nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Edgar Mkosamali: Upotevu wa Mapato na Utoroshwaji wa Madini Bado Tatizo Sugu Nchini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MADINI ACT WAZALENDO NDG. EDGAR MKOSAMALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023 Utangulizi Ndugu Waandishi wa Habari, kama mnavyofahamu kwamba hivi sasa tupo katika Bunge la Bajeti, macho ya watanzania yanaangaza kwa kiasi gani...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kufutwa kwa somo la ‘Slavery’ kwenye mitaala ya ufundishaji historia nchini

    Pendekezo hilo nalitoa kwa sababu kuu tatu. 1.) Kitendo tu cha mimi kujua kwamba mzungu aliweza kuwakamata mababu zangu na kuwauza kama mbuzi kilinifanya nijione binadamu wa daraja la pili hapa duniani, inauma sana ila ukweli ndio huo; kwamba mzungu ni daraja la kwanza, ila sisi daraja la pili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

    Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kunyongwa hadi kifo yaongezeka Nchini Iran

    Ripoti imetolewa leo Aprili 28, 2022 ambapo imefahamika kuwa adhabu ya kifo Nchini Iran imeongezeka kwa asilimia 25 ndani ya mwaka 2021. Katika idadi ya waliohukumiwa wamo pia wanawake 17 pamoja na walioshitakiwa kwa kesi za madawa ya kulevya Mashirika ya Haki za binaadamu IHR na ECPM ya...
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa magari kwa magereza nchini inaleta ulazima wa kuwekeza kwenye teknolojia

    Nimesoma ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kuhusu magereza yetu nchini ambayo mbali na kuwepo na matatizo mengi. Ametaja shida ya kutokuwepo kwa magari kwa ajili ya kuwasafirisha wafungwa na mahabusu kutoka magereza hadi mahakamani. Ripoti imeonesha magaereza zina uhaba wa magari kwa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Watanzania 800 wamefariki kutokana na COVID19 nchini

    Naendelea kula bata Dodoma jamani. Katika kongamano la kufanya tathimini na udhibiti linalofanyika mjini Dodoma, muwakilishi wa Wizara ya Afya amesema Watanzania 800 wamefariki kutokana na COVID19 hadi sasa. Amesema Tanzania imepitia mawimbi manne ya COVID19. Ugonjwa bado upo lakini umeendelea...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hawa wachawi / walozi waliorejea nchini kutoka sauzi iwe mwiko kushirikishwa shughuli za misikitini na makanisani

  8. dubu

    JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya Wanawake nchini Tanzania bado ni tatizo kubwa

    Ripoti mpya ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) ya mwaka 2021 kuhusu Haki za Binadamu inaonesha kuwa bado ni mwiba Kwani licha ya kuwapo kwa unafuu wa matukio ya ukatili ikilinganishwa na miaka ya nyuma lakini bado juhudi zaidi zinahitajika katika kukomesha hali hiyo nchini. Kwa...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Ipo siku atatokea kiongozi mzalendo hapa nchini atawafunga kamba mafisadi na kuwaminia risasi mchana kweupe

    Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi. Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga. Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini waajiriwa wengi hawana utamaduni wa kufanya savings nchini?

    Nimejaribu kufanya tathmini na nimegundua watanzania hasa hawa waajiriwa wa Serikalini hawana tamaduni za kutunza pesa, Wazungu wanaita savings. Ni vema watanzania wengi tukaanza kupiga mfumo wa Wazungu kuwa unapopata kamshahara kako basi angalau asilimia 20 itunze, halafu ndo uanze matumizi...
  12. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Pavu Abdallah: Iundwe Tume ya Kijaji kuchunguza Ukiukwaji Mkubwa wa Haki za Binadamu Nchini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA NDG. PAVU ABDALLAH - 22.04.2022 Tupo katika kipindi ambacho Bunge linaendelea kujadili bajeti za wizara mbalimbali, tarehe 21 April 2022, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwasilisha hotuba ya bajeti kwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Shaka asema CCM inaridhishwa na uimarishwaji wa sekta ya habari nchini

    SHAKA ASEMA CCM INARIDHISHWA NA UIMARISHWAJI WA SEKTA YA HABARI NCHINI Hayo yameelezwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha Jambo Tanzania, Mikocheni...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi walevi waua 15 mashariki mwa DR Congo

    Wanajeshi wawili wamewaua kwa risasi watu 15 katika mashambulizi tofauti mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wahasiriwa takriban wote walikuwa raia. Haya yanajiri baada ya watu sita kujeruhiwa wakati wanajeshi waliporusha guruneti kwenye umati wa watu walipokuwa wakijaribu...
  15. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Sababu kuongezeka bei ya soda nchini Tanzania unaijua?

    Dar es Salaam. Gharama za uendeshaji zimetajwa kuwa sababu ya kuongezeka bei ya soda aina ya Cocacola na Pepsi. Vinywaji hivyo kwa muda mrefu vimekuwa vikiuzwa kwa Sh500, lakini sasa imeongezeka na kufika Sh600 kwa soda za ujazo wa mililita 300 na 350. Mwananchi ina nakala ya waraka wa kampuni...
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

    Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha. Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wakristo duniani washerehea sikukuu ya Pasaka, Papa alaani ‘ukatili’ Nchini Ukraine

    Mamilioni ya waumini wa dini ya Kikristo duniani leo Aprili 17, 2022 wanasherehekea Sikukuu ya Pasaka kukumbuka kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubiwa msalabani zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, ameutumia ujumbe wake wakati wa misa ya mkesha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

    Katika pitapita zangu za leo nimekutana na tweet hii ya binti kutoka Nigeria,aliyekuja Tanzania kwenye matembezi na kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa . Ameeleza namna ambavyo alikuwa amelala Warere beach hotel na usiku wa manane akashangaa kuna mwanaume kitandani anampapasa papasa na...
  19. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Mgao mkali wa umeme waweza kutokea nchini. Serikali imejipanga?

    'Nimekamilisha ziara ya kuzunguka nchi nzima'. Picha niliyoiona ni ya uhaba mkubwa wa maji tiririka katika water bodies kama vile mito. Hili litaathiri kwa kiasi kikubwa kujaa kwa mabwawa ya kuzalisha umeme, kitu kitakachopelekea nchi kuingia kwenye giza kuu. Nishati ya umeme ni nishati...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Putin anazidi kuiharibu Urusi. Baada ya meli yake kuzama naamini uungwaji mkono wa Putin nchini mwake utapungua.

    Meli ya kivita ya urusi Moskva flag ship imegeuzwa kuwa Nyambizi na waukraini. Hii ni taarifa mbaya sana kwa Warusi na kwa ujumla meli hii ilikuwa ndiyo nembo kuu ya urusi huko black Sea. Vita ya Ukraini vimeiexpose Urusi na kuwaacha utupu wa mnyama. Aibu kubwa kwa Putin na kwa Hali...
Back
Top Bottom