Tembelea moja ya barabara hatari zaidi duniani: Ajali nyingi za magari hutokea kwenye 'Death trampoline' nchini Colombia

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,010
1,034
Mei 25, 2022, huko Putumayo, Colombia, trampoline ya kifo ni moja ya barabara hatari zaidi duniani, inaanzia kutoka Mocoa hadi San Francisco na ilijengwa mwaka 1930. Watu wengi walikufa wakiwa wanaendesha magari kwenye barabara hiyo.

VCG31N1240911691.jpg

VCG31N1240911201.jpg
 
Back
Top Bottom