Makinikia ya dhahabu yaruhusiwa tena kupelekwa nje ya nchi kama zamani

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,810
18,543
Mnakumbuka sakata la makanikia mwaka 2017 na jinsi lilivyozua mtafaruku dunia nzima na kupelekea serikali kuzuia kusafirishwa nje ya nchi udongo wenye dhahabu.

Yalikuwepo makontena takribani 277 yaliyo na dhahabu kiasi cha tani 7.8 za dhahabu kwa kila kontena.

Sasa mambo yamerudi kama zamani baada ya serikali kushindwa kuchenjua dhahabu hiyo imebidi wakubali tu makontena hayo yaliyoshikiliwa bandarini yaendelee na safari kwa wenye mitambo ya uchenjuaji nje ya nchi.

Tumerudi kule kule tulikokuwepo, mambo mengi tuliyo ahidiwa yamekuwa hadithi tupu?

1590400153857.png

----------

Dar es Salaam. The government has issued an export permit for all the 277 containers full of gold and copper concentrates which had been held in Dar es Salaam since 2017.

The mineral concentrates had been stored at the Dar es Salaam seaport and Inland Container Depot (ICD) pending negotiations between the government and the Canada-based Barrick Gold Corp.

The release comes almost four months after Tanzania and Barrick Gold signed a deal in which the government would take stakes in the latter’s three gold mines in the country to end a long running tax dispute.

The deal signed in January, 2020 by Barrick CEO Mark Bristow and Minerals minister Doto Biteko in Dar es Salaam followed an announcement by the two sides in October 2019 in which they agreed to a payment by Barrick Gold of $300 million to settle outstanding tax and other disputes, lifting of the export ban on concentrates and the sharing of future economic benefits from the Barrick Gold mines.

The two parties also formed a new joint venture, Twiga Minerals Corporation (‘Twiga Minerals’).

The permanent secretary in the Minerals ministry, Prof Simon Msanjila, told The Citizen’s sister paper Mwananchi recently that the export permit was issued to Twiga Minerals after the government received all the taxes due from Bar-rick Gold totaling Sh21.1 billion.

The amount was part of the Sh58.9 billion collected by the Tanzania Minerals Commission (TMC) in April 2020.

During the first three weeks of May 2020, TMC has garnered Sh44.7 billion as mineral proceeds.

“In short, an export permit has been issued. All taxes had been paid by April. A decision on when to export the concentrates remains purely with the company (Twiga) itself,” he said. Barrick Gold’s resident manager, Mr Hilaire Diarra, wasn’t in a position to give details on the matter.

At least 55,000 tonnes of the mineral concentrates produced by Buzwagi and Bulyanhulu Gold Mines under the then Acacia Mining Company had been exported for lack of a processing capacity in the country.

However, President John Magufuli prohibited exportation of the 277 containers of the concentrates and the probe committee he formed to look into the matter came up with a list of minerals worth Sh829.4 billion contrary to earlier figures by Acacia Mining.

For instance, the committee unveiled that the containers had an average of 7.8 tonnes of gold worth Sh676 billion, contrary to the 1.1 tonnes valuing at Sh97.5 billion provided by the Tanzania Minerals Audit Agency (TMAA).

The National Union of Mine and Energy Workers of Tanzania (Numet) secretary general, Mr Nicomedes Kajungu, said the concentrates exportation benefit will be seen if the generated revenue will be the product of actual standards provided by Prof Abdulkarim Mruma’s probe committee.

“If there is no difference, then the exportation is meaningless.However, I commend the government for its initiatives to construct a minerals processing plant in the country because apart from creating jobs - it will improve the country’s economy,” he said.

According to TMC, revenues generated in mining include royalty, inspection fees, licence lease fees, penalties and geological services levy.

The commission had collected Sh44.7 billion as of May 22 this year and that Sh58.9 billion was taxes collected on the copper concentrates.The amount collected in March 2020 amounted to Sh39.6 billion while in February Sh34.6 billion was collected.

Source : The Citizen

Makinikia yameishia wapi? - JamiiForums
 
Yanapelekwa sawa ila kwa makubaliano mapya ambapo kwa kuzingatia urari wa 70/30% ya mgawanyo wa faida ambapo faida ya shughuli zote za uendeshaji wa kampuni ya Twiga.

Serikali itachukua 70% ya faida ya jumla itakayo patikana kutokana na mauzo hayo hivyo ni hatua kubwa mno. Sasa serikali kuwa mnufaika mkuu wa mauzo hayo
 
Mle ndani ya makinikia kuna copper, silver, molebdenum, rhodium, platinum, iridium, nk yote haya yakiwa na thamani zaidi ya dhahabu yenyewe. Bado tunapigwa vibaya.

Pili nani anasimamia uchenjuaji huko nje ili tusiibiwe?

Tatu serikali ilisema inajenga kiwanda cha uchenjuaji, habari imeishia wapi?

Tumerudi kule kule?
 
Yale yaliyozuiwa bandarini, hivi karibuni ilikuwa yaondoke baada ya makubaliano. Lakini ghafla ilitoka amri kutoka kusikojulikana yasipakiwe, kwa hiyo bado issue ipo pending

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mle ndani ya makinikia kuna copper, silver, molebdenum, rhodium, platinum, iridium, nk yote haya yakiwa na thamani zaidi ya dhahabu yenyewe. Bado tunapigwa vibaya.

Pili nani anasimamia uchenjuaji huko nje ili tusiibiwe?

Tatu serikali ilisema inajenga kiwanda cha uchenjuaji, habari imeishia wapi?

Tumerudi kule kule?
mzee hayo makinikia sasa hivi ni mali ya kampuni ya twiga ambayo serikali inahisa humo na nisehemu ya bodi ya kurugenzi ya kampuni ya twiga inayo miliki hayo makinikia sasa itaibiwaje mkuu swala la kuchakata madini Tz ni swala la mda tuu.

Kabudi ni kiwanda tosha Cha kuchenjua makinikia
 
mzee hayo makinikia sasa hivi ni mali ya kampuni ya twiga ambayo serikali inahisa humo na nisehemu ya bodi ya kurugenzi ya kampuni ya twiga inayo miliki hayo makinikia sasa itaibiwaje mkuu swala la kuchakata madini Tz ni swala la mda tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaochakata makinikia huko nje ni mabeberu je, tunamwachia Mungu atusaidie tusiibiwe?
 
Yanapelekwa sawa ila kwa makubaliano mapya ambapo kwa kuzingatia urari wa 70/30% ya mgawanyo wa faida ambapo faida ya shughuli zote za uendeshaji wa kampuni ya Twiga.

Serikali itachukua 70% ya faida ya jumla itakayo patikana kutokana na mauzo hayo hivyo ni hatua kubwa mno. Sasa serikali kuwa mnufaika mkuu wa mauzo hayo
Nani anauza na nani anatuarifu kama amepata faida au hasara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza mno! Nafikiri magu ataiacha Tz kama alivyoikuta matumaini yetu yanapotea.
Nazani niukosefu/upungufu wavifaa vyakufanyia hizo shuhuli..
Mzee anaweza push tukafikia sehemu ngoja tuone
 
Ningeshangaa kama wangeweza kukataa kabisaa ingekua ajabu sasa hivi wanaona hasara iliyopatikana na wamekosa hela kipindi cha corona kitaruhusiwa kila kitu ili kuziba mapengo haya kwao....
 
Sijui nilie, sijui nikae chini nicheke, sijui nifurahie...Mungu naomba maisha marefu nizidi kuona vituko vya serikali ya wanyonge aka wazalendo aka serikali ya awamu ya 5.

BC Tundu Lisu
 
Mnakumbuka sakata la makanikia mwaka 2017 na jinsi lilivyozua mtafaruku dunia nzima na kupelekea serikali kuzuia kusafirishwa nje ya nchi udongo wenye dhahabu.

Yalikuwepo makontena takribani 277 yaliyo na dhahabu kiasi cha tani 7.8 za dhahabu kwa kila kontena.

Sasa mambo yamerudi kama zamani baada ya serikali kushindwa kuchenjua dhahabu hiyo imebidi wakubali tu makontena hayo yaliyoshikiliwa bandarini yaendelee na safari kwa wenye mitambo ya uchenjuaji nje ya nchi.

Tumerudi kule kule tulikokuwepo, mambo mengi tuliyo ahidiwa yamekuwa hadithi tupu?

View attachment 1459122
----------

Dar es Salaam. The government has issued an export permit for all the 277 containers full of gold and copper concentrates which had been held in Dar es Salaam since 2017.

The mineral concentrates had been stored at the Dar es Salaam seaport and Inland Container Depot (ICD) pending negotiations between the government and the Canada-based Barrick Gold Corp.

The release comes almost four months after Tanzania and Barrick Gold signed a deal in which the government would take stakes in the latter’s three gold mines in the country to end a long running tax dispute.

The deal signed in January, 2020 by Barrick CEO Mark Bristow and Minerals minister Doto Biteko in Dar es Salaam followed an announcement by the two sides in October 2019 in which they agreed to a payment by Barrick Gold of $300 million to settle outstanding tax and other disputes, lifting of the export ban on concentrates and the sharing of future economic benefits from the Barrick Gold mines.

The two parties also formed a new joint venture, Twiga Minerals Corporation (‘Twiga Minerals’).

The permanent secretary in the Minerals ministry, Prof Simon Msanjila, told The Citizen’s sister paper Mwananchi recently that the export permit was issued to Twiga Minerals after the government received all the taxes due from Bar-rick Gold totaling Sh21.1 billion.

The amount was part of the Sh58.9 billion collected by the Tanzania Minerals Commission (TMC) in April 2020.

During the first three weeks of May 2020, TMC has garnered Sh44.7 billion as mineral proceeds.

“In short, an export permit has been issued. All taxes had been paid by April. A decision on when to export the concentrates remains purely with the company (Twiga) itself,” he said. Barrick Gold’s resident manager, Mr Hilaire Diarra, wasn’t in a position to give details on the matter.

At least 55,000 tonnes of the mineral concentrates produced by Buzwagi and Bulyanhulu Gold Mines under the then Acacia Mining Company had been exported for lack of a processing capacity in the country.

However, President John Magufuli prohibited exportation of the 277 containers of the concentrates and the probe committee he formed to look into the matter came up with a list of minerals worth Sh829.4 billion contrary to earlier figures by Acacia Mining.

For instance, the committee unveiled that the containers had an average of 7.8 tonnes of gold worth Sh676 billion, contrary to the 1.1 tonnes valuing at Sh97.5 billion provided by the Tanzania Minerals Audit Agency (TMAA).

The National Union of Mine and Energy Workers of Tanzania (Numet) secretary general, Mr Nicomedes Kajungu, said the concentrates exportation benefit will be seen if the generated revenue will be the product of actual standards provided by Prof Abdulkarim Mruma’s probe committee.

“If there is no difference, then the exportation is meaningless.However, I commend the government for its initiatives to construct a minerals processing plant in the country because apart from creating jobs - it will improve the country’s economy,” he said.

According to TMC, revenues generated in mining include royalty, inspection fees, licence lease fees, penalties and geological services levy.

The commission had collected Sh44.7 billion as of May 22 this year and that Sh58.9 billion was taxes collected on the copper concentrates.The amount collected in March 2020 amounted to Sh39.6 billion while in February Sh34.6 billion was collected.

Source : The Citizen

Makinikia yameishia wapi? - JamiiForums
dili tayari. watu na 10% yao saafi.
endeleeni kusubiria Noah tu, zipo 55M zaja!
 
Back
Top Bottom