Meli ya Uingereza yalipuliwa na Houthis ilikuwa imebeba mafuta ya ndege

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,994
32,431
Wanakumbi.

Kumekucha tena bahari nyekundu imechafuka Wayemeni wanapambana na Magaidi Marekani na Uingereza safi sana.

Biden, anaomba msaada China kupambana na Yemen anaulizwa kwa wao wanapigana sababu gani anasema tu hawa ni magaidi China kamwambia basi endelea na vita.

Yule Muhindi wa Uingereza yeye wakati anashambulia Yemen alijitoa ufahamu akasema hii vita aina uhusiano na vita vya Gaza basi wandelee kumlinda Zayuni waone balaa lake.

Meli ya Uingereza iliyogongwa na Houthis imebeba mafuta ya ndege

Waandishi wa habari wa baharini wanasema meli ya Uingereza ya Marlin Luanda inabeba mafuta ya ndege ya Naptha, ambayo yanaweza kuwaka sana.

Iwapo meli hii itazama, itakuwa meli ya kwanza kuzamishwa na mashambulizi ya Yemen

View: https://x.com/megatron_ron/status/1751051387968852170?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
CONFIRMED.
Ngoja tuone watajibuje.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-01-27-07-40-52-20_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-01-27-07-40-52-20_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    97.3 KB · Views: 3
CONFIRMED.
Ngoja tuone watajibuje.
Watajibu nini zaidi ya kushambulia Yemen, wameingia kwenye mtego wa Wayemen, Qatar na Saudia waliwambia msiwashambulie hawa mashambuliizi hayawezi kuwazuia kitu hawa, tunawajua hawa ni wehu wa vita Marekani na Uingereza wakaleta ubabe wa kizamani ndoani imekwama lawama anapewa Iran wanamwambia anawapa makombora, uzuri wa hii vita inapiganiwa baharani😂
 
Wanakumbi.

Kumekucha tena bahari nyekundu imechafuka Wayemeni wanapambana na Magaidi Marekani na Uingereza safi sana.

Biden, anaomba msaada China kupambana na Yemen anaulizwa kwa wao wanapigana sababu gani anasema tu hawa ni magaidi China kamwambia basi endelea na vita.

Yule Muhindi wa Uingereza yeye wakati anashambulia Yemen alijitoa ufahamu akasema hii vita aina uhusiano na vita vya Gaza basi wandelee kumlinda Zayuni waone balaa lake.

Meli ya Uingereza iliyogongwa na Houthis imebeba mafuta ya ndege

Waandishi wa habari wa baharini wanasema meli ya Uingereza ya Marlin Luanda inabeba mafuta ya ndege ya Naptha, ambayo yanaweza kuwaka sana.

Iwapo meli hii itazama, itakuwa meli ya kwanza kuzamishwa na mashambulizi ya Yemen

View: https://x.com/megatron_ron/status/1751051387968852170?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Saf sana, wababe wa dunia wa kimichongo wanahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom