Ni wakati wa kuchukua waamuzi kutoka nje ya nchi

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
15,197
20,173
Mchezo wa mpira wa miguu ni miongoni mwa michezo inayovuta hisia za wengi haoa nchini na nje ya nchi lakini kutokana na matukio yanayoendelea ya waamuzi kuja na maamuzi yao ni wazi tunapoelekea sio pazuri nawashauri bodi ya ligi na TFF kwa mechi kubwa ni bora wakachukua waamuzi kutoka nje ya nchi au hata Zanzibar.

Kkwani kufanya hivyo kutawafanya waamuzi wajiulize na pia wajutie kukosa posho za mechi kubwa na pia kukosa pesa wanazojongwa kwa sababu maamuzi kama ya leo yakitokea sikubya mechi ya simba na yanga ni wazi kungekuwa na maafa makubwa TFF, bodi ya ligi wasilazimishe timu fulani ziwe wawakilishi wakati hazina uwezo
 
Mwamba anawasalimia
 

Attachments

  • IMG-20200630-WA0182.jpg
    IMG-20200630-WA0182.jpg
    45.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom