nchi

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania zinazidi kupunguza vikwazo vya biashara baina ya nchi hizi mbili

    Baada ya Rais Uhuru na Samia kutoa agizo kwamba mazungumzo yafanyike ili kuondoa vikwazo vya kibiashara, juzi wakuu wa serikali hizi mbili walifanya kikao cha siku tatu huko Mombasa na kukubaliana kuondoa vikwazo 12 zaidi. Sasa vikwazo 18 pekee ndio vimesalia na vitaondolewa kabla ya mwaka huu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kama nchi inakuthamini, urafiki unakuwa wa kudumu

    Na Fadhili Mpunji Niliposoma maoni ya Rais Xi Jinping kwenye barua aliyoiandika tarehe 14 Septemba kukumbuka mchango wa Bw. Edgar Snow, Bw. Shafick George Hatem, Bw. Louis Eli, na Bw. Israel Epstein nilifarijika sana. Kilichonifanya nifarijike ni kwamba bila kujali wewe ni nani, uliotoa mchango...
  3. JamiiForums Tanzania TRA tuacheni Watanzania tukuze uchumi wa nchi yetu mnatubana sana punguzeni njaa zisizo na tija kwa Taifa

    Sio kwamba msikusanye kodi hapana ila Kuna mambo mengi TRA wanafanya ambayo yamekua ni kero kwa wafanya biashara unakuta mtu katoka na mzigo China Ile kutua tu AirPort anakutana na msururu wa TRA apo na wapo serious vibaya mno wanakagua mzigo mmoja baada ya mwingine. Unakuta mtu kabeba simu...
  4. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Guinea conacry yametufundisha kwamba wenye nchi ni wanajeshi

    Nimetafakari Sana mapinduzi mengi duniani na hasa haya ya hivi karibuni ya Guinea conacry kumbe kimsingi kabisa wenye nchi ni wanajeshi na sio hawa wanasiasa wanaotusumbua kwa vimidomo vyao. Dombouya alipompindua rais wake aisee rais alikuwa mpole Sana alikaa kwenye Kochi kwa utulivu Kama...
  5. JamiiForums Tanzania Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

    Wanaukumbi. Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN. Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu...
  6. JamiiForums Tanzania Mkutano wa UN ni gulio la kununua viongozi wa nchi zinazoendelea

    Utashangaa viongozi waliopatikana kwa njia za kidemokrasia, wizi wa kura, mapinduzi na ving'ang'anizi madarakani eti wote wanajiita marais waliostahili kutumia kodi za mataifa yao kuhudhuria mkutano. Wakubwa wanachojali pale sio ulipatikanaje kuwa Rais wa nchi yako, bali nitapata nini kutoka...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi 15 zisizo na maambukizi ya COVID-19 duniani

    Tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa UVIKO19 katika jimbo la Wuhan nchini China, maambukizi ya virusi hivyo yamepindukia visa milioni 200 huku zaidi ya watu milioni 4.5 wakipoteza maisha. Kubadilika kwa aina za virusi vya corona kama Alpha, Beta, Delta nk., kunaongeza chumvi...
  8. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Katiba ya nchi si takwa la watawala, hulazimishwa na wananchi

    Kuna mtu anaweza kuja na nadharia zake dhaifu kupinga lakini huu ndio ukweli. Hakuna mtawala aliyewahi kukubali kukaa chini na kupendekeza mabaliko ya katiba bila msukumo kutoka kwa wananchi kupitia matukio magumu yatakayomlazimu kukaa kupatanishwa na mahasimu wake. Alipata kuyasoma haya...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya kodi na matumizi ya kodi?

    WanaJf, Salaam! Nimefanya utafiti mdogo kwenye sekta ya viwanda nikagundua mrundikano wa tozo, kodi, na ushuru vinavyotozwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa mfano kwa wilaya ya Bukoba mmiliki wa kiwanda cha kuongeza tofali za block hukutana na kodi, ushuru na tozo hizi:- (i)...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nchi haijengwi kwa ubazazi na visasi

    Aidha ripoti ya maendeleo ya binadamu ya mwaka 2013 iliyozinduliwa na Umoja wa Mataifa, ilibainisha zaidi ya nchi 40 zinazoendelea zilifanya vizuri zaidi ya matarajio katika maendeleo ya binadamu ndani ya miongo iliyopita karibuni, huku mafanikio yao yakiserereka pasina kushuka kasi na viwango...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Vodacom Mnakiuka Agizo na makubaliano mliyofanya na Serikali

    Wanajukwaa kuanzia leo nimeona mabadiliko kwenye Akaunti yangu ya Mpesa upande wa Tozo za kutuma Pesa kwenda Mitandao mingine na kwenye Tozo za lipa kwa Simu Ndo kusema kuwa vodacom wanapuuza Makubaliano waliyoyaweka, Watanzania wanyonge Tunalia na Tozo hizo!
  12. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenichoka, amehama kabisa nchi

    Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa.. Nifanyeje wanazengo na bado nampenda?
  13. JamiiForums Tanzania Endapo 1985 Nchi yetu ilikuwa imeendelea kwa kiwango Cha kuruhusu vyombo vya habari kuripoti kesi ya uhaini kesi ya Mbowe ina nini?

    Kesi ya uhaini hukumu yake Ni kifo na Ugaidi hukumu zake Ni hafifu zaidi Ni kitu gani kinaipa serikali yetu hofu ya kutaka watu wasijue kinachoendelea mahakamani? Ingekuwa nchi za wenzetu kesi hii ingekuwa live luningani hapa kwetu Kuna shida gani? Kama mnabisha ushahidi upo hapa kesi...
  14. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa raia wa nchi za Afrika wanaoishi Ulaya na Marekani juu ya Hayati Rais Magufuli

    Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM. Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Maafisa Uhamiaji walioko mkoani Sumbwawanga(Kanongo) wanaongoza kwa kuwadhulumu wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi

    Maafisa uhamiaji mkoani Sumbawanga (Kanongo) wanaongoza kwa kuchukua rushwa na kuwasumbua wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi. Leo nikiwa kwenye gari nimeshuhudia wakongo mani waliokuwa na vibali vyote kupita nchini Malawi wakisumbuliwa na kulipishwa fedha nyingi dola 300 kila mmoja...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la 76 New York, tarehe 23|9|2021, fahari iliyoje kwa nchi yetu

    Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote. Nikwamara ya kwanza Rais wa JMT anafika mwenyewe Baraza Kuu la Umoja wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini ufuate bidhaa au mzigo nje ya nchi?

    Huu ni ujumbe mahsusi kwa wawakilishi wa makampuni, viwanda na biashara zote wakiwemo wajasiriamali. Hakuna sababu ya kuhangaika na safari za nje ya nchi kufuata bidhaa au huduma. Ni upotevu wa muda, gharama na kujiingiza kwenye hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa hatari wa Uviko19...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna wakati mwingine wowote zaidi ya sasa wapinzani kuchukua nchi kama kungekuwa na wapinzani wa kweli

    Kama tungebahatika hata kupata chama kimoja tu kinachojiendesha kitaasisi hapa Tanzania, 2025 tunge zungumza mengine, maana kilamtu leo anajua kuwa CCM inakuna nazi. Lakini lolote linaweza tokea kwani mama tayari amesema kunavijicho choko ndani tena vinapitia kwenye vijigazeti vya Uhuru.
  19. F

    JamiiForums Tanzania BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Afrika, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

    BBC wa ajabu Sana hawa. Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12. 1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC. Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya pili Afrika kwa Uhuru wa kutoa maoni baada ya SA iko chini kidogo ya UK, CHADEMA mnalijua hili

    Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kuwa na Uhuru mkubwa wa kutoa maoni baada ya Africa kusini iko chini kidogo ya Uingereza|| Je! CHADEMA mnalijua hili?! " Hakuna kama Samia " GOODNEWZ: Tanzania rasmi nchi ya pili Barani Africa kwa uhuru wa kujieleza|kutoa maoni baada ya Africa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…