Dr Nchimbi anaweza kufuata Strategy ya Lissu dhidi ya Mbowe

Dr Nchimbi anaweza kufuata Strategy ya Lissu dhidi ya Mbowe

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
820
Reaction score
2,097
Katika nafasi yake Lissu alifanikiwa kupindua meza na kuufuta utawala wa Mbowe katika mazingira ambayo hayakutarajiwa.

Nchimbi nafikiri anahitaji mtu wa nafasi/Role ya Mnyika na Heche. Same playbook
 
Acha Upumbavu
Acha Kucheza ngoma za CCM
CCM ni ile ile.

Mwenzio anasukuma kete za 2030.

Mtajji mkubwa wa CCM ni wapumbavu
Wajinga.
Mafamba na
Mbumbumbu kama wewe.
Kwanini hampendi asukume kete za 2030?
Kwani yeye sio mtanzanita?
Mnachopigania ni kila mtanzanita awe na nafasi sawa kwahiyo anayohaki ya kujipanga.
 
CCM wana ndimi mbili, kuwaamini hawa inabidi ujitoe ufahamu.Kilichowakuta Chadema kwenye majadiliano na CCM kwa zaidi ya mwaka mzima ni ushahidi tosha kuwa CCM hawana utashi wala dhamira ya kweli ya kuleta mabadiliko ya kweli licha ya hadaa ya 4R za Samia.
 
Back
Top Bottom