ndoa

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii ndoa ime swihi kweli?

    Wiki iliyopita nilialikwa kwenye harusi ya rafiki yangu. Ameolelwa na mzungu na ilibidi Sheikh aitwe mzungu amkane Yesu kwanza. Tulipika pilau chai ya viungo, maandazi, vitumbua visheti. Bwana harusi kumbe alikiandaa na sanduku 5 za bia, box 2 za wine na chupa 5 za Jack Daniel. Mkewe kwa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ndoa sio mbaya kama watu wengi wanavyofikiri

    Tatizo la ndoa linaanzia kwenye watu wenyewe wanaoingia kwenye hiyo ndoa.Maranyingi tunakosea kwanza kwenye kuchagua mwanamke au mwanaume tunapenda kuangalia sifa za nje zaidi unakuta mwanaume ana mpenda mwanamke kwasababu ya umbo lake au sura bila hata kuangalia mambo mengine yatakayosaidia...
  3. Lizzy116

    JamiiForums Tanzania Padri aingilia ndoa ya Stamina, awaita kanisani na mkewe

    PADRI wa Kanisa Katoliki, Dk Bernard Msike ambaye aliwafungisha ndoa staa wa Hip Hop, Bonaventure Kabogo ‘Stamina’ na mkewe Veronica Peter katika Kanisa la Mt. Maria Consolata mkoani Morogoro, amewaita wanandoa hao kanisani kwa ajili ya usuluhishi. Padri huyo aliwafungisha ndoa hiyo Mei, 2018...
  4. malisoka

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

    Pamoja na changamoto mbali mbali za dini ya kiislamu. Baada ya kuchunguza sana nimegundua katika ndoa na mfumo wake ni Ndoa bora zaidi kuliko za Kikristo . Kama ningeweka katika % basi Ndoa za Kiislamu ni 90% ubora na za Kikristo ni kama 40% Kwa nini nasema hivi? Kwanza mimi ni mkristo na...
  5. Jackal

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Imam asimamishwa kazi baada ya kuoa mwanaume mwenzake

    Imam aliyemwoa mwanamume mwenzake akidhani ni mwanamke amefutwa kazi na baraza kuu la Waislamu Uganda. Huku mjadala kuhusu kama kweli alifahamu jinsia ya bi harusi wake wiki mbili zilizopita alipofanya nikka naye, baraza hilo linasisitiza kuwa kuna dosari kubwa kwa upande wa imam huyo na...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ni upi uhalali wa ndoa ya mkeka?

    Kiukweli nashindwa kuelewa uhalali wa ndoa ya mkeka Ndoa ya mkeka ni ndoa ambayo huwalazimisha vijana kuingia katika ndoa kuwaepusha na kuendeleza zinaa Hufanywa kwa kuwavamiwa watoto hao wawapo faragha na muda huo huo ndoa hupishwa na kufungishwa na shekhe Ndoa hizi zimekuwa zikihusishwa na...
  7. muneera75

    JamiiForums Tanzania Umri na kabila vina matter kwenye masuala ya ndoa?

    Hivi kwanini kabila na umri vinachangia kuzuia ndoa au kuruhusu ndoa? Mfano utaulizwa huyo mwanaume ana umri gani ukisema tupo sawa watu wana doubt, why?
  8. trouble maker

    JamiiForums Tanzania Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    CHUNGU LAKINI DAWA Kama hana bikra usimuoe, achana naye. Tafuta mwenye bikra ujichukulie mwali. Kama hana bikra usitoe mahari kama umeamua kuoa. Toa mahari kwa mwanamke uliyeikuta bikra kwake. Mtu hana bikra unatoaje mahari. Kama hana bikra usifanye harusi. Harusi ni kwa mwanamke mwenye bikra...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Akatwa nyeti zake na mkewe baada ya kushindwa kutimiza ahadi ya kumlipa 5000 baada ya mshindo kwenye tendo la ndoa

    Wanaume nchini Tanzania wanapaswa kuongeza umakini zaidi wakati wa tendo la ndoa kutokana na kushamili kwa matukio ya kukatwa nyeti zao na wapenzi wao. Siku kadhaa zilizopita askari polisi mkoani shinyanga (28) alikatwa nyeti na mke wake na leo Mkazi mmoja wa Wilayani Serengeti amekatwa sehemu...
  10. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bima ya Afya nchini Kenya kugharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja

    Bima ya Afya nchini, NHIF, sasa itakuwa inagharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja. Vile vile, bima hiyo pia itakuwa sasa inagharamia watoto watano tu baada ya mageuzi ambayo yalianza Januari 1, 2020. Bima ya afya humu nchini NHIF...
  11. M

    JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI: Girlfriend/ Fiancee; Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake Hatari kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana vitombi au...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Girlfriend Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana walaini kwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa haraka: Ndoa mwezi mmoja, mimba miezi miwili

    Habarini! Niende kwenye mada. Jamaa yangu wa mbali lakini niliye na uhusiano nae wa karibu kabisa kwa mambo mengi na msiri wangu mkuu alioa mwanzoni mwa mwezi uliopita, ilikuwa tarehe 2. Leo asubuhi ya saa tano hivi alinijia nyumbani akiwa amefadhaika mno, nilistuka! Alichonieleza na ambacho...
  14. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Kizuizi cha kuingia kwenye ndoa

    Kuna sababu nyingi kwa vijana kutoingia kwenye ndoa. Lakini sababu zinazojulikana zaidi ni hitaji la kifedha, kujiandaa binafsi, na ukosefu wa mwenza anayefaa. Sababu hizo mbili za mwisho zinachukuliwa kama jukumu la utamaduni. Kutokana na tamaduni juu ya maswala ya ngono, familia, na dini...
  15. Mtoto wa nzi

    JamiiForums Tanzania Ananiamini lakini ana wasiwasi na aliujenga yeye maisha ya ndoa

    Ni mwanamke wa kwanza kumjua maishani .. Na ndio amekuwa mke wangu ... Ndio demu wangu wa kwanza 1999 primary za kinguonguo) na mpaka leo ndio mke wangu nlikutana nae tena 2002 ...Wa ndoa .... Baada ya kujifungua huyu mtoto wetu ... Yaaani alinipotezea kabisa ....hamu ya tendo sijui...
  16. masai dada

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

    Heri ya mwaka wandugu. Ukweli nimeona nije na hii ID kabisa tu maana uchungu nilionao moyoni nahisi kufikia point ya kuhitaji msaada. Nilikuja na ID hii mamii90 kuomba ushauri tu. Naomba uangalie ule uzi wa familia ya mume ndo utapata muendelezo wa hii. Watu wengi walionishauri walisema ongea...
  17. Lizzy116

    JamiiForums Tanzania Siri 6 za wanawake ambazo kamwe hawawezi kukuambia

    1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli. 2. Anakulinganisha na mpenzi wa...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanandoa vikongwe zaidi duniani kusheherekea miaka 80 ya ndoa

    Wanandoa wakongwe zaidi duniani wanaoishi nchini Marekani, John na Charlotte Henderson kusheherekea miaka 80 ya ndoa yao. Kwa mujibu iliyoandikwa na jarida la Washington Post, Charlotte (105) na John (106) wanandoa ambao wamedumu kwenye ndoa kwa miaka 80, ndoa yao inasemakana kama ndoa...
  19. CORAL

    JamiiForums Tanzania Wenzi wa ndoa wajinyonga mara tu baada ya ya harusi. Pana funzo hapa

    Ile tabia ya wachumba kufanya sherehe za gharama kubwa wakitegemea michango ya watu imewagharimu uhai wanandoa mara baada ya harusi yao huko Kenya. Walikodi hoteli ya nyota 5, walikodi helikopta na mbwembwe nyingine nyingi wakiamini michango itawacha wakiwa mamilionea baada ya harusi. Lakini...
  20. jonas255

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kuvunja ndoa bomani

    Habari wana JF Mimi nilifunga ndoa ya bomani, ila ndoa yangu iliingia doa na uwezekano wa kurudiana imeshindikana. Nilikua naitaji kujua taratibu za kuvunja ndoa za bomani, maana sheria inataka ndoa za Kiislam tu ndio zivunjwe mahakamani, ila za Kikristo na za bomani hazijazungumziwa. Asanteni.
Back
Top Bottom