Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la 76 New York, tarehe 23|9|2021, fahari iliyoje kwa nchi yetu

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
1,485
2,000
Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa

Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote.

Nikwamara ya kwanza Rais wa JMT anafika mwenyewe Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

Pamoja na mambo mengine Mhe Rais pia atahudhuria kilele cha mikutano ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi, Usalama wa chakula duniani pamoja utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo endelevu ( SDGs)

Bilashaka atashangaza ,atastaajabisha wengi,

NINI MATARAJIO YAKO?


IMG-20210917-WA0062.jpg


IMG-20210923-WA0081.jpg


Screenshot_20210923-194130.png
 

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
48,699
2,000
Ina maana Rais anakwenda peke yake? Rais mstaafu nae atakuwepo kwenye msafara
 

Chikuvi2021

Senior Member
Aug 3, 2021
136
250
Tanzania itaishia tens kwenye ramani ya dunia,Kama enzi za Mwalimu Nyerere.nchi yetu ilifahamika na kuwa na marafiki wengi Sana duniani.
 

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,374
2,000
Mama ni raisi mwenye malengo ya kweli ya kutuletea maendeleo na uchumi imara, ila kuna wachumia tumbo na waroho wa madaraka wakataka kumuharibia mama mipango yake ili akwame, na hatimae baadae waje waseme kuwa raisi alishindwa kutuletea maendeleo, na kutatua changamoto zetu.

Wanasiasa njaa hawa wakaja na mikakati ya ajabu ajabu kama vile kudai katiba mpya, huku wakificha za kwao zinazowapa uwezo wa kuwatawala mazombi yao, nyumbu wao na wasomi uchwara wa vyama vyao kwa muda usiojulikana.

Pia lengo lingine ilikuwa ni kumtoa raisi katika mambo muhimu anayopanga kuyafanya kwa faida ya nchi yetu, kama vile kutumia hela za tozo na kodi za watanzania kujenga shule kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa elimu kwa watoto wetu, hospital kwa ajili ya kuturahisishia huduma za afya kwetu na kwa watoto wetu, barabara na maendeleo mengine mbali mbali.

Wanasiasa hawa uchwara na waliofilisika ki mawazo na hoja walihitaji raisi aache mambo hayo ya msingi na badala yake hela hizo zielekezwe kwenye vikao vya katiba, na hatimae ziwafaidishe wao na familia zao huku wananchi ambao hawajitambui wakiendelea kurubuniwa na wanasiasa hao wachovu.


images (26).jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom