nchi

  1. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  2. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha nchi kuwa na nguvu za uchumi ni kipi?

    Dola moja ya marekani ni sawa na shilling 2326 za Tanzania Dola moja ya marekani ni sawa na Yeni 11 za japan Dola moja ya marekani ni sawa na dinar 0.33 za Kuwait Hela yenye nguvu kuliko zote duniani ni dinar ya Kuwait.Tunaambiwa nchi tajiri kuliko zote duniani ni Luxembourg kanchi kadogo sana...
  3. Moto Ulao

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

    Tukiondoa itikadi za vyama na ushabiki usio na maana sana hasa kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi, tujikite sasa kuangalia msaada wa mtu binafsi kwa jamii husika. Askofu Gwajima ambaye ni kiongozi wa kiroho upande wa Wakristo na mgombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM anaweza kuwa msaada mkubwa...
  4. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Armenia - Azerbaijan Military and Political Turmoil: Wizara ya Mambo ya Nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio katika nchi hizo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Wizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio Armenia pamoja na Azerbaijan? Kuna mapigano makubwa ya kijeshi yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo leo baina ya nchi hizo mbili...
  5. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi hii Serikali inayodai inawatetea wanyonge, inawezaje kutapanya pesa kwa kusambaza mabango na "kuprint" T/shirt za kusambaza nchi nzima?

    Kila unapotembea hivi sasa katika nchi hii utayaona mabango kwa maelfu, ya wagombea wa CCM yakiwa yamebandikwa sehemu mbalimbali za kuwanadi wagombea wao kwa uchaguzi mkuu ujao. Vile vile katika kila mkutano wao wa kampeni, utaona mashabiki wao, wakiwemo watoto wadogo wanaosoma shule za msingi...
  6. Wacha

    JamiiForums Tanzania Chama kilichoshindwa kujenga Ofisi kinaweza kujenga nchi

    Chama ambacho kimewadhulumu wabunge wake kwa michango na kushindwa kujenga Ofisi kwa miaka zaidi ya 25 kinaweza kweli kujenga nchi?
  7. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni maelekezo gani mgombea Urais kapokea kutoka nchi za nje?

    Wakuu Salaam; Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani? Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi kuwa kuna kibaraka anapokea maelekezo toka nje. Jana pia Polepole kalilia hicho. Mgombea Urais...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi mlishampanga mshindi wa Urais?

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi mlishampanga mshindi wa Urais? -------------- Tume ya Taifa ya Uchaguzi imejiaibisha kwa mara nyingine tena. Kumuita mgombea wa Chadema Tundu Lissu kwenye Kamati ya Maadili kumtaka ajieleze kwanini anasema lazima atashinda uchaguzi huu ni wazi Tume hiyo Ina mshindi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii hawawasaidii tena CCM, Watu wanataka kusikia kuhusu masuala yanayohusu nchi yao!

    Watu wa sayansi wana kitu wanakiita saturation point, yaani ni point ambayo hata ukiongeza kitu fulani kilichokuwa na matokeo chanya kwenye mchakato fulani hapo awali, basi kitu hicho kinakuwa hakina msaada tena kwenye kuuongezea kasi mchakato huo. Sasa kwa kampeni hizi za CCM, Wasanii kweli...
  10. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania NI kweli wapinzani wakishinda watauza nchi?

    Ukweli NI kuwa kashfa na taharuki iliyowekwa kwa wagombea wa upinzani NI kubwa Sana na inapenya vilivyo kwa watu kuliko ata maneno anayosema Tundu zidi ya serikali. 1. Huitwa vibaraka wa mabeberu na wametumwa na mabeberu. 2. Huko singida nilisikia NI watu wenye mpango wa kuuza nchi. 3. NI watu...
  11. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Nkome Geita Vijijini: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii tumalize tatizo la wavuvi

    NKOME, GEITA VIJIJINI WANANCHI WA NKOME WANANYANYASWA KWA KUPOKONYWA NYAVU NA KUWEKWA NDANI NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII TUMALIZE TATIZO LA UNYANYASAJI"PROF. LIPUMBA" Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Prof. Lipumba amesema hayo katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kata ya...
  12. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Wanawake nchini hawapati huduma bora wakati wa kujifungua, nichagueni kuwa rais nitatoa huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito

    WANAWAKE NCHI HII HAWAPATI HUDUMA BORA WAKATI WA KUJIFUNGUA NICHAGUENI KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA BUKOBA MJINI Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka...
  13. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu akishinda urais, nchi italipuka kwa shangwe isiyo ya kawaida

    Mapokezi anayopata Tundu lissu kila mahali anakopita ni ishara ya watu kuchoka na watu wamechoka kweli kweli wala siyo utani. √ Vijana wanalia na ukosefu wa ajira √ Watumishi wanalia na nyongeza ya mishahara √ Wastaafu wanalia na malipo yao ya uzeeni √ Wajasiriamali wadogo wanalia na...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuigawa nchi katika majimbo ni kukiuka misingi ya nchi ,kila nchi ina misingi yake

    Kila nchi ina misingi yake iliyowekwa na waasisi wa nchi hizo.ziko nchi mpaka sasa wanaangaika kuweka misingi ya amani ili wapate maendeleo lakini mpaka sasa bado.Mfano wa nchi hizo ni Somalia,Burundi,Congo,central Africa, Sudan, nk.kwa kukosa misingi inayowaweka wananchi wake pamoja wakajiona...
  15. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asipokuwa Rais nitahama nchi

    Kukutane baada ya tarehe 28)10/2020 tutapata majibu hapa hapa kwa sababu naamini Tundu Lissu atakua Rais wa nchi hii ingawa atatangazwa kwa taabu sana. Ushindi wake umedhihiri kila ninapopita mtaani wanasema ni aheri Lissu anaweza kuleta amani kwenye nyoyo zao, wanasema aheri Lisu atawaletea...
  16. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu haina dini: huyu mgombea anayezunguka na 'viongozi' wa dini wakimnadi, anapeleka wapi taifa letu?

    Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu. Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano...
  17. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Serikali kwanini wahitimu wa bachelor of arts with education wasiwe mawakala wa ttcl na airtel nchi nzima wakati wakingoja fursa

    Najua vijijini na kwenye kata hakuna mawakala wa ttcl na airtel, kwanini msiwaajili walimu hawa wanaojua customer service vizuri wakawa mawakala kwa kuwapa mafunzo kidogo ya kutatua matatizo ya mtandao. Mh Dr. Jakaya Kikwete aliwahi sema 'degree yeyote mtu anaajiliwa kazi yeyote kutoa sheria na...
  18. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani hawako serious kabisa kuiongoza nchi, sijui ni uvivu ama la

    Habarini Katika kutafakari tutafikaje 28 october, likanijia hili wazo tena fikra za kuanzia at family level Kwenye familia, vikao vya kifamilia vikikaa yule mwenye uafadhali kimaisha ndie mara nyingi anakuwa anasikilizwa na kupewa majukumu ya kiuongozi the same as katika ukoo Kwenye ubunge...
  19. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

    Waungwana, Chunguzeni leo hii nchi zote ambazo ni kinara wa mfumo wa Serikali za majimbo (federal government) duniani ni nchi ambazo zilikuwa zinakabiliwa Sana na tatizo la kukosa umoja wa Kitaifa kutokana na Vita, udini au Kukosa lugha ya kuwaunganisha. Marekani walikuwa mataifa huru 50...
  20. Planett

    JamiiForums Tanzania Account za Youtube maarufu zaidi kwa kila nchi

    Kwa Tanzania youtube account maarufu zaidi ni YOUNG TUBERS japo kwa upande wangu ndio mara ya kwanza naisikia leo.
Back
Top Bottom