Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,707
- 36,162
Habari!
Tulipopinga suala la mahari kwa kusema kuwa mahari ni biashara ya kitumwa watetezi mkasema mahari ni heshima, ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza binti yao. Kumtunza sawa, lakini ametunzwa vipi huku hana bikra huku wengine wamezaa kabisa?
Ile bikra ndio itolewe mahari, bikra ndio thamani ya binti! Je, huyu binti ambaye bikra yake imekwenda na maji atolewe mahari kama zawadi ya kitu gani?
Kama ni zawadi ya kumzaa ikumbukwe hata muoaji amezaliwa atolewe mahari pia.