China na kuzindua ndege yake C919 lakini vitu vyote vinatoka kwa wababe wake

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
China kumbe naye ni mjanja sana na mbwembwe zote kuzindua ndege zake lakini mfumo mzima amesaidiwa na mataifa ambayo anayaletea kifua.

Ukishangaa ya Yemeni na Palestina basi ya China ndiyo haya angalia ndege ya China.

299750171_3192868160929759_1491007132316152546_n.jpg
 
China kumbe naye ni mjanja sana na mbwembwe zote kuzindua ndege zake lakini mfumo mzima amesaidiwa na mataifa ambayo anayaletea kifua.

Ukishangaa ya Yemeni na Palestina basi ya China ndiyo haya angalia ndege ya China.

View attachment 2882621
Hizo ni biashara za kimataifa.. huwezi ufanya kila kitu mwenyewe.. ipo mikataba ya biashara... mfano hapa tz ili uweze kuanzisha kampuni ni rahisi sana mkiwa wamiliki zaidi ya mmoja ( mnaweka hisa)...
 
China kumbe naye ni mjanja sana na mbwembwe zote kuzindua ndege zake lakini mfumo mzima amesaidiwa na mataifa ambayo anayaletea kifua.

Ukishangaa ya Yemeni na Palestina basi ya China ndiyo haya angalia ndege ya China.

View attachment 2882621

Hizo propaganda tu, Asilimia kubwa ya Vifaa ni vya china kama tu ndege nyingine Duniani....ambapo baadhi ya vifaa huagizwa nje hata Boeing hufanya hivyo hivyo.....
Marekani wanapiga sana vita China isionekane imeendelea kwa technologia kitu ambacho hawatakiweza....kwani China inakwenda kwa kasi sana.....ipo level nyingine....
Wamarekani walianza kusema Ndege hiyo haina ubora na kuipinga sana isiingie sokoni (kama vifaa vilikuwa vyao kwanini walipinga kwa nguvu zote kuwa haina ubora?)
Baada ya majaribio ya zaidi ya miaka 6 ikaonekana haina shida na hivyo kuruhusiwa iingie sokoni
Na hii ndio inaenda kuwamaliza Boeing kwa hizi ndege za kati (abiria 170 - 270 ambazo ndio zenye soko kubwa Duniani) kwani yenyewe Inauzwa bei ya kizalendo, inatumia mafuta kidogo, na inauimara wa kuaminika
 
Sasa unachoshangaa china kutumia spare parts za nchi nyingne mbona haujashangaa ndege ya kivita ya kimarekani kutumia spare parts za mchina,huwezi kutengeneza kila kitu mwenyewe kwenye ndege kuna vitu lazima uagize huyo iran ndio mtaalamu wa kutengeneza drone lakini lens za camera za drone zilikutwa za israel baada ya drone kuangushwa watu wanafanyabiashara .
Screenshot_20240129-141448.jpg
 
China kumbe naye ni mjanja sana na mbwembwe zote kuzindua ndege zake lakini mfumo mzima amesaidiwa na mataifa ambayo anayaletea kifua.

Ukishangaa ya Yemeni na Palestina basi ya China ndiyo haya angalia ndege ya China.

View attachment 2882621
We mjinga Unazani Boeing kila kitu kinaundwa Marekani?Uko buza ila unajifanya mjuaji kuliko hata hao wa Marekani wenyewe.
 
Hiyo ni biashara...Kama sio biashara hata ukubwa wa marekani usingekuwepo.

Kila mtu angebaki nchi yake ..
 
Hizo propaganda tu, Asilimia kubwa ya Vifaa ni vya china kama tu ndege nyingine Duniani....ambapo baadhi ya vifaa huagizwa nje hata Boeing hufanya hivyo hivyo.....
Marekani wanapiga sana vita China isionekane imeendelea kwa technologia kitu ambacho hawatakiweza....kwani China inakwenda kwa kasi sana.....ipo level nyingine....
Wamarekani walianza kusema Ndege hiyo haina ubora na kuipinga sana isiingie sokoni (kama vifaa vilikuwa vyao kwanini walipinga kwa nguvu zote kuwa haina ubora?)
Baada ya majaribio ya zaidi ya miaka 6 ikaonekana haina shida na hivyo kuruhusiwa iingie sokoni
Na hii ndio inaenda kuwamaliza Boeing kwa hizi ndege za kati kwa kiasi kikubwa kwani yenyewe Inauzwa bei ya kizalendo, inatumia mafuta kidogo, na inauimara wa kuaminika
China wako mbali sana sana, miaka miaka 10 hadi 15 ijayo, vifaa vingi vitakuwa vinatengenezwa China. Hata Boeing na Airbus wananunua kwa hayo makampuni na hawatengenezi wenyewe. China itakuwa tishio kweli kweli muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom