ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Ze Heby

    JamiiForums Tanzania Bunge laazimia Serikali inunue ndege nyingine kwa ajili ya kuhudumia viongozi

    Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa. Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 13, 2024 na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Joseph Mhagama, ambaye ameeleza...
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka jeuri ya pesa ya Qatar kupandisha ndege ng'ombe wa maziwa 4000 sababu Saudia ilizuia kupitisha maziwa

    Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani. Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe! Mwenye kisa hiki tuelezeni.
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kupata ndege, mdudu, mti, ua, samaki wa taifa

    Sasa kuna kampeni ya kupata vazi la taifa. Kwa ajili ya utalii na utamaduni tunatakiwa kupata vingi vya taifa. Mti, ndege, ua, mdudu, samaki nk nk. 1. Napendekeza siafu awe mdudu wa taifa 2. Secretary bird awe ndege wa taifa.
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nahitajika Mshirika tuchange naye BTTS mbili kianzio 10000 kila siku formula hii hapa

    Sina mambo Mengi sana ipo hivi nataka mshirika aliye serious tufanye ushirikiano wa kula hela japo ndogondogo kila siku formula hii hapa yeye Atachagua team moja ya GG Na Mimi nitachagua yangu moja kisha tutazicombine na angalau zikitoa maximum odds ya 3 basi tunaweka mzigo wa 20000 yeye 10000...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Iko Mbioni Kujenga Uwanja wa Ndege Zenye Uwezo wa Kubeba Abiria 50 Mkoani Singida

    Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile na kusema kuwa Serikali iko mbioni kujenga uwanja wa ndege wa daraja 2C Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Rais ametoa maelekezo ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza. Je, watendaji watatekeleza?

    Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk Je, watendaji wakiwemo wakurugenzi, katibu mkuu na waziri wa uchukuzi Mbarawa hawatamwangusha Rais na kumchafua kanda ya ziwa...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Meli ya Uingereza yalipuliwa na Houthis ilikuwa imebeba mafuta ya ndege

    Wanakumbi. Kumekucha tena bahari nyekundu imechafuka Wayemeni wanapambana na Magaidi Marekani na Uingereza safi sana. Biden, anaomba msaada China kupambana na Yemen anaulizwa kwa wao wanapigana sababu gani anasema tu hawa ni magaidi China kamwambia basi endelea na vita. Yule Muhindi wa...
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania China na kuzindua ndege yake C919 lakini vitu vyote vinatoka kwa wababe wake

    China kumbe naye ni mjanja sana na mbwembwe zote kuzindua ndege zake lakini mfumo mzima amesaidiwa na mataifa ambayo anayaletea kifua. Ukishangaa ya Yemeni na Palestina basi ya China ndiyo haya angalia ndege ya China.
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nani ameweka hizi bei elekezi za taxi pale Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere?

    Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda. Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda. Hata hivyo, walioweka bei hizi...
  10. Watu8

    JamiiForums Tanzania Kuna nini ndege za ATCL safari za ndani?

    Hivi ninavyoandika abiria wa ndege za ATCL kwenda Arusha, Bujumbura, Dodoma wapo stranded Terminal II ya JKNIA kwa sababu ya kutokuwepo kwa ndege zinazoenda maeneo hayo... Taarifa zisizo rasmi toka kwa wafanyakazi wachache waliopo hapa wanatoa excuse sijui **** shida kwenye runway lakini ndege...
  11. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Waarabu wa Gaza walalamika kulishwa ugali, wasema ni chakula cha Ndege

    Haya sasa twende wale raia wavivu wa Israel waliozoea misaada maisha yao yote sasa wajanja wao wanaokusanya misaada yote inayoingia Ukanda wa Gaza wameacha kuwaletea mchele wa basmat na unga wa ngano for bread na wameanza kupeleka mahindi na nafaka zingine ukiwepo mchele kitumbo, so kinachoweza...
  12. LINGWAMBA

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa ujasusi wa M23 auawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani DRC

    Mkuu wa kitengo cha ujasusi wa kundi la waasi la M23 ameripotiwa kuuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Maafisa wamefichua kwamba, Kanali Castro Elise Mberabagabo aliuawa jana Jumanne katika shambulio la vikosi vya jeshi la Congo kwenye...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Kumekucha. Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya. Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani. ====== Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa...
  14. ze kokuyo

    JamiiForums Tanzania Ukraine yadai kutungua ndege kubwa ya kisasa ya Urusi

    Ukraine inadai kutungua ndege ya kisasa ya Urusi A-50 AWACS. Kazi kubwa ya ndege ilikua ni kuelekeza makombora ya S-400 kuweza kutungua ndege Vita za ukraine zikiwa umbali mrefu zaidi. Urusi inadai inaweza kuona kombora likiwa umbali wa zaidi ya kilometa 1000 na ndege umbali zaidi ya km 400...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...

    Wanabodi! Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila mimi ni political advisor mzuri tuu, nimeisha wahi kuwa hired kuwa a political advisor wa taasisi mbalimbali kubwa tuu za kitaifa na kimataifa ambaye kwa sasa naendesha kipindi kiitwacho KMT kinachorushwa na Kituo cha...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani uchangiwe na Maadui wa Kaunda, Chamazi, Kiomboi na Mlaji wa Ndege Mwenyewe halafu Unyanyue Kwapa Kisiwani?

    Nani aliyewadanganya kuwa hawa Watajwa wote walirejea Tanzania Bara? Wameshirikiana sana Kiutamaduni. ,,.,,.....,,..... ..... .,,.. oni ambaye hakika alishindwa Kufurukuta leo Ziarani Unguja na kuwa Mkali kama ilivyo Asili yake.
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Uingereza na Marekani wametuma ndege za kivita kupambana na kundi Hauthi la Yemeni

    Katika maeneo lisilofahamika, zinaonekana Jet fighters za Uingereza na Marekani zikirushwa kuelekea eneo ambalo kundi la kigaidi la Hauthi kutokea Yemen lilikoweka kambi. Kundi la Hauthi limeleta kashi kashi katika Mwambao wa bahari ya Sham (Red Sea) na kupelekea Meli zinazokatiza bahari hiyo...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Siri za ATCL zaanza kuvuja, ni kuhusu ndege ya Bombardier

    Hebu jisomee mwenyewe huu utetezi duni. ======== Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa zilizoandikwa mitandaoni kwamba iliuziwa ndege hii ya Q300 Bombardier ikiwa tayari ‘imechoka’ ikiwa pia ni Ndege ya zamani ambayo ilishakosa vigezo vya kuendelea kuruka. Baada ya kuandikwa...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Baba levo atabiri ajali ya ndege 2024

    Babalevo a.k.a B-levo Ba, a.k.a Fundi Majumba amekuja na utabiri wa ajali ya ndege 2024
  20. K

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania fanyeni marekebisho ya ndege zenu

    Tarehe 30-12-2023 nimepanda ndege yenu iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou iliyopewa ruti namba TC 402. Button za viti ambazo utumika kuweka kiti kwa mkao anaoutaka mtumiaji nyingi zimeharibika.Hili linapelekea msafiri kutokuwa na uwezo wa kuweka kiti atakavyo na kupelekea kero...
Back
Top Bottom