Mwanajeshi wa Umoja wa Mataifa auawa Nchini Mali

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,267
5,366
Jeshi.JPG
Mmoja wa wanajeshi walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa wote wakiwa ni raia wa Jordan, jana Juni Mosi, 2022 katika shambulio la kigaidi dhidi ya msafara wao katika Jimbo la Kidal, Kaskazini mwa Mali.

Msafara wao ulishambuliwa kwa silaha ndogo katika shambulio lililodumu kwa saa moja.

Hakuna maelezo yaliyotolewa kuhusu wanaoshukiwa kufanya shambulio hilo ambalo ni tukio la tano kutokea katika Jimbo la Kidal kipindi cha wiki moja.

===

A UN peacekeeper was killed and three others injured Wednesday in a "terrorist attack" on their convoy in Kidal, northern Mali, according to the UN's MINUSMA peacekeeping force.

The casualties were members of the mission's Jordanian contingent, a security official told AFP on condition of anonymity.

The convoy patrolling near the town of Kidal in northern Mali was hit by small-arms fire and rocket-propelled grenades in an attack that lasted about an hour, MINUSMA spokesman Olivier Salgado tweeted.

"Unfortunately, one of the blue helmets succumbed to his wounds following the attack," he posted in French.

No details were given about the suspected attackers.

MINUSMA – the United Nations Multidimensional Integrated Stabilization Mission in Mali – was deployed in 2013 to help shore up the fragile Sahel state in the face of jihadist attacks.

With 13,000 members, the mission is one of the UN's biggest peacekeeping operations, and also one of its most dangerous. It says 172 troops have died from hostile acts.

Source: VOA News
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom