Waarabu wa Gaza walalamika kulishwa ugali, wasema ni chakula cha Ndege

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,392
9,759
Haya sasa twende wale raia wavivu wa Israel waliozoea misaada maisha yao yote sasa wajanja wao wanaokusanya misaada yote inayoingia Ukanda wa Gaza wameacha kuwaletea mchele wa basmat na unga wa ngano for bread na wameanza kupeleka mahindi na nafaka zingine ukiwepo mchele kitumbo, so kinachoweza kupikwa ni ugali, Wali bokoboko na Makande.

Wamelalamika na ndio kilio cha sasa huko gaza yote even Hamas wamekasirika sana kudharauliwa as if wao wamefananishwa na wanyama au Waafrica.. "tizama wanaleta mahindi chakula cha ndege na wanyama alisikika Gaidi akilalama tule binadamu nini maana yake hii ebo" tunataka mchele tule ubwabwa, ngano na mikate iliyopikwa tayari tunataka chapati za ufuta." Wakiongea kwa hasira.

‘People eat food for birds and animals, not for humans’: Jabalia resident

In videos obtained by Al Jazeera, Palestinians at the Jabalia refugee camp market in the northern Gaza Strip expressed their suffering as they looked to secure daily food sustenance amid dire shortages of flour and food in the markets and an absence of humanitarian aid. “We have no food, only some rice. We do not have flour. There is crowding over the available quantities,” one person said.

“We have been living in suffering for 104 days. Today we are searching for our daily food.

There is no flour or wheat. People eat corn, and this is food for birds and animals, not for humans” another person said. “The average citizen in Gaza lives from day to day.

We try to secure flour and ready-made bread, but unavailable. People do not have money. The situation is very difficult.”
 
Ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kufurahia mateso ya binadamu mwenzie hali yakuwa yeye mwenyewe ajui ni kipi kitamtokea kesho.
Ww unawacheka hao kula ugali ila ww unaweza jikuta siku moja unakula mavi kabisa.
 
Chakula cha bure nacho kina chaguzi.?Maskini hana chaguo waache uduanzi 🤔
 
Haya sasa twende wale raia wavivu wa Israel waliozoea misaada maisha yao yote sasa wajanja wao wanaokusanya misaada yote inayoingia Ukanda wa Gaza wameacha kuwaletea mchele wa basmat na unga wa ngano for bread na wameanza kupeleka mahindi na mtama so kinachoweza kupikwq ni ugali na Makande.. wamelalamika na ndio kilio cha sasa huko gaza yote even Hamas wamekasirika sana kudharauliwa as if wao wamefananishwa na Waafrica.. "tizama wanaleta mahindi chakula cha ndege tule binadamu nini maana yake hii ebo" tunataka mchele tule ubwabwa na ngano tule chapati za ufuta." Wakiongea kwa hasira..

‘People eat food for birds and animals, not for humans’: Jabalia resident​

In videos obtained by Al Jazeera, Palestinians at the Jabalia refugee camp market in the northern Gaza Strip expressed their suffering as they looked to secure daily food sustenance amid dire shortages of flour and food in the markets and an absence of humanitarian aid.
“We have no food, only some rice. We do not have flour. There is crowding over the available quantities,” one person said.
“We have been living in suffering for 104 days. Today we are searching for our daily food. There is no flour or wheat. People eat corn, and this is food for birds and animals, not for humans” another person said.
“The average citizen in Gaza lives from day to day. We try to secure flour and ready-made bread, but unavailable. People do not have money. The situation is very difficult.”
Hapo hujaelewa kiingereza tu mkuu
 
Kusoma kwangu kote Biblia kwa ujanja ujanja sijawahi kuona sehemu yoyote ,nabiii alisonga ugali au alilima mahindi.Ila mkate ,ngano upo.Imagine mtu anakupikia liugali na manywele (Mansansa).
 
Kwamba waafrika sawa na wanyama watanzania ndio nguruwe, hahaha ila hapa hutaona wakitoa kauli yoyote kuhusu hizi dharau ndio kwanza tunawatetea
 
Hapo challenge ni tafsiri tu ya kilichoandikwa.Wanacholalamika hao ni kukosekana kwa unga.Corn ni mahindi ya mabichi hivyo huenda wanapewa mahindi ya kuchoma tu
 
Kusoma kwangu kote Biblia kwa ujanja ujanja sijawahi kuona sehemu yoyote ,nabiii alisonga ugali au alilima mahindi.Ila mkate ,ngano upo.Imagine mtu anakupikia liugali na manywele (Mansansa).
Cultural diversity
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Hapo challenge ni tafsiri tu ya kilichoandikwa.Wanacholalamika hao ni kukosekana kwa unga.Corn ni mahindi ya mabichi hivyo huenda wanapewa mahindi ya kuchoma tu
Kwahiyo hiyo ndio tafsiri sahihi Muslim dot com ?
 
Ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kufurahia mateso ya binadamu mwenzie hali yakuwa yeye mwenyewe ajui ni kipi kitamtokea kesho.
Ww unawacheka hao kula ugali ila ww unaweza jikuta siku moja unakula mavi kabisa.
Probably utakuwa Muslim wewe maana ndio wanaamini ujinga na uongo kuwa ni sehemu ya ibada.. ila hamjui kuwa Muslim ni Program ya Allah au Apps kila kitu keshawapangia kitakachowatokea ikiwepo jehanam.. so wapi mimi katika maandiko nimecheka au kufurahia zaidi ya kuleta malalamiko yao humu kuwa wanachopewa kwa sasa Mahindi wanasema ni chakula cha Ndege na wanyama. Kwa akili yako wewe unapata jibu gani kwa majitu kama ya Gaza yaani msaada umekuwa kero kwao wanataka misaada mizuri.. Wanasahau Mtume wao aliwaambia Muslim akiwa na njaa hata haram like Nguruwe ale tu asife.. why Mahindi karibu Africa nzima inakula.. hii mijitu of stupid are not human.. ndio maana Netanyahu aliwaita Human animal wacha wale mahindi they are deserve
 
Kusoma kwangu kote Biblia kwa ujanja ujanja sijawahi kuona sehemu yoyote ,nabiii alisonga ugali au alilima mahindi.Ila mkate ,ngano upo.Imagine mtu anakupikia liugali na manywele (Mansansa).
Unataka Biblia iandikwe utakavyo? Be a powerful king utaweza change the history utaongeza maneno Mussa alipomaliza kula ugali na sombe akapiga fimbo yake baharini na Maji yakajigawa pande mbili
 
Kusoma kwangu kote Biblia kwa ujanja ujanja sijawahi kuona sehemu yoyote ,nabiii alisonga ugali au alilima mahindi.Ila mkate ,ngano upo.Imagine mtu anakupikia liugali na manywele (Mansansa).
Grow Up

Kwa hiyo kama chakula hakipo kwenye Biblia ina maana hakiliwi?

Parachichi, Nanasi, Ndizi, Maembe yote hayajaandikwa kwenye Biblia Ina maana hayaliwi??

Halafu ukisoma Biblia mahali palipoandikwa nafaka haina maana ni ngano peke yake...soma na Biblia ya kiingereza Utakuta neno 'Corn'
 
Back
Top Bottom