nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchimbi akemea vyama vya upinzani kuhamasisha mauaji

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akikemea na kuonya vikali viongozi wa vyama vya upinzani ambavyo baada ya kukosa hoja, agenda, kuishiwa ushawishi na uwezo wa kiuongozi, vimeanza kutumia majukwaa ya mikutano ya hadhara kuhamasisha mauaji wakati nchi yetu inapoelekea...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa ampongeza Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuwa alimtendea haki Baba yake 2015. Amuomba akasimamie kanuni zisikanyagwe tena

    Ndugu zangu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara akitokea Mkoani...
  3. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu CCM, Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi amehitimisha ziara ya siku mbili mkoani Singida kwa kusambaratisha hoja zote za Lissu za kibaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena Amehitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani hapo kwa kishindo kikubwa sana kilichotikisa Mikoa ya kanda ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kufanya ziara Mikoa ya kanda ya Kaskazini 29/05/2024

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwapeni taarifa ya kuwa kuanzia Kesho Katibu Mkuu wa CCM Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi ataanza na kufanya ziara nzito sana katika mikoa mitano ya kanda ya kaskazini,kati na Pwani. Ambapo mikoa hiyo ni mkoa wa singida ambao ndio utakuwa wa kwanza kwa siku ya...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Mtu anayetafuta madaraka kwa kufarakanisha wenzake hafai kuwa kiongozi kwenye chama chetu

    Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya...
  6. JF Member

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Dkt. Nchimbi - Cheo chako Hukitendei haki

    Chama umepewa, kusimamia serikali na Ilani ya chama. Ila kuna sehemu unakwama. Jambo utakaloliweza ni kukutuliza chama/kupunguza kasi ya vuguvugu chamani. Ila huku kitaa unapwaya. Wanao kuja kwenye mikutano yako ni viongozi wa CCM wa wanafunzi wanaolipwa posho. Mwananchi wa kawaida hawaoni...
  7. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

    Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

    Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha. --- Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Balozi Nchimbi: Kikokotoo ni kero kubwa, nitamfikishia taarifa Rais Samia

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ameahidi kuifikisha hoja ya kikokotoo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwaajili ya utatuzi akisistiza imekuwa kero kubwa kwa wastaafu. Pia amewataka waliopewa zabuni ya kujenga Uwanja wa Ndege wa mkoani Rukwa kuongeza kasi ili...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Kiongozi wa kweli habagui anaowangoza. Huwezi kuwa na vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini

    Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako. Huwezi kuwa wewe una vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini. Binadamu ana haki ya kufikiri, anaweza akayona ya...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Huwezi kuikosoa serikali kama mwenyewe una mapengo

    "Lengo la ziara yetu ni kutazama tena, kuhuisha mwamko ndani ya chama chetu na ndio maana kazi ya kwanza tumefanya katika eneo hili (Mpanda/Katavi) ni kwenda kwenye shina namba tano (5) ili tukajiridhishe ni kweli wanafanya vikao? Ni kweli wanaandika mihtasari ya vikao vyao? "Nataka niseme kwa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM Dk. Nchimbi: Wanaoanguka ( Wanaotoswa ) CCM waache Nongwa

    Nchimbi najua hapa hili Dongo unampiga nani, ila nakujua Wewe ni 'Mafia' hivyo hamtamchekea huyo mjinga. Taarifa hii iko katika Gazeti la Leo (Jumapili tarehe 14 Aprili, 2024 ) la Nipashe katika ukurasa wake wa Pili. Kaisomeni Ok?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Makalla atua Katavi na kusema Watasikiliza kero za Wananchi lakini siyo zile zilizopo Mahakamani

    Mwenezi wa CCM Komredi Amos Makala amesema katika Ziara yao Katavi na maeneo mengine watasikiliza kero za wananchi lakini siyo zile zilizoko mahakamani Makala amesema wanajua Wananchi Wana changamoto mbalimbali na kimbilio lao ni CCM Source Jambo TV ====== ====== KAULI YA MAKALLA Katibu wa...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua kua Hawatajaza watu mikutanoni, na Wasanii wako bize, Nchimbi, Makala na Timu yake wajikita kwenye Mikutano ya Ndani ya CHAMA!!.

    Hii ni kuhofia aibu ambayo ingewapata, ndioo, Wamejua kwamba hawatajaza watu, wanajua hawakubaliki, hawana ushawishi, Sasa wamekuja na GIA ya kufanya Ziara za Mikutano ya Ndani tuu, yaan kwenye Viukumbi vyenye kubeba wanachama tu na sio Raia ,tena wanachama wapatao 100 !!. Hofu yao ni kuona...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Emanuel Nchimbi put your words into action

    “Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress” In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the Secretary-General of Chama cha Mapinduzi (CCM), outlined a compelling roadmap for Tanzanian leaders to...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Rais Samia anaungwa Mkono na wana CCM wote

    #HABARI: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia uwezo mkubwa wa kiuongozi, anaouonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka 3 ya uongozi wake...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Uhusiano wa Tanzania na Urusi kuboreshwa kunufaisha pande zote

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa CCM, chini ya Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kudumisha uhusiano na urafiki wa muda mrefu kati ya Tanzania na Urusi, ukilenga...
  19. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania DKt. Nchimbi: Wasiotimiza wajibu wao, wabinafsi, siku zao zinahesabika

    Awataka wanaosuasua kukaza buti Asema anaweza kula kiapo, Kamala alichukia rushwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewatahadharisha viongozi wote wanaotokana na CCM wasiotimiza wajibu wao kuwatumikia watu, kwa kadri ya matarajio ya Chama na wananchi...
Back
Top Bottom