nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tupazeni Sauti kwa Ajili ya NCHIMBI, Kwa CCM, adui wa Ndani ni Hatari kwao, alichokifanya NCHIMBI ni Sadaka, ni zaidi ya Upinzan na Wanaharakat Wengi!

    Mnakumbuka MH Polepole ?. Kile alichokifanya kwanza , kujiuzulu nafasi zake zote, kisha akaanza kukosoa UOVU wa CCM , kilikua na Thaman sana, na Watanganyika Wakamuamini 100% na Ule Ukweli alikua anauzungumza MH Polepole, ndio Ukweli ulowafanya Watanganyika Wadai NCHI yao Oktoba 29 2025...
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Bashungwa, tulimfukuza Nchimbi kulinda maslahi ya CCM.

    Maslahi ya CCM kwetu ni muhimu sana kuliko maslahi ya wananchi, kwa kauli hii ni wazi CCM haiko tayari kuona Tanzania tunakuwa na katiba mpya ya wananchi, hii ndiyo CCM ya matajiri wafanyabiashara dhidi ya wananchi.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuao uchoyo,ulafi, na uovyo wa CCM, kuna haya ya kumlilia au kumuonea huruma Nchimbi?

    Vita ya kunguru ni neema ya panzi. Ukiona adui yako anakosea msifie na si kumkosoa. Huu ndiyo uoni wangu juu ya ufukuzwa na kupotezwa kwa Emmanuel Nchimbi toka umakamu wa rais. Kwangu ni furaha na raha kuona maadui wa taifa wakitafunana. Ningependa watafunane hata kuuana. Ukiondoa wapinzani...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nchimbi is not a cadaverous fish drifting pro forma with every current. He is piscis vivus

    Behold Emmanuel Nchimbi, the Vice President who was stripped of his party membership and ousted from his exalted office on account of 1. Advocating for the populus, citizens subjected to extrajudicial abductions by the constabulary in Tanzania 2. Championing a de jure metamorphosis of the...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wana CCM kama sio waoga wamuachie Balozi Nchimbi azungumze badala ya kumshambulia akiwa amefichwa

    Wana CCM kuibuka kumshambulia Nchimbi huku yeye mwenyewe akiwa hawezi kujitetea ni ishara ya uovu, uoga na ujinga mkubwa sana. Kubwatuka, kutokwa povu na kujitamba dhidi ya mtu ambaye amefungwa kusema na kujitetea mwenyewe ni uoga wa kiwango cha juu sana, ni kutojiamini. Nchimbi aachiwe afanye...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Barua ya Nchimbi ilifichwa

    Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka. Ndani yake kazungumzia Ufisadi unaendelea Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025 Amezungumzia utekaji Amezungumzia katiba mpya. Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mshangao: Mpaka Leo kosa la Nchimbi haliko wazi sasa machawa wanapongeza nini??

    Machawa wameanza kupongenza kufukuzwa kwa Nchimbi bila hata kujua sababu!!! semeni kwa Watanzania kosa la Nchimbi ni lipi????
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Huyu Chawa alikuwa ni Team Dr Emmanuel Nchimbi. Kapigwa na kitu kizito mpaka haamini!

    Ni Tlaatlaah Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi. Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi.. Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Agizo la Siri kwa Uhamiaji, wapewa amri kila MTANZANIA anayeingia nchini achunguzwe historia yake ya machapisho mtandaoni

    Kwanza ni upotezaji wa Muda, Pili Magufuli alijaribu akafeli, tatu Tanzania si wajinga wako anonymous! Wanaweza sumbua watu maarufu na wamiliki wa Platform kadhaa lakin si mtu simple Hii wanasema ianze September 4/ 2026 Britanicca
  10. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nimesaka maandishi yote ya Nchimbi tokea 2007 kwenye Mitandano

    Nimegundua 1. Anapowekwa pembeni ukaa kimya 2. Mwenzake akipatwa na Janga uumia na si mwepesi kudhihaki 3. Asilimia 70% ya mabandiko yake ni haki na amani 4. Misimamo kwa anachoamini 5. Hajawai tukana au kejeli mtu kwenye matatizo 6. Ila Mara nyingi wanambeza eti ni mshamba Hana Hela ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania NCHIMBI AJITOKEZE AU SERIKALI ISEME ALIPO.

    Nchimbi ni mwanaCCM mwenzetu na makamu wa rais mstaafu. Zaidi ya yote ni mtanzania. Tunaomba serikali iseme aliko au yeye ajitokeze. Tunajua yupo hai. Sisi watanzania wa kusini tunajiuliza maswali mengi mfano: 1. Kwa nini asionekane kwenye uapisho wa makamu mpya wa rais ikiwa kujihudhuru kwake...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mm ni kilaza lakini Nchimbi yupo lockdown hata barua hakuandika yeye (hii ni nimeipata sehemu)

    Kutoka jikooni ,nchibi yupo lock down cm zake zinashikiliwa na mamlaka Alicheza kalata vzr ila Amesalitiwa mwishoni Huo ndo ukweli
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

    https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi.. Inasemekana...
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

    Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake. Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa...
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mbona sioni hashtag free Dr Emanuel Nchimbi mpaka sasahivi? WATANZANIA mmeanza kuzoea upotevu wa watu? Hay Mimi naanza FREE DR NCHIMBI

    Kwamba hqtujui kama huyu mtu hayupo kwa familia yake, hayupo ikulu? Na hajulikani alipo mpaka muda huu? Nawashauri msikate tamaaa nyinyi semeni freeee Tundu Lissu Free Dr Nchimbi ukimnya WENU ni hatari kwako na kwangu maana hatuko salama mpaka tukimbilie kenyaaaaa.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Nchimbi kujiuzulu na kutoonekana hadharani, alKitangulia mbele za haki kwa natural death, watakwepa lawama?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na pia ni hatari ninayaiona iwapo hilo litatokea japo hatuombei ila tusisahai kifo ni wakati wowote na kws yoyote. NB: Kama yuko kwenye depression na ana magonjwa ya kiutu uzima kama vile pressure au kisukari, basi risk inaongezeka na hii ni hatari zaidi...
  17. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

    Na. M. M. Mwanakijiji Wanasifia "Katiba yetu nzuri" Wanasema wameridhia EN ajiuzulu Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine Wakampitisha Bungeni Wakaenda kumuapisha Ikulu Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga... Siku tano baadaye...
  18. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais aliyejiuzulu Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi?

    Tangu ajiuzulu wadhifa wake amekuwa kimya mno. Je, ameenda kijijini kwake kwenda kulima na Kufuga? Emmanuel Nchimbi, nakukumbusha kumbuka viapo vyako ulivyoapa!
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kawaida: Kamati Kuu ilimuita Nchimbi lakini kwa sababu ya kiburi na kudharau chama aligoma kuja, tukamfukuza

    wenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwa kushirikiana na NEC, ilitoa maelekezo ya Balozi Emmanuel Nchimbi kuitwa katika vikao vya maadili, lakini alikaidi maelekezo hayo. Kawaida amesema hayo leo Agosti 29...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi anaweza kuja kuwafunga watu kwa Uhaini

    Mara nyingi ukimchukia mtu unaweza kujikuta umeingia kwenye makosa na utata mwingi. Kwa jinsi nilivyofuatilia kesi ya Lissu ni kuwa kumteka Makamu wa Rais, kumtishia n.k ndio ugaidi halisi. Mzee warioba ameonyesha kuwa Nchimbi hakupokea simu yake huku ikidaiwa kuwa amenyang'anywa simu na...
Back
Top Bottom