Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.
Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu.
Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama...
Ndugu Nchimbi kwanza nikupe pongezi nyingi kwa kuondoka kifungoni.
Awali nilitangaza humu kwamba ningefungua masikio yangu yote nisikilize uliyokuwa ukiyaseama baada ya maneno uliyosema kuhusu waTanzania waidai katiba kwa nguvu zao zote..
Maana yangu ya kufungua masikio, nilitaka niwe na...
Salaam, ama baada ya salaam naomba kusema haya kwa DKt. Nchimbi:
Kiongozi yeyote mwenye busara hawezi kukaa kwenye msuguano usio na faida kwa Taifa, unapoona wenzio wanakengeuka na hawakuelewi ni BORA ukakaa kando kulinda Heshima Yako na utu wako.
Filipo Mpango aliyaona hayo akakaa kando Ila...
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt...
Hakuna mtu wa CCM hajui ugomvi wa Nape na Nchimbi juu ya Jengo la UVCCM na mpaka leo Nchimbi pale anamiliki Floor, jana nilishangaa Msingwa kichwa maji anasema kuwa eti hakuwahi kusikia kuhusu stori ya UFISADI. Kila mmoja hapa nenda tu Google kaulize stori ya Nchimbi na Jengo la UVCCM na hata...
Dr. Nchimbi aliboronga kwenye nafasi aliyopewa na CCM na CCM alitaka kumuondoa kwenye nafasi kwa mujibu wa katiba ya CCM na Katika ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Kama Dr. Nchimbi angesubiri chama na bunge vitumike kumuondoa kwenye nafasi basi angepoteza maslahi yake ya...
Mtangazaji wa Wasafi Media, Charles William, ametoa uchambuzi kuhusu msamiati na lugha iliyotumika kwenye barua ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Charles William amebainisha mambo makuu mawili yanayoashiria kuwa Dkt. Nchimbi hajajiuzulu kwa hiari yake kamili bali...
Mtangazaji na mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Wasafi Media, Charles William, ameeleza kuwa hali ya shinikizo inayomkabili Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, haina ukubwa wa kuleta mtikisiko mkubwa ndani ya chama hicho tawala.
Charles William amebainisha kuwa...
Tuanzie kwenye kichwa cha habari hapo juu, ni MABADILIKO Gani alitaka kuyafanya mama na akuzuiliwa na Nchimbi?
Kumteua mbowe kuwa waziri mkuu?
Kumuuua Tundu Lissu?
Kuamua yakuwa katiba mpya haitotokea kamwe hata akiuuwa?
Ni yapi hayoo?
Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa na Jamii, Dkt. Faraja Kristomus, ameeleza kuwa taarifa ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi alikiuka utaratibu wa kiofisi kwa kuamua kuweka wazi barua yake ya kujiuzulu kwenye mitandao ya kijamii badala ya kusubiri taarifa rasmi kutoka kwa...
Kwema wana Chadema , amani ya Mungu ikawe juu yenu, mnakumbuka Mh lowasa na Mbowe walivyo waangusha
Leo chama chenu kimejaa wabobevu wa kila aina kwenye siasa n.k
Ccm ni wahuni sana , huu mtego wa nchimbi msije mkajichanganya.
Chama chenu kwa sasa kiko imara kuliko tangu kimeanzishwa, ujio...
Salam.
nani kumrithi nchimbi? Je ni januari makamba? Au ni dotto biteko?
je ni palamagamba kabudi au ni poul makonda?
isije ikawa ni mwigulu nchemba! Au ridhiwani kikwete?
amani iwe nanyi..
Uamuzi wa Makamu wa Rais Dk. Emmanuel Nchimbi wa kutangaza kujiuzulu nafasi yake umezua mjadala mzito huku hatua hiyo ikitazamwa kama dharau ya wazi na kukosekana kwa heshima kwa mamlaka ya ofisi aliyokuwa akiitumikia.
Badala ya kuonekana kama uamuzi wa kawaida wa kiongozi anayepumzika lakini...
Vita ya majimaji iliongozwa na Kinjeketile na akaweza kuwashawishi wananchi wengi vijana wakajiunga na jeshi lake.
Vita ya majimaji ilikuwa na wapiganaji walikuwa na Imani kubwa kuwa watawashinda wazungu pamoja na hawakuwa na uwezo wa kuwashinda.
Leo hii tunashihudia John Nchimbi akionyesha...
Vita ya majimaji iliongozwa na Kinjeketile na akaweza kuwashawishi wananchi wengi vijana wakajiunga na jeshi lake.
Vita ya majimaji ilikuwa na wapiganaji walikuwa na Imani kubwa kuwa watawashinda wazungu pamoja na hawakuwa na uwezo wa kuwashinda.
Leo hii tunashihudia John Nchimbi akionyesha...
Wadau nawaomba tuendelee kufatilia defence evidence wa mh. Lissu hizi kiki za akina nchimbi na genge lake la wafiraji na watekaji huko ccm tuachane nao maana wote ni birds of the same feathers who flock together.
Hizi barua za kujiuzilu za viongozi wakubwa zinaandikagwa na nani? Au wanaziandikaga wenyewe wakiwa under arrest?
Ebu we msomaji iangalia au TAFUTA barua ya kujiuzilu kwa Nchimbi inaonekana inatoka kwa Nchimbi na kwenda kwa Nchimbi Sasa Samia kaipokea kama nani ili Hali haijaelekezwa kwake...
Suala la kuachia ngazi kwa Nchimbi ni hatua muhimu katika mapinduzi ya Umma. Serikali huanguka pale maafisa ndani ya dola, chama tawala na Jeshi huachia ngazi na kuwaunga mkono wananchi.
Tutarajie viongozi majasiri wa Tanganyika kutoka hadharani na kumuunga mkono Nchimbi na Watanganyika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.