ndoa

  1. F

    Mama Samia : Utafiti unaonesha Zaidi ya nusu ya Tanzania wenye umri wa kuoa au kuolewa hawajaingia kwenye ndoa . Je sababu yako ni nini ?

    Ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 21, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye Ibada Maalumu ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani. “Kwa wakazi wa...
  2. P

    Askofu Malasusa: Suala la ndoa za jinsia moja tuachieni sisi, vitabu vinasema ndoa ni ya mume na mke full stop!

    Katika sherehe za kukabidhiwa kazi leo, Askofu Malasusa amesema; "Kumekuwa na majadiliano mengi kuhusu suala la ndoa za jinsia moja na kwamba jambo la ndoa za jinsia moja tuachieni viongozi wa dini kwasababu ni letu, sisi tunajua vitabu vimesema ndoa ni mume na mke full stop. Tunahitaji...
  3. Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

    Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023. KILA MTU HAELEZI TATIZO Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei...
  4. Mke kuuza Penzi ndani ya ndoa, Mke kunywa P2 ndani ya ndoa, wanaume wengi wanalamika hii tabia. Ndoa zimekuwaje?

    Habari wadau Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi. Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata penzi akiwa na hamu nalo. Hii inakuwaje? Yaani ununue vyakula ndani ila usiwe na uhakika wa kula...
  5. Ataka kumuua mtoto baada ya kujifungua ili kunusuru Ndoa

    Msichana mwenye umri wa miaka 19 alietambulika kwa jina la Rehema Erick Mkazi wa Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi ameingia matatani kwa kujaribu kumuua mtoto wake kwa kumtupa chooni baada ya kujifungua ili kulinda ndoa yake isivunjike. --- Msichana mwenye umri wa miaka 19...
  6. C

    Mwanamke anapompenda mwanaume mwingine Kuna uwezekano kuwa na mapenzi ya dhati kweli ndani ya ndoa?

    Wakuu habari.. Kichwa kinjieleweza, nilipo sijalala Jana kwa hii kadhia, naombeni ushauri nimwache aende au tusuluhishe.,,😭😭😭
  7. Ndoa ni muungano uliofeli

    Nimeona machapisho mengi kuhusu ndoa zisizofanikiwa. Kuna sababu nyingi zinazochangia ndoa kufeli ambazo ni pamoja na kudanganywa, kukosa uaminifu kati yao, Ukata wa fedha. Lakini Wengine huamka tu asubuhi na kugundua kuwa wake zao/mme wake hana mvuto tena [walimlazimisha ]. Hizi ni baadhi tu ya...
  8. Uhaba wa tendo la ndoa kwenye ndoa za Kitanzania

    Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa? Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa, nisingelioa kabisa huyu mdudu • Wanakuwa wamechoka sana na majukumu ya hapa na pale!? • Wanahisi...
  9. K

    Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza...
  10. Mpenzi wangu sild hataki kunipa mpaka nimuoe kwa ndoa!

    Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025 Nimekaa chini nimefikiria...
  11. Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

    Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa. Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula...
  12. Faida za ndoa kwa mwanamke si kwa ajili yake mwenyewe, mara nyingi ni kwa ajili ya kitu fulani au watu fulani

    Utasikia tu: Ndoa ni heshima kwa wazazi Ndoa ni heshima kwenye jamiii Ndoa ni heshima kanisani Na hata mtu akitaka kuvunja et anawaza Nitaonekanaje mtaani Nitawaaibisha wazazi wangu Kwa maana iyo wanawake weng wameolewa kwa ajili watu na sio mapenzi yao na laiti kma kusingekuwa na mitazamo...
  13. Mada mezani: Kama mahari ni zawadi mabinti wasio na bikra na wale waliozalia nyumbani watolewe mahari kama zawadi ya nini?

    Habari! Tulipopinga suala la mahari kwa kusema kuwa mahari ni biashara ya kitumwa watetezi mkasema mahari ni heshima, ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza binti yao. Kumtunza sawa, lakini ametunzwa vipi huku hana bikra huku wengine wamezaa kabisa? Ile bikra ndio itolewe mahari, bikra ndio thamani...
  14. Ni Mungu gani anaesaidia mtu Mzinifu na anaezaa nje bila ya Ndoa?

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Demu analalamika kuachwa na Jamaa baada ya kupewa Kibendi. Kama unavyojua penye watu hapakosi neno, basi watu wakaanza kutiririka kumpa pole na kumwambia yule Dada kuwa Mungu atamsaidia na mtoto wake. Watu wengine wakawa wanamwambia wanamuombea...
  15. Haya ndiyo makundi yanayoongoza kwa kuwafunza wanawake kuwaandaa waweze kuishi kwenye ndoa

    Jamii zinazoendelea kufunza wanawake kitamaduni, kwa wale tulioweza kuzaliwa kabla ya 90s tuliweza kujionea kina mama wengi waliofundishwa na mama zao kitamaduni jinsi walivyoweza kuzimudu ndoa zao., kwa sasa huu utamaduni umekuwa adimu sana wazazi wanajali mtoto asome elimu ya darasani tu ila...
  16. Sasa ni rasmi ndoa haina thamani tena hata mama mchungaji?

    Aiseeh wanajamvi habari zenu Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana. Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini. Wakati...
  17. Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? (Do you regret your marriage, and why?)

    Habari za wekend. Wanandoa nina swali kwenu Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? Wazungu wanasema Do you regret your marriage, and why?
  18. Wanaume tumuige Sadio Mane kwenye ndoa

    Habari zenu, Ukizungumzia Wachezaji wenye Hekima na Kujali watu basi huwezi kuacha kumtaja Msenegal Sadio Mane. Mane amekuwa ni msaada kwa jamii yake na ametufundisha kitu kwenye mahusiano pia, kitu alichotufundisha ni kwamba unapooa pambana upate Mwanamke ambae ni Mpya na asiekuwa na mapito...
  19. M

    Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

    Mchezaji mpira maarufu Sadio Mane juzi amefunga ndoa na mchumba wake, binti mdogo Mwenye umri wa miaka 18. Mwamba ameamua kuoa dogo dogo kuwahi bikira kabisa kabla wahuni hawajaitoa. Cha kushangaza wanasema ni long time girl friend wake. Nawaza tu mahusiano walianza binti akiwa na miaka mingapi?
  20. Vita za kwenye ndoa

    Na hizi ndio ndoa zenu wapendwa.!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…