Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Yaani hawa watu sijui wakoje kipindi huna hela au huna issue ya kufanya hata siku moja huwezi kuona kuona simu yake akikutafuta mzungumze mpeane mawazo jinsi ya kutoka kimaisha hata ukimtafuta wewe unampa idea zako tufanyeje tutoboe maisha anakuona kama unajipendekeza kwake alafu hata ukiwa una mtafuta kwa lengo la kumsalimia anaona kama unamsumbua simu zako hazipokelewi na zikipokelewa anataka anataka uwe jambo la msingi la kumwambia kama huna cha msingi hapendi usumbufu salamu yako anaona haimsadii kitu
Kingine kibaya zaidi ni watu wabaguzi kinoma yaani ndani ya ukoo kama huna kitu na ulizaliwa kama mtoto wa nje hapo kwenye ukoo wanasema hawakutambui wengine wanatumia mpka vifungu vya dini kukuondoa kwenye mstari
Sasa MUNGU ikitokea amekujalia ukaanza kupata visent angalau vya kubadilisha mboga basi wale wale walikuwa wanakubagua na kukutenga ndio wanataka muwe kitu kimoja mshirikiane kama ndugu tena unapewa vifungu vya dini nyie ni ndugu hata kama ulizaliwa njee ya ndoa wao watakwambia ww ni ndugu yetu simply una mafanikio
Mwisho kabisa kipindi cha mafanikio yako kila masikini atataka awe karibu na wewe lakini mwisho ukija ukiyumba kdogo ndio watu namba moja kuanza kukucheka