Yemen yashambulia ndege vita ya USA na kuzamisha meli ya Uingereza!

kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
3,056
8,705
Katika muendelezo wa serikali ya Houthi ya Yemeni kuiunga mkono Palestine na kujibu mashambulizi ya USA na Uingereza,Leo usiku imeendeleza mashambulizi yake dhidi ya meli ya Uingereza kw akuipiga makombora na kutungua ndege vita ya USA aina ya MQ9. The average unit cost of an MQ-9 is estimated at $30 million in 2022 dollars. Ndani ya mwezi mmoja Houthi wametungua ndege 2 za MQ9

Aina ya ndege iliyotunguliwa


20240219_100915.jpg




Jinsi meli ya Uingereza yenye jina la RUBY-MAR ilivyozama baada ya kupigwa kombora.


NB-ndani ya miezi mitatu Houthi wameshambulia meli zaidi ya 30 ambazo zinamilikiwa na kampuni za USA, Israel na Uingereza
20240219_164820.jpg



Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza punde taarifa hizo,

View: https://twitter.com/army21ye/status/1759476423507497325?t=mqcq8QQEsymxx0Ey5RXsyw&s=19
 
Hizo ni porojo tu za hao magaidi hakuna meli iliyo zamishwa na hiyo ndege walioangusha ni drone tu.

Unaelewa nini ukiambiwa come to halt??
Hiyo meli imechakazwa halt maana yake ni terminate hivyo huwenda ni kweli imezama.
Soma link uliyoleta kwa ufasaha.
 
Safi sana Houthi. Endeleeni tu hadi USA aje kuwavamia halafu tuanze kuandamana anawaonea.
 
Back
Top Bottom