Kwa wanaume tu walio oa

sabuwanka

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
690
751
Hongereni wanaume marijali mnaotunza familia zenu na watoto Jambo linalopunguza watoto wa mitaani , Leo nilikuwa katika usafiri wa public transport kulikuwa na majaridiliano makali kuwa wanaume wote wenye michepuko huwa wanamudu changamoto za ndoa na kuepukana na talaka!!! Waliotoa msimamo huwa walitoa hoja kuwa mke ndani akinuna unakuwa na mahali pa kupunguzia stress, ukinyimwa unapakujihifadhi,hivyo ukirudi ndani unakuwa stress-free!!!! ikitokea misuko suko ya ndoa michepuko anakuwa shork up absorber, hivyo hutikisiki!!!Je kuna ukweli juu ya hili? Karibuni
 
Nadhani ni kweli na ina'apply pande zote mbili...
Kwanini uwe mtu wa tafrani na visirani home wakati ushapunguza stress kidogo sehemu?
Akiwa bize na nyumba ndogo na we unapooza kidogo mara moja moja akirudi home amani inatawala
Kelele za nini na we una yako.?
Kikubwa kuheshimiana na kupendana ndani
 
Back
Top Bottom