Wakuu hamjambo?
Nimekuwa nafuatilia kuhusu hili gonjwa la Corona kwa wataliano, naona linawapukutusha kama mti unavyopukutisha majani wakati wa kiangazi.
Idadi ya vifo inasoma 400+ kila siku,angalia hii record ya vifo kwa Jana na Leo, ambapo Jana tu uliua watu 475. Leo hii watu takribani 425...