Moja ya Mashehe wapuuzi sana.Mwaipopo lazima atamshukia kama mwewe
Ni Jumuiya ya CCM yenye jukumu la kuwaghilib waislam waiunge mkono CCMBakwata sio muslim mkuu. ni tawi la TISS
📌🔨Ni Jumuiya ya CCM yenye jukumu la kuwaghilib waislam waiunge mkono CCM
Utabiri wa hali ya hewa unaonekana mashambulizi yataanzia kutokea Kisiwani UngujaBaada ya kumsikiliza Nchimbi leo sasa asubiri comeback yake , maana baada ya kumsikiliza, sasa wapo jikoni wanajipika kuja na mashambulizi upya dhidi ya nchimbi, hivyo kaa tayari
Umedanganywa ukadanganyikwa,hii ni baada ya ile ziara kwa Mzee Warioba,wanataka kumdanganya mzee warioba na kutudanganya sisi wananchiSasa nimegundua ni kwa nini yule Mzanzibari alimuita Yuda! Huyu jamaa ni kama hakubaliani na baadhi ya mambo yanavyo pelekwa. Ni vile tu hana ujasiri wa kukaa pembeni.
Yale yale ya hayati Ndugai, Mwenyekiti wa Jumuia ya wazazi ccm kesha bweka na kulianzisha.Baada ya kumsikiliza Nchimbi leo sasa asubiri comeback yake , maana baada ya kumsikiliza, sasa wapo jikoni wanajipika kuja na mashambulizi upya dhidi ya nchimbi, hivyo kaa tayari
🤣🤣Full body immersionMmeshajaa kwenye mfumo wao
Je nchimbi ni shujaa au mnafiki aliyetumwa kutughiribu?Baada ya kumsikiliza Nchimbi leo sasa asubiri comeback yake , maana baada ya kumsikiliza, sasa wapo jikoni wanajipika kuja na mashambulizi upya dhidi ya nchimbi, hivyo kaa tayari
Haya ya kweli??? Au fitna tu???Ni Jumuiya ya CCM yenye jukumu la kuwaghilib waislam waiunge mkono CCM
Kila anapopewa nafasi ya kukaimu nafasi uraisi pale bosi wake anapokuwa na safari za nje ya nchi Nchimbi huwa anatoa hotuba zenye kuonyesha hali halisi ya kisiasa iliyopo nchini hivi sasa.Baada ya kumsikiliza Nchimbi leo sasa asubiri comeback yake , maana baada ya kumsikiliza, sasa wapo jikoni wanajipika kuja na mashambulizi upya dhidi ya nchimbi, hivyo kaa tayari