Mwalimu :
Wengi wenu mna dhana potofu kwamba ukioa mwalimu mpo in safe side. Hawa watu akili zao zimelala fofofo. Mtu anayeridhirika na ujira wa laki 3 kwa mwezi kwa kutoa sadaka siku zake 30 kwa mwezi ni wa kumuepuka. Hana changamoto mpya katika maisha. Akirudi kazini yuko exhausted kabisa...
HISTORIA iliyowekwa Julai 8, mwaka 2017 ya kufunga ndoa kati ya Mbunge wa Jimbo la Mikumi kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye pia ni rapa mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule (Profesa Jay) na Grace Mgonjo (Mama Lisa) haitafutika tena.
Ndoa hiyo...
Naomba ifahamike wazi linapokuja swala la kufanya sex mwanamke anaweza kuvumilia kutofanya sex kwa muda mrefu, tofauti na mwanaume.
Nimekutana na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wakilalamika kuwekewa masharti haya magumu na watoto wa kike la kutokufanya mapenzi mpaka ndoa.
Kidini na...
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika...
Je unahisi umeshaanza kumchoka mmeo ama mkeo????!!!!
Imeandikwa na Shams Elmi (Abu 'Ilmi)
Takriban katika maisha ya wanandoa walio wengi kama sio wote, ndoa zao hupitia katika vipindi tofauti. Kama ulivyo umri wa Binadamu, ndoa hupitia katika kipindi cha utoto, ujana na uzee, na kila kipindi...
Ndugu na rafiki zangu wa Jamii Forums,
Naomba msaada katika jambo hili.
Nina ndoa ya kama miaka kumi. Nina mume wangu ambae najua ananipenda, nami pia ninampenda. Miaka kadhaa iliyopita nilikutana na jambo ambalo limenitia simanzi sana na sijui hata nifanyeje, kuna wakati siamini kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.