nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Dk Nchimbi sio justification kuwa katiba ya sasa inafaa. Haifai na tunatakiwa tupambane tupate katiba mpya

    Nimesikia mahala Mwenyekiti wa CCM akijinasibu kuwa Katiba hii ya CCM yq mwaka 1977 inafaa kisa tu wameweza kumfukuza Nchimbi uanachama na kuweka makamu mwingine. Huu ni uongo na uzandiki. Hii Katiba haifai hata kidogo . Ni katiba ambayo haikutungwa na wananchi bali ilitungwa na wanaCCM...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna uhakika kiasi gani kwamba ni kweli Nchimbi mwenyewe amejiuzulu siasa?

    Ni vigumu kuamini Nchimbi mwenye miaka 54 amestafuu siasa na utumishi wa umma ikiwa hatajitokeza hadharani mwenyewe kusema au kuthibitisha amestaafu siasa kwa hiyari yake. Kujiuzulu nafasi ya umakamu inawezekana lakini kustaafu kabisa siasa haiingii akilini. Anstaafu siasa na utumishi wa umma...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mitaani wananchi wanaamini mpishi wa Dk Nchimbi alikula chakula chenye sumu akafa. Serikali ipo kimya na haikanushi

    Hii inaleta picha kamili kuwa wanachoamini wananchi kina ukweli. Vifo vya viongozi wengi wa CCM vina utata ndio maana CCM ni chama cha watu waovu kama alivyosema Humphrey Polepole.
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Facebook: Je huu ndiyo u-Yuda Iscariote wa Nchimbi?

    Kutoka chanzo cha Facebook;- 👉YA NCHIMBI IPO HIVI - Nimetrace data kuanzia Q692-92 na Zile za Ts629/002/7722/003 za mwezi wa 4 na 8 zote zinaonesha kwanza kabisa ! 👉Mifumo wake wa simu ilikuwa traced , na kosa zaidi alikuwa anawasiliana na x , na y, na z wa Chadema sasa mchezo upo hivi...
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Nchimbi alijipangia tarehe ya kujiuzulu rasmi ambayo ni 04/09/2026 huo muda angefanya kazi na nani? Au hajui athari za tukio alilolifanya?

    Alitoa barua ya kustaff tar 25/9/2026 na kujipangia kuwa atajihuzuru tar.4/9/2026 sijajua alitaka afanye nini ofsni huo muda na nani na wapi ? Ili Hali ashaonyesha usaliti mkubwa kwa Taifa na kwa chama au naye hajui athari za aliyoyafanya? Au tuseme uchawi upo 🤣 Nadhani naye Bado hajui amefanya...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama Dk Nchimbi amefukuzwa CCM kama mbwa, we kidampa usie na mbele wala nyuma unahangaika nini kusifia uovu wa CCM

    Nchimbi ni mmoja wa Watanganyika walioipambania CCM tangu akiwa kijana mpaka leo hii anakuja kufukuzwa kwa kuktaa uchawa na kupinga maovu We kidampa ambae kumiliki tu smart phone unajiona CCM mali ya baba yako na kutetea uchawa na uovu una nini cha maana?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nitoe wito kwa Mabalozi, Familia na Washirika wa Nchimbi tokeni nje ya Nchi

    Upinzani wa Syria, Libya, Yemen na mataifa mengi walifanikiwa kubadilisha mfumo katili kwa kuweza kuanzisha "Parallel institutes" Watanzania hawakumpa Uhalali Samia hivyo wako tayari kumpa uhalali mtu yoyote anayepinga na Samia. Nchimbi alishiriki uchafuzi wa October 29, ila baada ya kupishana...
  8. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Nchimbi anaweza kututajia watekaji wote kwa majina

    Hadi wanapoishi na familia zao, Hata kwa kutumia anonymous accounts za mitandao ya kijamii. Hili ni jambo muhimu sana.
  9. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania KATI YA SAMIA NA NCHIMBI UTAMCHAGUA NANI?

    Wanajamvi. Kuachana na mambo ya CCM ,,, ikawa uchaguzi wa Rais wagombea ni huru. Kati ya Samia na NCHIMBI UTAMCHAGUA nani? Au ninyi wana CCM ukiwekwa Uchaguzi huru ndani ya chama nani atashinda kati ya hawa wawili?
  10. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

    Wa Tanzania 🇹🇿 hili swala la Nchimbi lililosimamisha nchi tafsiri yake imekaaje? Kuna maswali najiuliza hapa Naomba ku share nanyi Hawa wafuasi waliojitokeza kumsifia Nchimbi na kumuona shujaa ni wana CCM wenyewe au ni wanachama wa vyama vingine? Je, nani anajua Nchimbi amejiuzulu kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aeleza wasiwasi simu za Nchimbi kutopokelewa 'Sikuizi ukisema ukweli umeanzisha fitina'

    Jaji Mstaafu, Joseph Warioba, ameeleza wasiwasi wake kuhusu mazingira yaliyogubika kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ikiwemo kitendo cha simu zake kutopokelewa na kuwepo kwa taarifa za kupokonywa simu na kuwekwa chini ya ulinzi mkali. Akizungumza leo Agosti 28...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Nchimbi hakuwa chawa ndani ya CCM alikemea maovu

    Mzee Warioba ameweka wazi👇
  13. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Kwa ninavyomfahamu Nchimbi siyo chawa, hata kwa matamko aliyokuwa akitoa

    Akizungumza leo, Agosti 28, 2026, katika Mkutano wa Wadau wa Masuala ya Kidemokrasia uliofanyika kwenye makao makuu ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema aliyekuwa makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa hajawai kuwa chawa "Kwa sababu mimi nasema...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sioni uwezekano wa kupata Katiba mpya kufikia 2030, asimulia mawasiliano na Nchimbi kabla ya kuondolewa CCM

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa itafanya uchaguzi mwingine kwa mfumo wa sasa. Jaji Warioba amesema mchakato unaopendekezwa kufikia...
  15. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Nchimbi kufuata nyayo za Maalim Seif au kina Lowassa?

    Kujiuzulu kwa Emmanuel Nchimbi kutoka nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania na baadaye kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumemaliza kwa ghafla moja ya safari za kisiasa zilizokuwa zimefika kileleni mwa uongozi wa nchi. Nchimbi, ambaye kabla ya kuwa Makamu wa Rais alikuwa Katibu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mzee Butiku alikuwa anamkubali Nchimbi?

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, alipoulizwa ni mwanasiasa gani anamkubali akamtaja aliyekuwa Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi Mzee Butiku amesema kama...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CCM kumfuta Dkt. Nchimbi uanachama: Je, anakoma moja kwa moja kuwa Makamu wa Rais?

    Jibu ni HAPANA. Ibara ya 47(4)(c) ya Katiba inaweka uanachama na udhamini wa chama cha siasa kama moja ya sifa za mtu kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais. Aidha, Ibara ya 47(4)(d) inamtaka mtu huyo kuwa na sifa zinazomwezesha kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi...
  18. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Nchimbi kawa mzalendo kuzidi CDF na IGP hongera nchimbi

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa maneno ya kijasiri ailyoyasema mbelel ya hadhira kuwa katika vitu vya msingi vya kuungana watanzania kwa faida ya sasa na vizazi vyetu ni kudai katiba mpya kwani katika ya sasa inampa Rais mmlaka makubwa sana ambayo anaweza kufanya chochote kile na hakuna...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

    Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania. Ametoweka kuogopa kutekwa Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Samia na Ndejembi lao moja

    Naona ni kama hawa wanatucheza au kutuosha. Sioni jipya wala la maana. Kila kitu kimefanyika kiCCMCCM. Wananchi wajiepushe kuingia mtego wa karata tatu. Wote ni wasanii na wananchi ni walengwa. Ni suala la kutumia akili. Ukimuona mbwa, jua kuna mwenyewe. Sijui Ndejembi nimuite nani na nini...
Back
Top Bottom