Mafuta yamekuwa kero, Mwenye uwezo wa kubadili mfumo wa injini ya mafuta kwenda umeme au pikipiki ya umeme completely.
Na pia gharama zake zimekaaje respectively
SERIKALI IZINGATIE HAYA SAKATA LA KUPANDA BEI YA MAFUTA NCHINI ILI YASHUKE.
Na Bwanku M Bwanku.
Jana Ijumaa Mei 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua Vita ya Urusi na Ukraine ilivyopaisha Sakata la Kupanda kwa Bei ya Mafuta kwenye Soko la Dunia kulikoathiri Bei...
Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme.
Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha...
Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta.
Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
Hii ni moja ya ofisi au Taasisi nyeti Sana lakini inayoitia serikali aibu kubwa Sana. Ukiangalia kesi nyingi zinazoendeshwa na waendesha mashtaka wetu utaona yafutayo:-
- nyingi serikali au jamhuri hushindwa kutokana na ushahidi mbovu. Kwa maana ya upelelezi wa kulipia lipua, au wa kubambika na...
Hotuba ya Msemaji wa sekta ya Mambo ya Ndani ACT Wazalendo Ndg. Mbarala Abdallah Maharagande kuhusu bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2022/23.
Utangulizi:
Jana Alhamisi tarehe 5 Mei 2022 Wizara ya Mambo ya Ndani iliwasilisha bungeni hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha...
Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka.
===========
Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine
The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which...
Rais wa Togo Faure Gnassingbe amekubali kuwa mpatanishi katika mzozo wa kisiasa wa Mali huku serikali ya kijeshi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi ikikabiliwa na shinikizo la kurudisha utawala wa kiraia, mawaziri wao wa mambo ya nje wamesema.
Tangu Agosti 2020 wakati jeshi lilipochukua mamlaka...
Habari za mchana huu wana JF wenzangu...........................Poleni na harakati za kufanya mkono uende kinywani
Kwa faida ya wengi, naomba mods msiuunganishe uzi huu na nyuzi nyingine kutokana na unyeti na umahsusi wa mada tajwa humu.
Naomba kwa yoyote anayefahamu kwa kina kuhusu mchakato...
Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto kwa kuajiriwa na magenge ya kihalifu, huku ghasia zinazoongezeka katika mji mkuu wa #Port-au-Prince, zikisabisha vifo vya makumi ya raia na zikiwalazimisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao
-
Naibu msemaji wa Umoja wa...
Hapa Duniani usiishi ukiamini Kila MTU anafahamu kupanda na kushuka Kwa Bei ya bidhaa, wapo Watu wachache wamekuzwa Kwenye maisha ambayo Kila gharama anayotumia analipiwa na serikali. . Lakini hii haimaanishi kwamba huyu MTU ana akili Sana, anafahamu sana na anastahili kulipiwa Kila jambo...
==========================
Badala ya mfumo wa sasa wa ‘TxxxAyy> TxxxByy > TxxxCyy > TxxxDyy , na sasa karibia tunaingia namba ‘E’ , ambapo mtu anakuwa anajua kabisa kwamba gari hii imesajili ya zamani au ni mpya.
Napendekeza namba zinazofuata baada ya kuisha kwa namba ‘D’ ziwe katika mfumo wa...
Tupate Katiba Mpya ambayo itaweka wazi kuwa viongozi wa Tume ya Uchaguzi kuanzia mwenyekiti wa taifa mpaka wasimamizi wa uchaguzi wawe watu huru wasiofungamana na upande wowote na wasiwe na vinasaba vya kufungamana na chama chochote.
Huu ndio utakuwa msingi wa kisheria wa kuwa na tume huru...
Kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari (Mei 03, 2022), Maadhimisho hapa Nchini yameanza rasmi leo Mei 01, 2022 Jijini Arusha
Kaulimbiu ya Siku hii kwa Mwaka 2022 inasema "Uandishi wa Habari na Changamoto za Kidijiti"
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto zipo katika...
Igweeeeee
Itakumbukwa mwishoni mwa 2021 ndugu Lissu aliyeko huko Belgium na Lema aliyeko huko Canada waliutangazia umma wa watanzania na wafuasi wa CHADEMA kuwa watarudi nchini mwezi March au April kwa kigezo cha kufanya maandalizi
Leo ni May 1st, wananchi na wanachadema tunataka kujua ni nini...
Chama cha Mapinduzi kinawashukuru
na kuwapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kuendelea kuitekeleza kwa
Vitendo Ilani yao ya Uchaguzi 2020|25,
Ifahamike kuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi Serikalini lazima awe ni Mwana-CCM ,
Wasalaam wakuu,
Hapa nchini kwa sasa hali ya kiusalama ni tete sana, kuna baadhi ya mitaa sasa hata mchana ni taharuki,
unatembea na kufanya shughuli za kijamii kwa wasiwasi mkubwa sana.
Usiku ndio usiseme ni hofu tupu. Kwa namna mambo yalivo inabidi kila mtu awe tayari kujilinda awezavyo, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.