Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,395
- 3,899
Ukifika kwa daktari kuna kitu kinaitwa Historia ya mgonjwa
Mgonjwa kumtibu lazima ujue historia yake in detail ili ikusaidie kumpa tiba sahihi
Ndio maana watu wengi wenye uwezo wana family Doctors
Family and private Doctors anasaidia kujua akupe dawa gani na anajua dawa mbaya na hatarishi kwako
Kwa mfano mtu mwenye Heart failure ejection fraction ya below 40℅ ukimpa dawa ya kushusha pressure lazima afe.
Nakumbuka baba yangu alikuwa na shida ya Heart failure nilikuwa namfuatilia kila siku
.
Nilijua dawa gani inafaa na dawa gani haimfai lilikuwa kosa moja tu alipojisikia kuumwa akaenda hospitali akakutana na mwanafunzi Clinical officer alipogoogle dawa na kumpa ya loop diuretics haikumchukua hata Massa mawili
Tuwalinde vulnerable people bila kujali jinsia umri rangi chama dini na kabila