Mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe wafikia kiwango cha zaidi ya 130%

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
1,188
3,027
Zimba.jpg
Kiwango cha mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe kimeongezeka hadi asilimia 131.7 hadi kufikia Mei, 2022, ikielezwa kuwa athari za vita vya Ukraine zimechangia kuathiri zaidi uchumi ambao tayari ulikuwa umeathirika.

Mfumo ulifika asilimia 100 tangu Juni 2021 mbapo mafuta ya kupikia na mikate bei zikipanda.

Serikali ilijaribu kuzuia mfumuko huo kwa kuondoa ushuru bidhaa za kawaida kuingia ndani.

Upungufu wa fedha za kigeni pia umezipa wakati mgumu kampuni za ndani katika kununua bidhaa na vifaa kutoka nje ili kuzalisha bidhaa nchini Zimbabwe.

Source: The Monitor


Zimbabwe's inflation soars to 131.7%
Zimbabwe's inflation rate jumped to 131.7 percent in May, the statistics office said Wednesday, as fallout from the Ukraine war hit an already battered economy.

Inflation reached triple digits for the first time since June last year with prices of cooking oil and bread leaping higher as a result of Russia's invasion of Ukraine.

The government last week tried to tamp down prices by suspending import duty on basic commodities like cooking oil, rice and flour.

Inflation was already at 96.4 percent in April, the Zimbabwe National Statistical Agency said in a statement.

A foreign currency shortage has left local companies battling to buy supplies from overseas to produce goods in Zimbabwe.

The war in Ukraine has cut off a key supplier of wheat to Zimbabwe and also reduced supplies of farm chemicals for local crops.

Rising prices revive memories of hyperinflation seen more than a decade ago when inflation spiralled so far out of control that the central bank in 2008 issued a 100-trillion-dollar note, which has now become a collectors' item.

The government then ditched the local currency and adopted the US dollar and the South African rand as legal tender.

But in 2019 the government reintroduced the Zimbabwean dollar, which is already rapidly declining in value.
 

Cushite

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
2,201
2,262
Waambie wapige chabo kwa Urusi wajue wenzao wanafanyaje hadi Rubble inaikimbuza Dola.
 

East

JF-Expert Member
May 9, 2022
576
1,658
Haya mssuala ya vikwazo ndio tatizo bila kina fulani fulani isingekuwa hivi. Wanafanya yao halafu wanasingizia mwingine.
 

HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
50,192
55,719
Vikwazo huwa vinauma baada ya muda fulani ila hata vikiondolewa bado vinauma
 

Kibingu

JF-Expert Member
Jan 6, 2022
1,079
1,437
Sisi wabongo tuliisifia sana Zimbabwe ilipokuwa inapambana na mabeberu.

Wanapoumia hatuna msaada
 

pye Chang shen

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
10,296
4,521
Wazimbabwe wao hilo wala haliwashetui,
Walishazoea hiyo hali, mabeberu tafuteni inchi nyingine ya kuisema🤣
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom