Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 720
- 1,166
Hi
Nimependa sana hii sinema na sio maigizo, je? Si ni tofauti kati ya sinema na maigizo
Nimeona mgawanyiko huu unaenda kuwapoteza baadhi ya wananchi wengi wa kawaida ambao wachanga kwenye siasa na wasiojua lolote
Tujiandae wakuu wa nchi wakimiliki vyama tofauti na kimoja tawala, na kumuweka bwanah mkubwa kama mgombea wa uraisi ili kuyumbisha upinzani
Hamuwezi kuelewa
Mwana fa; mazoea
Kila kitu ni biashara hata jeneza na sanda yako, usitake amani wakati wa vita utakufa mapema “””**** kaungane na kina mama