Nigeria kufungulia Anga lake kwa nchi tu ambazo zinaruhusu raia wa Nigeria kuingia katika nchi zao

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,365
2,000
Mkuu wa kitengo cha usafirishaji wa anga ( Nigeria Civil Aviation Authority) wa nchini humo ametoa tamko rasmi kuwa nchi yake itafungua anga yake kwa safari za kimataifa. Bw Sani Aliyu amesisitiza miongoni mwa masharti ya ufunguzi ya anga lao ni kuruhusu ndege kutoka mataifa yanayoruhusu raia wa Nigeria kuingia nchini mwao na si vinginevyo.
9E9010D6-A7CF-49C6-9F16-CF09A0167BB9.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom