Nabii Lema: YUDA ni nani? Lema atengua kitendawili

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,217
Reaction score
102,315
Nadhani ameamua liwalo na liwe. Alikuwa anamsasema Nchimbi
Msikilize
============
Mwanasiasa Godbless Lema amesema baadhi ya viongozi nchini huanza kujikita katika siasa za uchaguzi mara tu baada ya uchaguzi kumalizika badala ya kuelekeza nguvu katika utekelezaji wa majukumu yao kwa wananchi.

Lema pia amerejea mjadala uliotokea hivi karibuni bungeni ambapo baadhi ya wabunge walituhumiana na kuitana majina mbalimbali, akidai kuwa kauli hizo zilimlenga Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi

Pia soma: Mbunge Simai: Serikalini kuna Yuda, huko nyuma amewahi kutajwa ni mzigo, amewaumiza watu wengi

"Hawa kwenu hawa wakimaliza uchaguzi wanaanza kuwaza uchaguzi. Umeona juzi walivyonyukana kule bungeni wameitana Yuda. Wameana nani? Yule walikuwa wanamsema Nchimbi. Yaani walikuwa wanamsema Nchimbi na yule kijana na Nchimbi, Nchimbi anatakiwa ajiongeze asiwe boya. Ukiona mbunge wa kawaida anayejiita mbunge, si wanawaita hivyo, anamsema anayejiita makamu wa rais ndani ya bunge, ndani ya bunge.

Yaani sikiliza nikuambie, yaani huyo aliyesema kuna Yuda ndani ya serikali ni mbunge wa kawaida kutoka wapi? Zanzibar sindio? Anayesemwa ni huyu mtu aliyejipatia umakamu wa nini? Wa rais. Alafu aliyekuwa mezani pale alikuwa ni naibu spika wa bunge. Naibu spika hakusema hivi hayo maneno ni mabaya, 'futa'. Hakusema futa, yakaendelea kwenye Hansard ya bunge. Kwa hiyo yale maneno yako kwenye kumbukumbu rasmi za bunge. Alafu akatokea kiongozi mmoja sijui jumuia ya wazee wa CCM ndio anajifanya kumtetea nani? Huyo makamu wao.

Lema naye aache siasa za Mbowe, why anajiingiza kwenye vita za wagombea urais CCM. Hajui anawasaidia CCM kufanya branding, na the more anampa sympathy Nchimbi ndio anazidi kuwapa uhalali CCM 2030.

Hao wote ni mafisadi sioni sababu ya kumuunga yoyote yule.
 
THE LEFT WING AND THE RIGHT WING ARE THE WINGS OF THE SAME BIRD!
 
Lema ajikite katika mambo yenye tija.

Kitendo cha kulitaja hilo genge linaloitwa bunge na kutaja vibaka waliomo humo kama "wabunge" ni kuhalalisha mauaji ya October 29.

Muda huu ni muda wa kupambania katiba mpya na kupata haki za watu waliouwawa October 29 na majambazi ya CCM.

Nchimbi na Samuya kama wanaparuana waparuane wao kwa wao sisi isitihusu maana hawana uhalali wala maana yoyote kwa watanganyika kwa sasa.

Sio Nchimbi wala Samuya mwenye afadhali maana wote wanachuruzika damu za maelfu ya watanganyika.
 
kwa hiyo kumbe kulikuwa na uchaguzi? what a contradiction …
 
Lema naye aache siasa za Mbowe, why anajiingiza kwenye vita za wagombea urais CCM. Hajui anawasaidia CCM kufanya branding, na the more anampa sympathy Nchimbi ndio anazidi kuwapa uhalali CCM 2030.

Hao wote ni mafisadi sioni sababu ya kumuunga yoyote yule.
Miaka yote bado mna siasa za kuvizia tu hamjiamini, yaani unaamini kabisa Lema kumtaja Nchimbi anaipaisha CCM 2030!

Just like that... come on!.
 
Nafikiri anachofanya Lemma ni kuchochea huo moto unaofukuta huko CCM.
 
Nadhani ameamua liwalo na liwe. Alikuwa anamsasema Nchimbi
Msikilize
============
Mwanasiasa Godbless Lema amesema baadhi ya viongozi nchini huanza kujikita katika siasa za uchaguzi mara tu baada ya uchaguzi kumalizika badala ya kuelekeza nguvu katika utekelezaji wa majukumu yao kwa wananchi.

Lema pia amerejea mjadala uliotokea hivi karibuni bungeni ambapo baadhi ya wabunge walituhumiana na kuitana majina mbalimbali, akidai kuwa kauli hizo zilimlenga Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi

Pia soma: Mbunge Simai: Serikalini kuna Yuda, huko nyuma amewahi kutajwa ni mzigo, amewaumiza watu wengi

"Hawa kwenu hawa wakimaliza uchaguzi wanaanza kuwaza uchaguzi. Umeona juzi walivyonyukana kule bungeni wameitana Yuda. Wameana nani? Yule walikuwa wanamsema Nchimbi. Yaani walikuwa wanamsema Nchimbi na yule kijana na Nchimbi, Nchimbi anatakiwa ajiongeze asiwe boya. Ukiona mbunge wa kawaida anayejiita mbunge, si wanawaita hivyo, anamsema anayejiita makamu wa rais ndani ya bunge, ndani ya bunge.

Yaani sikiliza nikuambie, yaani huyo aliyesema kuna Yuda ndani ya serikali ni mbunge wa kawaida kutoka wapi? Zanzibar sindio? Anayesemwa ni huyu mtu aliyejipatia umakamu wa nini? Wa rais. Alafu aliyekuwa mezani pale alikuwa ni naibu spika wa bunge. Naibu spika hakusema hivi hayo maneno ni mabaya, 'futa'. Hakusema futa, yakaendelea kwenye Hansard ya bunge. Kwa hiyo yale maneno yako kwenye kumbukumbu rasmi za bunge. Alafu akatokea kiongozi mmoja sijui jumuia ya wazee wa CCM ndio anajifanya kumtetea nani? Huyo makamu wao.

Nani alimpa bwana lema cheo cHa unabii?
kipi cha maana alichofanya hadi anaitwa nabii ?
 
Miaka yote bado mna siasa za kuvizia tu hamjiamini, yaani unaamini kabisa Lema kumtaja Nchimbi anaipaisha CCM 2030!

Just like that... come on!.
Never interrupt your enemy when they're making mistakes.
 
Back
Top Bottom