Utapeli wa Lissu: Majimbo ya uchaguzi yako 264 yeye katembelea 20 anasema katembea nchi nzima na anapendwa nchi nzima!!

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk

Hata aliyotembelea angalia utapeli

Manyara majimbo yako Saba katembelea Moja tu.

Mbeya yako Saba kaishia moja tu la Mbeya mjini kwa Sugu

Kilimanjaro yako 9 katembelea Moja tu Hai kwa Mbowe

Iringa yako 9 katembelea moja tu la Iringa mjini kwa Msigwa

Dodoma yako 10 hata moja hajagusa nk

Hebu fikiria anasema anapendwa nchi nzima kwa kutembelea majimbo 20 tu Kati ya 264!!!! Huu utapeli
 
Binafsi naona Hakuna mpinzani dhaifu tangu nchii hii imeanza siasa.. Kama Tindu lissu
#electionoctober
Ndio mukammiminia mvua ya risasi katika majengo Yale ya bunge walinzi mukawaondoa CCTV camera mukaziondoa mukamvua ubunge mukazuiya kumtibu mukalazimisha apelekwe muhimbili mukammalize kabisa lakini mukafeli mwisho mukaziya wabunge wenu wasiende kumuangalua na kumjuilia hali lisu
 
Tanga yako majimbo 12 kutembelea moja apate picha za kuzuga wazungu kuwa Tanga wanampenda
 
Mkuu, twende taratibu tu, ukizingatia kuwa hakuna namna wala jinsi yoyote ile, zaidi ya kuukubali ukweli ya kwamba TAL anaaminika, anakubalika na kuungwa mkono na wananchi wengi hapa nchini. Kumbuka tu chema siku zote chajiuza na kibaya chajitembeza.
 
Nimeamini Lissu ni blessed yaani mzee wa burigi hatulii kila siku vikao visivyoisha na posho za kufuru kwa wajumbe ili waje na nini cha kufanya ili Lissu apokwe ugombea.
Ukija upande wa Lumumba huko ndo balaa watu wanakwenda hadi kupuu bila maji wakienda kulala wanajitupa kitandani na makata mbuga au yeboyebo wamevurugwa.
 
Lissu werawera fumua hayo mashetani watuachie nchi yetu ikiwa salama salmini, haya madude yametuharibia nchi hadi imekuwa utadhani wote sisi ni wachunga ng'ombe shabaash fukunyula koote kwenye mashimo ya utekaji na kwingineko fukunyula pambaaaf
 
Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk

Hata aliyotembelea angalia utapeli

Manyara majimbo yako Saba katembelea Mona tu

Mbeya yako Saba kaishia moja tu la mbeya mjini kwa Sugu

Kilimanjaro yako 9 katembelea Moja tu Hai kwa Mbowe

Iringa yako 9 katembelea moja tu la Iringa mjini kwa Msigwa

Dodoma yako 10 hata moja hajagusa nk

Hebu fikiria anasema anapendwa nchi nzima kwa kutembelea majimbo 20 tu Kati ya 264!!!! Huu utapeli
Lini alikwambia katembelea nchi nzima?
 
Back
Top Bottom