Mheshimiwa Jaffo, wakati ule Halmashauri nyingi zikiwemo zile zenye nguvu ya kiuchumi zilipokuwa zikishikiliwa na kuongozwa na UPINZANI, Serikali yenu iliamua kuzinyang'anya ukusanyaji wa mapato. Kwa sababu hali ile haikuwa ya kawaida, wengi tulijua kuwa mlifanya vile ili kuwakomoa viongozi wa...