Naombeni elimu kuhusu Jeshi la Uhifadhi Tanzania

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
May 10, 2021
456
505
Katika pita zangu mitaani kulikuwa na hoja mbalimbali za majeshi nikasikia kuna jeshi jipya la Uhifadhi nchini lenye vikosi ndani yake, swali kwa nini lilianzishwa? Je, nini majukumu ya jeshi hilo? Nani Mkuu wa Jeshi hilo? Muundo wake ukoje? Wachambuzi na wajuvi wa mambo ya kijeshi nijuzeni, pia niliona magari yao yenye usajili wa namba za kijeshi mfano 01JU003
1654421362472.png
 
Mbona lipo tangu muda mrefu mkuu, jeshi Hili linahusu mambo ya uhifadhi wa vivutio vya utalii
 
Bro hili jeshi linaitwa jeshi la uhifadhi wa wanyamapori na misitu. Ni jeshi ambalo liko chini ya wizara ya maliasili na utalii na linaundwa na taasisi nne ambazo ni NCAA, TANAPA, TAWA na TFS.
Hizo plate no zinatambulisha taasisi husika mfano ukiona 01JU... hii ni gari ya NCAA
02JU....Tanapa
03JU....TAWA
04JU.....TFS
 
Haya mwanajeshi wa uhifadhi.

Nipe kipengele Cha sheria kinachokataza majeshi yafuatayo kutumia siraha za aina zote.

Na hizo siraha za aina zote naomba uzitaje?

Maana kwa Tanzania majeshi yote yapo nyuma ya Teknolojia iwe Kijeshi au kiuchunguzi..
Hii ipo kwenye sheria yao wakiita jeshi usu.it means paramilitary
1)Jeshi la polisi
2)jeshi la Magereza
3) jeshi la Uhamiaji
4) jeshi la zimamoto

Nipo hapa nimeweka kijiwe kabisa.
 
Jeshi Usu maana yake ni jeshi ambalo shughuli zake nyingi zinadili na mambo ya kiraia kuliko mambo ya medani au kivita, neno Usu Kwa maana nyingine ni nusu kitu kisicho kamili kwamktadha huo Jeshi ni Moja tu JWTZ hayo mengine ni majeshi USU likiwemo na Hilo jeshi la Uhifadhi ambalo liko chini ya wizara ya maliasili na utalii
 
JWTZ ndo jeshi pekee ambalo sio paramilitary sababu wana kila sheria inawaruhusu matumizi ya silaha za aina zote sasa nenda kwenye sheria ya polisi uone kama wameruhusu kutumia RPG, Arm Grenade na Vifaru
 
Si
Haya mwanajeshi wa uhifadhi.

Nipe kipengele Cha sheria kinachokataza majeshi yafuatayo kutumia siraha za aina zote.

Na hizo siraha za aina zote naomba uzitaje?

Maana kwa Tanzania majeshi yote yapo nyuma ya Teknolojia iwe Kijeshi au kiuchunguzi..
Hii ipo kwenye sheria yao wakiita jeshi usu.it means paramilitary
1)Jeshi la polisi
2)jeshi la Magereza
3) jeshi la Uhamiaji
4) jeshi la zimamoto

Nipo hapa nimeweka kijiwe kabisa.
Sipo uhifadhi ila majeshi nayajua vzr
 
Jeshi Usu maana yake ni jeshi ambalo shughuli zake nyingi zinadili na mambo ya kiraia kuliko mambo ya medani au kivita, neno Usu Kwa maana nyingine ni nusu kitu kisicho kamili kwamktadha huo Jeshi ni Moja tu JWTZ hayo mengine ni majeshi USU likiwemo na Hilo jeshi la Uhifadhi ambalo liko chini ya wizara ya maliasili na utalii
Ukiongea jambo la kitaalam kama hili uwe unanukuu na nyaraka ulikolitoa mfano kama sheria ya jeshi husika au kamusi.
 
Back
Top Bottom