitaji hapa wakuu. Ni kwamba wiki iliyopita bidada mda wake wakujifungua ulifika ila haukua salama kidogo alimwaga damu nyingi sana hivo akazidiwa nilivyozipata hizi habari ikabidi niende kumwona kama rafiki. Kufika pale nikapata taarifa bidada anahitaji donation ya damu ili aludi kwenye utimamu wake, binti Group lake ni "AB" na mimi langu ni "O " wataalamu mtakua mmenipata hapo kwamba niko kwenye nafasi ya kufanya donation kwa binti na kikubwa kilicho ni push kufanya ivo ni kwamba binafsi huwaga na shida ya ugonjwa wa polycythemia au hypervolemia, huu ni ugonjwa wa mtu kuwa na damu nyingi sana mwili hali inayopelekea kuumwa na kichwa mara kwa mara na kupatwa na kizunguzungu hivyo binafsi huwa na utaratibu wa kwenda kufanya donation baada ya mda fulani kwaajili ya afya yangu pia binafsi. Ivo kwakua sikua nimefanya ilo zoezi kwa miezi kadhaa nikaona sio mbaya kwafaida yangu na kwa binti pia. Nashukuru Mungu zoezi likaenda vizuri kwangu na kwa binti hadi aka recover. Utata unakuja baada ya binti ku recover mahaba yamezidi kwangu hali yakushindwa kujizuia hata kwa Mumewe na hivi ninavyoandika uzi huu wametengana Jamaa kamaindi na issue ya mm kumchangia damu mkewe ndo imemchefua zaidi na jamaa kaenda mbali zaidi kwa kunitisha kama kuna surprise yangu ambayo sitakaa niisahau. Bidada ni kama vile anataka kunilazimishia mm ndo nimwoe vle na mm inanipa ukakasi io kwakua tayari ana mtoto na jamaa, kwaio najua italeta shida mbeleni ila jamaa anabifu na mimi ambalo so la kawaida na jamaa navoelewa anampenda sana binti ila binti ndo vile tena. Ushauri wenu wakuu naluka vipi iki kiunzi bila kumuumiza yoyote na maisha yaendele. Asanteni kwa time yenu.

Bado unampenda binti ila stay away from her, huyo ni mke wa mtu.
Rember ni ww ndio ulianzisha tafrani yote.
 
Umeandika maelezo marefu Ili kujiharslishia dhambi ya kuwa na mahusiano na mke wa mtu. Ni Hivi omba kikao na wazee na huyo jamaa na mke wake awepo. Uape kuachana na Binti Kwa namna zote yaani urafiki, ukaribu, undugu, mawasiliano ya ana Kwa ana, ya simu n.k achana nae.

Binti akishaolewa hata Kama ulimchangia Figo ndo imeisha hiyo. Kijana wewe ndie unasumbua na kwamntiki hiyo nikuombe kaa mbali na mke wa mtu na ikiwezekana hama mkoa mpuuzi mkubwa wewe.
Asante kwa ushauri Mkuu nitaufanyia kazi, ila ni msaada tu nilikua natoa maana naamini mwisho wa mahusiano sio uadui bali maisha mengine yanaweza endelea. But nimeupata ushauri wako asante
 
Kifupi ni kwamba.

Achana na wake za watu, haijalishi unamfahamu miaka elfu tatu.

Wewe umekuja humu kutafuta huruma na uhalalisho kuwa kijana wa ovyo kwa mgongo wa kumsaidia damu ex wako

Siku zote sio process ina matter, ni matokeo yake.

Wewe ni mpumbavu.
 
Asante kwa ushauri Mkuu nitaufanyia kazi, ila ni msaada tu nilikua natoa maana naamini mwisho wa mahusiano sio uadui bali maisha mengine yanaweza endelea. But nimeupata ushauri wako asante
Unapomsaidia mke wa mtu unafanya awe na kiburi Kwa mumewe maana anajua hata teteleka. Kata Kila kitu mpaka misaada. Yaani muwekee vikwazo vya kiuchumi, vikwazo vya mawasiliano na uchukuzi na vikwazo vya mahusiano ya aina yoyote. Lengo ajue kuwa maamuzi aliyofanya kukuacha hiyo ndo faida yake na avumilie anayopitia.
 
Wakuu habari zenu.
Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama

Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya kujifungua maana alipoteza damu nyingi sana na kujifungua kwake kulikua Complicated kidogo hivo nikachukua mda wangu kwenda hospitali kumwona
Ni ivi Wakuu, kitu ninachoamini ni kwamba katika safari ya maisha ya mahusiano wengi wetu tuna yule mtu ambae ulikua nae kwenye mahusiano na mmepitia nae mengi yanayojenga kumbukumbu ambazo zinakua ni ngumu kufutika kiwepesi na huenda bado unatamani kuendelea nae kwenye safari ya mahusiano ila ndo vile tena ya dunia ni Mengi.
Kwa upande wangu mm ni huyu binti(Ex) ambaye namzungumzia hapa. Nilianza nae mahusiano Chuo masomoni, Alichukua nafasi kubwa sana kwenye maisha yangu kama Mshauri, Msaidizi, Mfariji na kifupi Chemistry yangu na yake zili match kwasababu alimudu madhaifu yangu na mm nlimudu yake na nikienda mbali zaidi nilimwona huyu binti kama Mama yangu wa pili kwasababu alizijua Mood zangu zote kama kuumwa, Huzuni hata kama nilizificha vipi kitu ambacho hata Dada zangu hawajawai kueleewa kiivo moods zangu. Hivyo naweza sema Huyu binti na Mamangu walinielewa sana(My strength and Weakness). Kifupi aliniheshimu na kunithamini sana na hakuona taabu kumweka bayana Mwanaume mwingine aliyemtaka kimapenzi kwamba anaye mimi inatosha.

Nimedumu na huyu binti takribani miaka mitatu na kifupi Sikupenda mwanamke mwingine zaidi ya kutamani tu tamaa za kawaida ambazo kila mwanaume kaumbiwa ila moyoni alijaa huyu binti.
Kilichonitenga na huyu binti baada ya miaka 3 ya mahusiano ni kwamba Alikua anashoga ake mmoja Ambae nilikua na mazoea nae na kifupi tulizoeana kama mtu na shemeji ake na tuliishi kama familia kwakua alikua rafiki wa Mpenzi wangu, nashindwa kuielezea vizuri hii sehemu kwakua huwa inanifanya nijute kila nikikumbuka kifupi niliteleza na nilishindwa kukabiliana na Tamaa, nililala na shemeji ang siku moja baada ya kupata nae Faragha . Na nikwamba mtu wangu aligundua na kuubaini ukweli wote kitu ambacho kilimfanya alie sana na kupatwa na hasira kwa namna nyingine naweza kusema hakuweza kuamini kama siku moja ningeweza kumfanyia kitu kama icho na mbaya zaidi kwa rafiki yake mkubwa. Na katika hali hio hio ya hasira alimkubalia mwanaume mwingine ambaye alikua akimtaka kitambo tu na hakuwai kukata tamaa licha yakuwa mwanzo alikua ananiambia jamaa anamsumbua sana na hakati tamaa, safari hii jamaa alifanikiwa kukubaliwa baada ya mimi ya kuyakanyaga

Mwamba alienda nyumbani kwa binti akaonekana kwa wazazi wake na akatoa mahali na taratibu zote zikafwata hatimae mtoto akawekwa ndani na kufumba na kufumbua mwamba alivyokosa adabu na stara akamtundika na Mimba daaaa! Wakuu nilikosa raha,nilikua Mnyonge, usingizi ulinipaa na zaidi ya yote nilikosa Mwelekeo kwasababu katika kila nilichokifanya nilikua naona dhahiri kuna ki2 kinamiss, nikijaribu Mahusiano mengine ndo kwanza Moto unazidi kuwaka nivizinga kwa kwenda mbele, kuchitiwa kwa sana.
Nilianza kukubaliana na ukweli kwamba tayari nishapoteza moja ya nguzo yangu mhimu. Nilifuta namba za binti nikajiweka busy na maisha Mengine. Baada ya kama miezi 2 kupita bila mawasiliano na binti, siku moja nimekaa namba ngeni inanipigia kucheki kwa makini niya huyu Ex sabu niliikariri ikabidi kumsikiliza bidada ananung'unika Maisha yamemkua Mgumu, hana raha na maisha kiujumla na kachoka na io ndoa na ndo kwanza anamiezi 2 tu anautafuta wa 3, lakini hana raha na uyo bwana na anaona wanapishana nae kwenye vingi yani hana Chemistry nae kabsa mbaya zaidi vijisenti vyake vinaishia kwenye bia kwaio imekua ni ngumu hata kwa bidada ku survive na ni mjamzito bidada kaenda mbali zaidi na kunilaumu kwamba mm ndo nimeua hatmi yake apa duniani haoni radha ya maisha tena. Binafsi iliniumiza lakini pia nilitoa ya moyoni kwamba nae alikurupuka sana hata kama sawa ni hasira zilimwendesha ila kujiingiza kwenye ndoa na m2 ambae hakupata mda wa kumfahamu vizuri.

Kuanzia siku hio niliendelea kuwasiliana na binti ila mara zote yeye ndo alinitafuta akiniomba ushauri na sometimes alidai hana hata hela ya kula bwana busy na bia kwaio nlikua na desturi ya kumsaidi kwakua mm nilikua na kazi hatakama sio ya moja kwa moja ila iliniingizia kipato na niliweza walau kuendesha maisha yangu kwaio nilikua namsaidia pia. Kiukweli nilijua nafanya makosa kwanza kufanya mawisiliano nae na pia kumpa pesa ilihali ana mme wake ila kiukweli nilifanya toka moyoni ukizingatia ni binti ambae kiukweli ni ngumu kwangu kuona anapata shida na mimi naona kifupi hata iwe usiku wa manane ni lazima nitamsaidia tu kama nina uwezo wa kufanya ivo, ni yale maisha tuliyoyaishi kabla na hadi sasa huwa naona kabisa kuna milango ya maisha ingekua ngumu kufunguka kwangu pasina huyu binti ni kama (destiny helper) vile na ndomaana huwa nashindwa kukaa kimya pindi atakapo msaada. Ubaya ni kwamba utata unakuja ni kwamba ndoa ya binti ikaanza kuingia matatani kwasababu sometimes akigombana na Mumewe ananitaja kwa Bwana ake et mm nlikuwa nam handle ila sio yy mumewe. Wanaume wenzangu mnaweza elewa maumivu ya hii kitu.

Ushauri wenu nauhitaji hapa wakuu. Ni kwamba wiki iliyopita bidada mda wake wakujifungua ulifika ila haukua salama kidogo alimwaga damu nyingi sana hivo akazidiwa nilivyozipata hizi habari ikabidi niende kumwona kama rafiki. Kufika pale nikapata taarifa bidada anahitaji donation ya damu ili aludi kwenye utimamu wake, binti Group lake ni "AB" na mimi langu ni "O " wataalamu mtakua mmenipata hapo kwamba niko kwenye nafasi ya kufanya donation kwa binti na kikubwa kilicho ni push kufanya ivo ni kwamba binafsi huwaga na shida ya ugonjwa wa polycythemia au hypervolemia, huu ni ugonjwa wa mtu kuwa na damu nyingi sana mwili hali inayopelekea kuumwa na kichwa mara kwa mara na kupatwa na kizunguzungu hivyo binafsi huwa na utaratibu wa kwenda kufanya donation baada ya mda fulani kwaajili ya afya yangu pia binafsi. Ivo kwakua sikua nimefanya ilo zoezi kwa miezi kadhaa nikaona sio mbaya kwafaida yangu na kwa binti pia. Nashukuru Mungu zoezi likaenda vizuri kwangu na kwa binti hadi aka recover. Utata unakuja baada ya binti ku recover mahaba yamezidi kwangu hali yakushindwa kujizuia hata kwa Mumewe na hivi ninavyoandika uzi huu wametengana Jamaa kamaindi na issue ya mm kumchangia damu mkewe ndo imemchefua zaidi na jamaa kaenda mbali zaidi kwa kunitisha kama kuna surprise yangu ambayo sitakaa niisahau. Bidada ni kama vile anataka kunilazimishia mm ndo nimwoe vle na mm inanipa ukakasi io kwakua tayari ana mtoto na jamaa, kwaio najua italeta shida mbeleni ila jamaa anabifu na mimi ambalo so la kawaida na jamaa navoelewa anampenda sana binti ila binti ndo vile tena. Ushauri wenu wakuu naluka vipi iki kiunzi bila kumuumiza yoyote na maisha yaendele. Asanteni kwa time yenu.
Awali nilikuwa najiuliza kwanini meli kubwa na yenye mifumo imara ya Titanic iligonga mwamba na kuzama kwa sababu ndogo kiasi kile. Au simulizi za zamani za treni kuacha njia na kupinduka kwa kukanyaga sindano iliyowekwa kwenye reli licha ya uzito na uimara wa treni.

Chanzo cha yote, ni tamaa zako za kutaka kuona kilicho ndani ya shemeji...kuzima Taa na Shem wako. Binafsi nimewahi pitia hiyo situation ni mtihani sana, jipe muda Wa kufanya maamuzi, kama unataka kumuoa subiri mtoto akue ampeleke kwa baba yake, vinginevyo usisahau kutembea na vilainishi kwa manufaa yako.
 
Huyo jamaa akija kukuua utamlaumu nani? Unachezea ndoa ya takatifu ya mtu?

Umekuja hapa kutafuta huruma kwa kujiliza liza; na hauko tayari kujibebesha lawama kwamba wewe ndiye una makosa. Visingizio kibao ili tu ujisikie vizuri.

Mke anauma sana. Ndoa inauma mno. Na cho chote atakachokufanyia huyo jamaa hata kama ni kukuua unastahili kabisa 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

Futa namba za huyo mwanamke na kamwe usiwasiliane naye tena. Pengine akili zitamkaa sawa na atarudi kwa mumewe. Lakini najua utaendelea naye tu kwa visingizio vile vile (bado namkubali, chemistry zetu zinaendana, ananijua vizuri, ni destiny helper...na utopolo mwingine); na mwisho wako hautakuwa mwema.

For once be a man!
 
Wakuu habari zenu.
Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama

Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya kujifungua maana alipoteza damu nyingi sana na kujifungua kwake kulikua Complicated kidogo hivo nikachukua mda wangu kwenda hospitali kumwona
Ni ivi Wakuu, kitu ninachoamini ni kwamba katika safari ya maisha ya mahusiano wengi wetu tuna yule mtu ambae ulikua nae kwenye mahusiano na mmepitia nae mengi yanayojenga kumbukumbu ambazo zinakua ni ngumu kufutika kiwepesi na huenda bado unatamani kuendelea nae kwenye safari ya mahusiano ila ndo vile tena ya dunia ni Mengi.
Kwa upande wangu mm ni huyu binti(Ex) ambaye namzungumzia hapa. Nilianza nae mahusiano Chuo masomoni, Alichukua nafasi kubwa sana kwenye maisha yangu kama Mshauri, Msaidizi, Mfariji na kifupi Chemistry yangu na yake zili match kwasababu alimudu madhaifu yangu na mm nlimudu yake na nikienda mbali zaidi nilimwona huyu binti kama Mama yangu wa pili kwasababu alizijua Mood zangu zote kama kuumwa, Huzuni hata kama nilizificha vipi kitu ambacho hata Dada zangu hawajawai kueleewa kiivo moods zangu. Hivyo naweza sema Huyu binti na Mamangu walinielewa sana(My strength and Weakness). Kifupi aliniheshimu na kunithamini sana na hakuona taabu kumweka bayana Mwanaume mwingine aliyemtaka kimapenzi kwamba anaye mimi inatosha.

Nimedumu na huyu binti takribani miaka mitatu na kifupi Sikupenda mwanamke mwingine zaidi ya kutamani tu tamaa za kawaida ambazo kila mwanaume kaumbiwa ila moyoni alijaa huyu binti.
Kilichonitenga na huyu binti baada ya miaka 3 ya mahusiano ni kwamba Alikua anashoga ake mmoja Ambae nilikua na mazoea nae na kifupi tulizoeana kama mtu na shemeji ake na tuliishi kama familia kwakua alikua rafiki wa Mpenzi wangu, nashindwa kuielezea vizuri hii sehemu kwakua huwa inanifanya nijute kila nikikumbuka kifupi niliteleza na nilishindwa kukabiliana na Tamaa, nililala na shemeji ang siku moja baada ya kupata nae Faragha . Na nikwamba mtu wangu aligundua na kuubaini ukweli wote kitu ambacho kilimfanya alie sana na kupatwa na hasira kwa namna nyingine naweza kusema hakuweza kuamini kama siku moja ningeweza kumfanyia kitu kama icho na mbaya zaidi kwa rafiki yake mkubwa. Na katika hali hio hio ya hasira alimkubalia mwanaume mwingine ambaye alikua akimtaka kitambo tu na hakuwai kukata tamaa licha yakuwa mwanzo alikua ananiambia jamaa anamsumbua sana na hakati tamaa, safari hii jamaa alifanikiwa kukubaliwa baada ya mimi ya kuyakanyaga

Mwamba alienda nyumbani kwa binti akaonekana kwa wazazi wake na akatoa mahali na taratibu zote zikafwata hatimae mtoto akawekwa ndani na kufumba na kufumbua mwamba alivyokosa adabu na stara akamtundika na Mimba daaaa! 😢 Wakuu nilikosa raha,nilikua Mnyonge, usingizi ulinipaa na zaidi ya yote nilikosa Mwelekeo kwasababu katika kila nilichokifanya nilikua naona dhahiri kuna ki2 kinamiss, nikijaribu Mahusiano mengine ndo kwanza Moto unazidi kuwaka nivizinga kwa kwenda mbele, kuchitiwa kwa sana.
Nilianza kukubaliana na ukweli kwamba tayari nishapoteza moja ya nguzo yangu mhimu. Nilifuta namba za binti nikajiweka busy na maisha Mengine. Baada ya kama miezi 2 kupita bila mawasiliano na binti, siku moja nimekaa namba ngeni inanipigia kucheki kwa makini niya huyu Ex sabu niliikariri ikabidi kumsikiliza bidada ananung'unika Maisha yamemkua Mgumu, hana raha na maisha kiujumla na kachoka na io ndoa na ndo kwanza anamiezi 2 tu anautafuta wa 3, lakini hana raha na uyo bwana na anaona wanapishana nae kwenye vingi yani hana Chemistry nae kabsa mbaya zaidi vijisenti vyake vinaishia kwenye bia kwaio imekua ni ngumu hata kwa bidada ku survive na ni mjamzito bidada kaenda mbali zaidi na kunilaumu kwamba mm ndo nimeua hatmi yake apa duniani haoni radha ya maisha tena. Binafsi iliniumiza lakini pia nilitoa ya moyoni kwamba nae alikurupuka sana hata kama sawa ni hasira zilimwendesha ila kujiingiza kwenye ndoa na m2 ambae hakupata mda wa kumfahamu vizuri.

Kuanzia siku hio niliendelea kuwasiliana na binti ila mara zote yeye ndo alinitafuta akiniomba ushauri na sometimes alidai hana hata hela ya kula bwana busy na bia kwaio nlikua na desturi ya kumsaidi kwakua mm nilikua na kazi hatakama sio ya moja kwa moja ila iliniingizia kipato na niliweza walau kuendesha maisha yangu kwaio nilikua namsaidia pia. Kiukweli nilijua nafanya makosa kwanza kufanya mawisiliano nae na pia kumpa pesa ilihali ana mme wake ila kiukweli nilifanya toka moyoni ukizingatia ni binti ambae kiukweli ni ngumu kwangu kuona anapata shida na mimi naona kifupi hata iwe usiku wa manane ni lazima nitamsaidia tu kama nina uwezo wa kufanya ivo, ni yale maisha tuliyoyaishi kabla na hadi sasa huwa naona kabisa kuna milango ya maisha ingekua ngumu kufunguka kwangu pasina huyu binti ni kama (destiny helper) vile na ndomaana huwa nashindwa kukaa kimya pindi atakapo msaada. Ubaya ni kwamba utata unakuja ni kwamba ndoa ya binti ikaanza kuingia matatani kwasababu sometimes akigombana na Mumewe ananitaja kwa Bwana ake et mm nlikuwa nam handle ila sio yy mumewe. Wanaume wenzangu mnaweza elewa maumivu ya hii kitu.

Ushauri wenu nauhitaji hapa wakuu. Ni kwamba wiki iliyopita bidada mda wake wakujifungua ulifika ila haukua salama kidogo alimwaga damu nyingi sana hivo akazidiwa nilivyozipata hizi habari ikabidi niende kumwona kama rafiki. Kufika pale nikapata taarifa bidada anahitaji donation ya damu ili aludi kwenye utimamu wake, binti Group lake ni "AB" na mimi langu ni "O " wataalamu mtakua mmenipata hapo kwamba niko kwenye nafasi ya kufanya donation kwa binti na kikubwa kilicho ni push kufanya ivo ni kwamba binafsi huwaga na shida ya ugonjwa wa polycythemia au hypervolemia, huu ni ugonjwa wa mtu kuwa na damu nyingi sana mwili hali inayopelekea kuumwa na kichwa mara kwa mara na kupatwa na kizunguzungu hivyo binafsi huwa na utaratibu wa kwenda kufanya donation baada ya mda fulani kwaajili ya afya yangu pia binafsi. Ivo kwakua sikua nimefanya ilo zoezi kwa miezi kadhaa nikaona sio mbaya kwafaida yangu na kwa binti pia. Nashukuru Mungu zoezi likaenda vizuri kwangu na kwa binti hadi aka recover. Utata unakuja baada ya binti ku recover mahaba yamezidi kwangu hali yakushindwa kujizuia hata kwa Mumewe na hivi ninavyoandika uzi huu wametengana Jamaa kamaindi na issue ya mm kumchangia damu mkewe ndo imemchefua zaidi na jamaa kaenda mbali zaidi kwa kunitisha kama kuna surprise yangu ambayo sitakaa niisahau. Bidada ni kama vile anataka kunilazimishia mm ndo nimwoe vle na mm inanipa ukakasi io kwakua tayari ana mtoto na jamaa, kwaio najua italeta shida mbeleni ila jamaa anabifu na mimi ambalo so la kawaida na jamaa navoelewa anampenda sana binti ila binti ndo vile tena. Ushauri wenu wakuu naluka vipi iki kiunzi bila kumuumiza yoyote na maisha yaendele. Asanteni kwa time yenu.

I have never thought of killing anyone in my life, Kama unajua una memory na mwanamke muoe, akiolewa na mwanamme mwingine, ondoa upumbavu wa memory na ujinga,

Sincerely, I can, without regret kill someone like u.

Kwa hiyo hisia zako ni bora kuliko mtoto aliyezaliwa na ndoa ya watu? Mjinga kweli wewe. Watu wengine mna ujinga kwenye blood.

I wish ningemjua huyu jamaa, I could reach a way to deal with you kisomi, we mjinga unakuja kutuambia jinsi gani you are connected na mke wa mtu?
 
Naona waliokushauri wote ni washamba hawana exposures ya maisha (ya kidini na kidunia). Huyo binti anakupenda na wewe unampenda. Mwambie afuate utaratibu wa kuvunja ndoa (whether mahakamani au sehemu yeyote) waachane kabisa na huyo mwanaume. Then mje muoane. Usirembe kwa ma warda mliyonayo. Ukimuacha anaweza kujiua kitu ambacho siyo kizuri. Hao wanaokuambia eti mke wa mtu siyo tatizo kwa sababu yeye binti ndiye alikosea ili kukukomoa.
 
Umeandika maelezo marefu Ili kujiharalishia dhambi ya kuwa na mahusiano na mke wa mtu. Ni Hivi omba kikao na wazee na huyo jamaa na mke wake awepo. Uape kuachana na Binti Kwa namna zote yaani urafiki, ukaribu, undugu, mawasiliano ya ana Kwa ana, ya simu n.k achana nae.

Binti akishaolewa hata Kama ulimchangia Figo ndo imeisha hiyo. Kijana wewe ndie unasumbua na kwamantiki hiyo nikuombe kaa mbali na mke wa mtu na ikiwezekana hama mkoa mpuuzi mkubwa wewe.
Ushauri mzuri sana huu aombe tu kikao na ukoo wa hao Wana ndoa aeleze anafahamu binti Yao kama classmates waliosaidiana mengi na hakuna mengine ya ziada.
Ili kuleta amani pande zote hizo.
Watamuelewa
 
Naona waliokushauri wote ni washamba hawana exposures ya maisha (ya kidini na kidunia). Huyo binti anakupenda na wewe unampenda. Mwambie afuate utaratibu wa kuvunja ndoa (whether mahakamani au sehemu yeyote) waachane kabisa na huyo mwanaume. Then mje muoane. Usirembe kwa ma warda mliyonayo. Ukimuacha anaweza kujiua kitu ambacho siyo kizuri. Hao wanaokuambia eti mke wa mtu siyo tatizo kwa sababu yeye binti ndiye alikosea ili kukukomoa.
Nani kakuambia ule moto wa upendo uliokuwepo kabla na kuachana mkirudiana Huwa unaendelea kuwepo.
Ni kwa mda mfupi tu utakuwa umeisha nao,kinachoua ule moto ni huyo mtoto wa mwanaume mwingine hamuwezi balance.
Hili liwe ni hitimisho la mwisho Kama ndoa imevunjika na Sio yeye akapromote kuvunja ndoa ya mtu anajichotea laana tupu.
 
Chief kaa mbali na kitu kinachoitwa mke wa mtu ,wanaume tunalala nje kwa ajili ya kuzitafutia familia zetu wewe unaenda kuvurugua familia ya watu kisa tamaa yako nakwambia huyo bint hata ukabahatika kumshawish aachane na mumewe umuoe wewe bado itakugharimu tayar anamtoto na jamaa bond ambayo inanasa zaid ya superglue atakushangaza hakuna mwanamke anayepingua kwa mzaz mwenzie kama unabisha waulize walio oa single mother .mwanaume anaemzalisha mwanamke ndo kamuwin achana na mambo ya bikra au chemistry yenu iliendana ulishazidiwa kete
 
Nani kakuambia ule moto wa upendo uliokuwepo kabla na kuachana mkirudiana Huwa unaendelea kuwepo.
Ni kwa mda mfupi tu utakuwa umeisha nao,kinachoua ule moto ni huyo mtoto wa mwanaume mwingine hamuwezi balance.
Hili liwe ni hitimisho la mwisho Kama ndoa imevunjika na Sio yeye akapromote kuvunja ndoa ya mtu anajichotea laana tupu.
Ndoa hufungwa pale mnapokubaliana mwanzo, ndiyo maana watu wengi wanateseka kwenye ndoa kumbe ndoa alishafunga na mtu mwingine wa ujanani bila kujua anaenda kujiingiza kama huyo binti. Tambua mumewe hasa huyo binti ni huyu mshikaji na siyo huyo mwenye mtoto. Nina uhakika watasettle.
 
Back
Top Bottom