Kuna nchi zipo vizuri ila huwa hawapigi kelele sana kama Majirani zetu

May 28, 2020
8
9
Abidjan ni mji mkuu wa nchi ya Ivory Coast na pia mji kubwa zaidi nchini humo. Abidjan is also known as the Paris of Africa ,
Abidjanis the biggest and most important city of Cote d'Ivoire. With a population of around 4,000,000 people, it is the second largest city in West Africa after Lagos and has historically been the economic power base of the region.

Following the death of long term president-for-life Felix Houphouët Boigny in 1993, the fortunes for Abidjan changed a great deal and successive coups d'etats in Cote d'Ivoire caused a massive exodus of the foreigners living there. Today, despite the current political issues in Cote d'Ivoire at large, Abidjan remains the economic and de facto capital of the country. Even after everything that's happened, it still boasts a large selection of restaurants, hotels, sites, and other reasons to visit.

Abidjan it is by far West Africa’s most developed city , you can see more bout the city below ...

Gdp ya Abidjan ni ngapi? Wachana na mambo ya per capita kwanza
Unajua GDP ya Luanda? Mbona haina maendeleo makubwa?, wacha kutumia vigezo visivyokua na maana. Muhimu ni matumizi bora ya pesa.

Kenya pesa yote inaibiwa, hakuna maendeleo yoyote yanayofanyika Nairobi kulinganisha na GDP yake. Ndio sababu jeshi la Ethiopia bajeti yake ni $300M kwa mwaka, lakini lina idadi ya vifaa vya kivita na idadi ya wanajeshi mara 3 zaidi ya Kenya yenye bajeti ya $1B kwa mwaka.
 
Apparently this is the city that competes with Dar!

Sawa lakini hujajibu swali. Kwani Wajapani wanachukua miaka kumi? Mngepea wachina ingekuwa iliisha zamani
They r also involved in this mega project in Mwanza the longest bridge in East n central Africa n to be 6th longest in Africa!

BTW do u still believe KQ will reclaim cargo from Tanzania? FYI Mwanza is to be the J'burg of East Africa all the gold n diamond mining companies that r having their headquarters in J'burg have agreed to relocate their headquarters to Mwanza! :D :D :D
 
Unajua GDP ya Luanda? Mbona haina maendeleo makubwa?, wacha kutumia vigezo visivyokua na maana. Muhimu ni matumizi bora ya pesa.

Kenya pesa yote inaibiwa, hakuna maendeleo yoyote yanayofanyika Nairobi kulinganisha na GDP yake. Ndio sababu jeshi la Ethiopia bajeti yake ni $300M kwa mwaka, lakini lina idadi ya vifaa vya kivita na idadi ya wanajeshi mara 3 zaidi ya Kenya yenye bajeti ya $1B kwa mwaka.
GDP na matumizi bora ya pesa vimeingiliana wapi
 
Gdp ya Abidjan ni ngapi? Wachana na mambo ya per capita kwanza
GDP per capita is an important indicator of economic performance and a useful unit to make comparisons of average living standards and economic wellbeing.

Gdp per capital ni muhimu, mfano mwengine umepewa na mdau hapo kuhusu Luanda ipo na Gdp ndogo kuliko Nairobi but ki uhalisia mji ambao uko vizuri kiuchumi ni Luanda. Watu wa Luanda wako na maisha mazuri kuliko Nairobi kwa wastani.
 
What about Dar-is-Slum.Slum city
We all know where the slums stay..
It's very simple,just go to google search engine ,then type "the worst slums in the world"..then,search..
In top three you'll find kibera,korogocho,mukuru and dandora all from nairobi
 
They r also involved in this mega project in Mwanza the longest bridge in East n central Africa n to be 6th longest in Africa!

BTW do u still believe KQ will reclaim cargo from Tanzania? FYI Mwanza is to be the J'burg of East Africa all the gold n diamond mining companies that r having their headquarters in J'burg have agreed to relocate their headquarters to Mwanza! :D :D :D

I’m be honest here , Mkifanikiwa hili. Itakuwa a big achievement.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom