Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,586
- 9,818
Hawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa.
Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais.
Nawatambua kama walioshindwa kuendesha serikali na kuumiza raia wake. Huo ndio msimamo wangu na nina maanisha.
Ninachojua ni kwamba hivi karibuni mtapay the price.
NB: ANGALIENI MACHO YA NCHIMBI AKIWA ANAONGEA.