Padri aingilia ndoa ya Stamina, awaita kanisani na mkewe

Lizzy116

Member
Nov 23, 2019
12
19
PADRI wa Kanisa Katoliki, Dk Bernard Msike ambaye aliwafungisha ndoa staa wa Hip Hop, Bonaventure Kabogo ‘Stamina’ na mkewe Veronica Peter katika Kanisa la Mt. Maria Consolata mkoani Morogoro, amewaita wanandoa hao kanisani kwa ajili ya usuluhishi. Padri huyo aliwafungisha ndoa hiyo Mei, 2018 ambayo imedumu kwa takriban mwaka mmoja na miezi kadhaa kisha kumwagana na kuzua gumzo kama lote mitandaoni wiki iliyopita.

STORI:DUSTAN SHEKIDELE, RISASI

Wanaume wengi hawajui nguvu walizopewa na Mungu kumdhibiti na kumtiisha mwanamke! Wanaume wamekuwa kama wanawake na wanawake wamewapanda wanaume vichwani na kuendesha familia/ndoa sasa utegemee nini? Eti siku hizi mwanaume anapigwa na mwanamke! Duhhhh????
 
Ndoa za siku hizi bwana!
Kuna staff mwenzangu wamefunga ndoa 30/7/2017 ila hivi ninavyo andika hii comment wameshatengana na wako kwenye kesi ya kugawana mali!
Chanzo kikubwa ni hawa wanawake wenye midomo mirefu, hawana adabu, hawana staha, sio avumilivu, sio waelewa, wana papara, wana viherehere, wakikutana na checkbob nae yuko nguli ndoa hapo ni ya kuhesabu siku
 
Ndoa za siku hizi bwana!
Kuna staff mwenzangu wamefunga ndoa 30/7/2017 ila hivi ninavyo andika hii comment wameshatengana na wako kwenye kesi ya kugawana mali!
Naam, ndoa ni ujasiriamali kama yalivyogeuka makanisa. Inatakiwa hekima ya kimungunkumpata mtu sahihi na wewe pia kuwa mwanamume sahihi

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Wanaume wengi hawajui nguvu walizopewa na Mungu kumdhibiti na kumtiisha mwanamke! Wanaume wamekuwa kama wanawake na wanawake wamewapanda wanaume vichwani na kuendesha familia/ndoa sasa utegemee nini? Eti siku hizi mwanaume anapigwa na mwanamke! Duhhhh????
Hawa wanawake wa siku uwapige hata uwatishie kiwapiga unafikiri ukirudi utamkuta nyumbani?

Wakati kuna njemba kama 100 zinambembeleza inbox ya facebook.
 
Kumtisha unaishi na partner au mfungwa....

Ndoa hazidumu siku hizi sababu ya uvumilivu kutokuwepo kutokana na partners wote kuwa na plan B, hapo zamani za kale mabibi zetu hata wakipigwa walikuwa hawawezi kurudi kwao sababu watarudishwa na wakiachika jamii itawaona hawafai Kwa sasa partner wote wana vipato na wanaweza kuendesha maisha a yao peke yao...

Kwahio ndoa hazidumu sio sababu wanaume wa sasa ni wakorofi kuliko wa zamani bali sababu wanawake wa sasa hawawezi / hawana ulazima wa kuvumilia kama zamani (wana option)
 
Katika kitabu hiki Dr myles munroe kaeleza vizuri sana kuhusu ndoa.
Screenshot_20200119-071451.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lizzy116,

kuna vitu huwa tunavitafuta wenyewe .mmekutana leo kesho mnataka kuoana ndo haya.
kaa na mtu jata miaka 10 na mkifunga ndoa hapo kweli ndoa
 
Msipo kuwa kwenye page moja ndoa inakuwa chungu balaa, hasa itokee mmoja awe mmbishi au mkorofi i.e. mkoloni. Ndugu Padre hapo yahitaji busara ya juu sana maana hawa wawili wana onekana vichwa maji.
 
Hawa wanawake wa siku uwapige hata uwatishie kiwapiga unafikiri ukirudi utamkuta nyumbani?

Wakati kuna njemba kama 100 zinambembeleza inbox ya facebook.
Hao wa fesibuku sio waoaji mara nyingi wanaonja wanasepa.

Kiujumla ndoa ni ya mwanamke na kiukweli anaeumia zaidi kwa kukosa ndoa ni mwanamke. Kama unabisha muulize singomaza yyte unaemjua.

Wanamke wabichi wanakuwaga hawana akili wanafikiri kuolewa ni rahisi tu kama kutikisa maembe. Akili inawajia wameshazalishwa na ni mwaka wa 10 hajaona mwanaume anayehangaika nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom