nchi

  1. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Marekani imeshika nafasi ya kwanza kwa nchi yenye roho nzuri Dunani. Kwa Afrika, Kenya, Zambia na Sierra Leone zaongoza kuwa na roho nzuri

    Taasisi ya Charities Aid Foundation ya Uingereza imeitaja Marekani kama nchi yenye roho nzuri (most generous country) Duniani, ikifuatiaa na Myanmar na New Zeeland huku nchi zenye watu wachoyo zaidi ikiwa ni China, Yemen na Ugiriki. Kwa Afrika nchi kama Kenya, Zambia na Sierra Leoni zikishika...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Balozi Augustine Mahiga akana Tanzania kujitoa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga amekanusha taarifa za Serikali kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) Akifafanua zaidi kuhusu dai hilo, Dkt. Mahiga anasema serikali haijajitoa katika Mahakama hiyo isipokuwa imeiandikia barua Mahakama hiyo kuondoa...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, Nchi yetu kubadilisha Katiba ya nchi na kuwa ya chama kimoja cha siasa?

    Kutokana na mienendo ya kisiasa inavyokwenfa nchini kwetu, kuna tetesi kuwa watawala wetu wako mbioni kurejesha mfumo wa chama kimoja Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inatamka kuwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itaendeshwa katika mfumo wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tunapokwenda tunaweza kuja kuwa na sheria zitakazotungwa kwa lengo la kuwazuia baadhi ya watu tishio kugombea nafasi nyeti hapa nchini

    Huu ni mtazamo wangu, na mfano wa sheria kama hiyo inaweza kuwa ni kuwazuia wale wote waliokaa nje ya nchi mfululizo kwa kipindu fulani kabla ya tarehe ya uchaguzi, kugombea nafasi kama ya urais au ubunge. Sheria za aina hiyo zinaweza kutungwa hata kuwabana watu kugombea nafasi za uongozi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Magufuli: Changamoto sugu zimebaki historia, kila pembe ya nchi inashangilia mafanikio yake

    Mzee Mwinyi aliwahi kusema “haya yanayofanywa na JPM hatukuweza kufanya kwa miaka 30”. Ni kauli ya moyoni mwake na hakika ni kauli isiyoweza kubezwa na yeyote kwa sababu zifuatazo: ya kwanza, Mzee Mwinyi aliwahi kuwa Rais, kauli hiyo ameitoa baada ya kuupima urais wake na huu wa JPM na kuona...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mwanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya afukuzwa nchini Benin akidaiwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo

    Serikali ya Benin imemshutumu balozi wa Umoja wa Ulaya Oliver Nette kuhusika na harakati za kutaka kuipindua serikali, baada ya kumuamuru kuondoka katika taifa hilo la Afrika Magharibi ifikapo Desemba mosi. Msemaji wa serikali Alain Orounla aliwaambia waandishi habari kwamba ushirikiano kati...
  7. Mtoto wa Mkulima

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today Botha speech 1985 THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South...
  8. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ni makosa makubwa mno kwa mtawala wa nchi kuwachagulia wananchi wawakilishi wao

    Hivi Leo Taifa letu limeshuhudia maajabu katika vituo vya kupiga kura katika kile kinachoitwa uchaguzi wa Serikali za mitaa, kwa vituo hivyo ambavyo huwa kawaida vinafurika watu, hivi Leo kuwa "vyeupe" kabisa! Vyama vya upinzani 8, vikiongozwa na chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema...
  9. KIBESENI

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu, je Nyerere angekuwapo angenyamaza?

    Sipati jibu ninapowaza juu ya nchi yangu 🇹🇿 Tanzania. Nashindwa cha kufanya, naishia kusema: Je, Nyerere angekuwepo angenyamaza kama hawa Wastaafu walivyonyamaza utadhani hawapo? Mbona huyu mwenye majina mengi anabomoa, nani atakayeijenga tena Tanzania ya Watanganyika na Wanzibari? Nauliza...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa kulaumiana kila kitu sio mzuri kwa nchi

    Kumekuwepo na utamaduni hasa kwa viongozi wa serikali kulaumu bila kuwa na uhakika na kusingizia wapinzani mfano mzuri ni kwenye hili la ndege kushikwa Canada. Kila mtu anajua sababu lakini bila aibu Waziri wa Mambo ya Nje kwa nyakati tofauti anajaribu kuwasingizia wapinzani wamehusika...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuondolewa orodha ya nchi maskini

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo ya Biashara (UNCTAD), limezindua ripoti ya mwaka 2019 kuhusu nchi maskini zaidi duniani. Shirika hilo limebainisha kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo katika hali chanya kwa kufanya vizuri, kuweza kuondoka katika orodha ya nchi...
  12. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Ni ipi nafasi ya viongozi wa dini katika katika mstakabali wa amani ya nchi?

    Nijuavyo mimi, viongozi wa dini wan nafasi kubwa sana katika kusimamia viongozi wa nchi. Zamani wafalme walikuwa hawaendi vitani bila kuuliza ruhusa toka kwa makuani/manabii. Kiongozi wa dini walikuwa na mamlaka ya kukemea wafalme pale walipoenda/tenda kinyume na kusudio la Mungu. Kwa kipindi...
  13. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi nchini kutumika na CCM kuwabakiza madarakani ni uvunjifu wa Katiba ya nchi

    Tukiisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, inasema wajibu namba moja wa Jeshi letu nchini kuwa ni kuwalinda raia na mali zao Jeshi hilo halipaswi liwalinde watawala, bali linatakiwa litimize majukumu yake kwa weledi bila kupendelea upande wowote Sasa yanapotokea...
  14. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa nchi za Afrika mashariki ambao wanaume watanzania waweza kuwaoa kirahisi na wakajisikia vizuri

    Kwenye nchi za jumuiya ya Africa Mashariki wanawake ambao ni wepesi kuolewa na kuishi vizuri na watanzania ni hawa wafutao Namba moja wanaoongoza ni wanawake wa kinyarwanda wazuri na wana akili nyingi mno wengi wao kuolewa na mtanzania ni rahisi mno na wengi wameolewa na watanzania Namba...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imekanusha kuwa na ukata wa fedha na kwamba nchi zote wanachama, zimeanza kulipa ada za uanachama

    Jumuiya hiyo imesema hakuna nchi yoyote ya Jumuiya hiyo iliyo hatarini kuondolewa uanachama, kwa sababu ya kushindwa kutoa ada za mwaka, isipokuwa upo uwezekano wa kuwekewa vikwazo. Kwa mujibu wa taarifa ya jumuiya hiyo, hadi kufikia Oktoba mwaka huu, Burundi ilikuwa ikidaiwa Dola za Marekani...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Serikali za mitaa CCM, nchi yatikisika, watu wakanyagana

    Mwenye macho haambiwi tazama
  17. T

    JamiiForums Tanzania Tumzo Karugira wa Azam TV ni raia wa nchi gani?

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Leo baada ya Mechi ya CECAFA WOMEN CHALLENGE CUP baina ya Djibouti v.s Uganda, Tumzo alimhoji mfungaji bora wa Uganda. Kumhoji mchezaji baada ya mechi ni suala la kawaida isipokuwa dukuduku langu limetokana na haya yafuatayo: 1. Tumzo alitumia lugha ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kama unapenda nchi fikiria baada yako

    Magufuli anafanya kazi nzuri kwa ujumla hasa ukusanyaji kodi, miradi ya msingi na kurudisha heshima kwa kupunguza upotevu wa mali za Serikali. Lakini kuna vitu ambavyo haviko vizuri 1. Kwanza hakuna mikakati ya kubirosha mifumo ili iweze kwenda bila kutegemea watu. Hakuna mpangilio mzuri wa...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iagize waliopita mgambo waanze mazoezi nchi nzima ili wawe tayari kuwapiga watanzania watakaoharibu uchaguzi serikali za mitaa

    Nashauri kwamba watu wote waliopita mgambo nchi nzima wawekwe tayari na siku mbili kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, wafanye mazoezi makali kabisa mitaani kama ishara ya onyo kwa watanzania wanaojiandaa kuvuruga amani. Serikali iinunue makontena ya rungu mpya na kuwagawia watu hawa
  20. G

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa nchi ikaendeshwa kwa majimbo

    Ili kusonga mbele kama Taifa na kuleta maendeleo sawa kwa watu tubuni Majimbo since our Country is large tuingie kwenye mfumo huu. Na iwe hivi: 1. Mwanza, Kagera, Geita yawe BUKOBA STATE 2. Shinyanga, Tabora na Katavi yaitwe TABORA STATE. 3Dodoma, Singida na Morogoro yaitwe DODOMA DC STATE...
Back
Top Bottom