nchi

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Choppa ya CCM yatua Urambo tayari kwa kampeni nchi nzima, sasa ni mashambulizi kotekote!

    Kwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambo mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni. Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lissu lazima akae. Maendeleo hayana vyama!
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Eti ndugu zangu watanzania (wale tu mnaofuatilia siasa za kimataifa kwa muda mrefu kama mimi); Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila kwa sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria ilhali nchi hizi mbili zinapakana...
  3. JamiiForums Tanzania Mchango wa vijana katika kuleta Uhuru wa nchi hii, kwanini vijana tusiandae mdahalo wetu sisi wenyewe?

    Kabla ya Tanganyika kujipatia Uhuru, vijana ndiyo walipigania kufa na kupona ili nchi yetu iachiwe na wakoloni, hatimae wakoloni walituachia nchi yetu, ndiyo maana leo hii tuna siku ya mashujaa( Hawa Ni vijana) waliopigania nchi yetu. Kwakuwa Sasa hivi tupo katika kipindi Cha uchaguzi mkuu, Kuna...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Bi. Hamida: Tumchague Prof. Lipumba awe Rais na mimi niwe Makamu wa Rais tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." KASULU, KIGOMA. Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mtazamaji (observer) katika uchaguzi ni nani, ana majukumu gani na yana faida gani kwa nchi?

    Mtazamaji wa Uchaguzi ni Nani? Katika chaguzi zote Duniani huwa kuna watu wanaitwa WATAZAMAJI(OBSERVERS) hawa wanaweza kuwa watu Binafsi kutoka ndani na nje ya Nchi. MAJUKUMU Jukumu kuu la watazamaji ni kutazama matendo na shughuli zinazoendelea katika mchakato wa Uchaguzi na kuhitimisha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lissu na sera za kuifanya nchi dampo la bidhaa za nje na uchumi tegemezi wa kutupwa

    Ni wiki ya nne sasa tokea kampeni zifunguliwe tumesikia Sera nyingi za kuomba ridhaa za uongozi wa kitaifa lakini Mimi najikita kwa huyu" TUNDULISU" kwa sababu ni mshindani mkubwa wa rais wetu JPM. Katika kutaka kuomba ridhaa hiyo amekuwa akihubiri mambo kadhaa ambayo Mimi naona anataka...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali"

    Wanabodi, Kwanza sikiliza hii Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John...
  9. JamiiForums Tanzania Magufuli na Lissu kukutana Kigoma kwa mara ya kwanza leo

    Kwa mjibu wa ratiba Tundu Lissu atakuwa na kampeni Kigoma mjini leo jioni katika maeneo ya Mwanga center. Wakati huo huo Rais Magufuli atakuwa Lake Tanganyika, atakuwa na Rais wa Burundi ambaye amealikwa katika uzinduzi wa jengo la mahakama. Hofu yangu ni, je, CHADEMA wataruhusiwa kufanya...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Mgombea Urais wa JMT, Dkt. John Magufuli yupo Kigoma leo Septemba 18, 2020. Updates zote zitawekwa hapa: Video: Ngoma ya kinamama wa kabila la Wabembe wa kata ya Kitongani Kigoma mjini wakitumbuiza katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo katika kunogesha mkutano wa kampeni wa JPM leo...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba (Ilolangulu): Nichagueni niwe Rais wa nchi hii ili niweze kutokomeza njaa kwa wote na kuhakikisha lishe bora kwa wajawazito na watoto

    NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"ILOLANGULU AKIPITA KUSALIMIA. Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
  13. JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

    Raisi Magufuli awashangaa wanaodhani kujenga diplomasia ya mahusiano ya kimataifa ni kufanya safari za kwenda ulaya!! Raisi Magufuli atema cheche asema asema ana mialiko ila hataenda atatuma balozi yeye anajenga nchi Ninakubaliana naye Uingereza na Marekani wana mahusiano mazuri sana na nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mradi wa kukarabati Shule Kongwe nchi nzima. Je, fedha za kukarabati shule ya Ihungo na Nyakato zilizoathiriwa na tetemeko Kagera zinatoka huko?

    Nasikia kuna mradi mkubwa unaofadhiliwa na mataifa ya nje ili kukarabati Shule Kongwe hapa nchini. Mradi huu hutoa pesa kwa ajili ya shughuli hii. Shule ya Sekondari Nyakato pamoja na Ihungo ni moja ya shule kongwe na hivi karibuni zimezua mjadala. Shule hizi zilipigwa na tetemeko lililoikumba...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Sijauona ‘u-kibaraka’ wala ‘ubeberu’ kwa Lissu mpaka sasa

    Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni. Nautafuta Ubeberu wake siuoni. Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa. Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Chama kinachotaka kuhudumia Watanzania, kinabagua na kuweka nongwa maendeleo yakipelekwa sehemu fulani ya nchi

    Kampeni za vyama mbalimbali vya siasa zimeendelea kutimua vumbi maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Leo naomba nitoe dukuduku langu kwa uchache sana. Kwa mshtuko sana nimesikitika kuona baadhi ya vyama vya upinzani kuanza ubaguzi wa waziwazi kwa kuumia na kuweka nongwa Serikali kupeleka maendeleo na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 SAU: Tukishinda deni la Taifa halitagawanywa kwa wananchi bali wananchi watagawiwa utajiri wa nchi deni ni la viongozi

    Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu tutasikia mengi. Mgombea urais wa SAU Mh Mutameghwa amesema endapo atachaguliwa basi deni la taifa halitagawanywa kwa wananchi bali viongozi na wananchi watagawiwa utajiri wa nchi. Pia vivuko kama pantoni havitatoza nauli itakuwa bure kwa sababu vivuko ni sehemu...
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba akiwa Dodoma Mjini: Mkinichagua kuwa Rais wa nchi hii nitatoa huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito na watoto

    MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA" DODOMA MJINI Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo. Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM kusambaza mabango ya wagombea wao nchi nzima, ni kutumia vibaya "resources" zetu!

    Hivi sasa unapotembea kwenye miji mikubwa hapa nchini utakutana na mabango ya wagombea wa CCM, ambayo yamebandikwa kila mahali, hadi kwenye vichochoro, hadi inatia aibu na kuleta kichefuchefu! Wakati hayo yanafanyika kwa upande wa CCM, kwa kutapanya ovyo pesa zetu za walipa kodi, hali ni mbaya...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia sasa ni nchi ya pili Afrika kwa ku-export maua. Kenya bado ni ya kwanza

    Watanzania fulani humu hupenda kusema kuwa Tanzania inaexport maua kwa wingi kushinda Kenya. Ukweli usiopingika ni kuwa Kenya ni ya kwanza Afrika kwa wingi wa kuexport maua. Kumbe hata nchi kame kama Ethiopia pia inaexport maua kwa wingi kushinda walazy wa kusini? Wabongo tusiwahi bishana tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…