Polepole, kupanda ndege siyo anasa na wala kusafiri kwa barabara siyo kigezo cha kuwapenda masikini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,364
108,407
" Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole

EastAfricaRadio

Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi / sijifichi na namkubali mno Rais Dkt. Magufuli ila ' ninakereka ' mno na Ujengaji wa Hoja Ukiongea.
 
Kumshangaa na Kumkosoa ( Kumrekebisha ) Mtu ndiyo Kufarakana huko Mkuu? Kuna Watu ni Wapumbavu na sijui kwanini CORONA imewaacha.
Sasa hapa we we umejenga hojagani?? Polepole anahoja sana hata kina Mnyika walomsumbuaga Nauye hawawezi mjadala nae!!
Unasahau mkapa alijinunulia ndege kutafuta maraha?? Umesahau masafari ya nje ya kikwete gang? Huyu hashobokei wazungu!! Anajenga nchi na anazunguka kutatua shida za watu on the ground huko hewani atasimamishwa nanani atatue kero zao? Msipingepinge kilajambo mpemtu sifa anayostahili
 
Tatizo la athari zitokanazo na akili za kimaskini, hata vitu vya kawaida kabisa huonekana kuwa ni anasa. Kuna vikao muhimu sana vyenye kuwalazimu viongozi kutoka nchi mbalimbali duniani kukutana.

Huyu wa kwetu kukwepa kwenda nje ni kutaka kuficha madhaifu yake wala si kuwapenda maskini. Sasa hayo madege ambayo ameyanunua tena kinyume hata na taratibu za manunuzi ya vitu vya umma, huo ujasiri na uadilifu wa kuhalalisha kusema hivyo unatoka wapi!
 
Viongozi wengi wa CCM wana hoja nyepesi mno hadi unashangaa hawa ndio wanasiasa wanaojitapa wamekulia kwenye Siasa? Ndo maana unawaona waliokuwa Wabunge kupitia CCM kwa sasa wanakula migahawani kuonesha hata wao wana maisha ya chini. Katibu Mwenezi hapaswi kuwa na hoja nyepesi Kama hizi lakini hapo anajiona kaongea bonge la point na Wapambe wameshangilia.
 
Usafiri wa barabara anaotumia Magufuli ni gharama kubwa na mzigo kwa hao wanyonge kuliko angetumia ndege,ni bahati mbaya watanzania hawana uwezo wa kulielewa hili,na hilo la kutokwenda ulaya si kwamba haendi kwa kuwa anatupenda sana bali his incompetency,kazi ya baba si kujenga na kuangalia nyumba tu bali kutengeza connects kwa maslahi mapana ya familia na hasa watoto wake
 
Tatizo la athari zitokanazo na akili za kimaskini, hata vitu vya kawaida kabisa huonekana kuwa ni anasa. Kuna vikao muhimu sana vyenye kuwalazimu viongozi kutoka nchi mbalimbali duniani kukutana.

Huyu wa kwetu kukwepa kwenda nje ni kutaka kuficha madhaifu yake wala si kuwapenda maskini. Sasa hayo madege ambayo ameyanunua tena kinyume hata na taratibu za manunuzi ya vitu vya umma, huo ujasiri na uadilifu wa kuhalalisha kusema hivyo unatoka wapi!
Ccm is a group of wajingas
 
HP, kasema ukweli, Mh Rais anawapenda masikini...ndio sababu kawanunulia midege 11 kwa pesa taslimu za ndani. Upendo gani unazidi huo?
 
Sasa hapa we we umejenga hojagani?? Polepole anahoja sana hata kina Mnyika walomsumbuaga Nauye hawawezi mjadala nae!!
Unasahau mkapa alijinunulia ndege kutafuta maraha?? Umesahau masafari ya nje ya kikwete gang? Huyu hashobokei wazungu!! Anajenga nchi na anazunguka kutatua shida za watu on the ground huko hewani atasimamishwa nanani atatue kero zao? Msipingepinge kilajambo mpemtu sifa anayostahili
Mkuu kero za watanzania hazitatuliwi na ziara za Rais,mtu anaye tekeleza budget kwa wastani wa 34% hiyo nchi anaijenga na Nini?
 
Sasa hapa we we umejenga hojagani?? Polepole anahoja sana hata kina Mnyika walomsumbuaga Nauye hawawezi mjadala nae!!
Unasahau mkapa alijinunulia ndege kutafuta maraha?? Umesahau masafari ya nje ya kikwete gang? Huyu hashobokei wazungu!! Anajenga nchi na anazunguka kutatua shida za watu on the ground huko hewani atasimamishwa nanani atatue kero zao? Msipingepinge kilajambo mpemtu sifa anayostahili

Unachosahau ni kwamba Rais ni TAASISI, yeye kama JPM kutokwenda nje haina maana Rais hafiki nje. Balozi, Wizara ya Mambo ya Nje na wasaidizi wote wanao fanya kazi nje huko wanafanya kwa niaba ya TAASISI ya Urais. Ndiyo maana alisema kuna haja gani yeye personally kuzunguka nje ikiwa kuna Balozi na Wizara ya foreign affairs!

Nafikiri tuwe na mjadala wa kupima IMPACTS kwa yeye personal kutokwenda nje kama Rais, tujue gharama za kifedha tulizo okoa zina faida kiasi gani kulinganisha na faida Taifa lingepata kwa yeye kwenda nje katika jicho la kidiplomasia.
 
Kama angekuwa anajenga hoja mpaka kina Mnyika wanamshindwa, matumizi ya watu wasiojulikana na vyombo vya dola ni ya nini?
 
Unachosahau ni kwamba Rais ni TAASISI, yeye kama JPM kutokwenda nje haina maana Rais hafiki nje. Balozi, Wizara ya Mambo ya Nje na wasaidizi wote wanao fanya kazi nje huko wanafanya kwa niaba ya TAASISI ya Urais. Ndiyo maana alisema kuna haja gani yeye personally kuzunguka nje ikiwa kuna Balozi na Wizara ya foreign affairs!
Nafikiri tuwe na mjadala wa kupima IMPACTS kwa yeye personal kutokwenda nje kama Rais, tujue gharama za kifedha tulizo okoa zina faida kiasi gani kulinganisha na faida Taifa lingepata kwa yeye kwenda nje katika jicho la kidiplomasia.
Acha ujinga, nani kwakwambia rais ni taasisi? Kuna rais na kuna ofisi ya rais.
 
Sasa hapa we we umejenga hojagani?? Polepole anahoja sana hata kina Mnyika walomsumbuaga Nauye hawawezi mjadala nae!!
Unasahau mkapa alijinunulia ndege kutafuta maraha?? Umesahau masafari ya nje ya kikwete gang? Huyu hashobokei wazungu!! Anajenga nchi na anazunguka kutatua shida za watu on the ground huko hewani atasimamishwa nanani atatue kero zao? Msipingepinge kilajambo mpemtu sifa anayostahili
Tatizo hawezi kijieleza kwa kimalkia, hivyo anaona aibu ya kujidhalilisha. Heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Back
Top Bottom