nchi

  1. JamiiForums Tanzania Tunaifungua nchi kiuchumi sawa; nani aliifunga?

    Habari za majukumu wadau, Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano. Ujumbe wa kongamano hilo ni "...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma au hapo Magogoni, lazima nizunguke nitoke nikaonane na watu" Ameeleza hayo leo katika Uzinduzi wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nani amsimulie Rais Samia namna madini yanavyotoroshwa nchini?

    Nadhani simulizi ya wizi inaweza kusimuliwa vyema kwa Mkuu wa nchi ikadhibitiwa kwani yeye anamiliki vyombo vyombo vya udhibiti. Naomba nichokonoe wizi huu wa madini ili wanaohusika wazibe palipotoboka. Wizi unaweza kufanywa Kwa sababu mwizi amedhamiria kuiba lakini pia wizi unaweza...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Uthubutu wa Rais Samia unaifungua nchi kiuchumi na kimataifa

    SHAKA: UTHUBUTU WA RAIS SAMIA UNAIFUNGUA NCHI KIUCHUMI NA KIMATAIFA Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitoa salaam za Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme kilichopo kata ya Kisarawe II wilaya ya Kigamboni...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Joseph Kasheku Msukuma: Sasa nina hadhi kubwa duniani kisiasa. Naweza kuitwa nchi yoyote kuwa msuluhishi wa kisiasa

    "PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake tunaweza. Tanzania ninakupenda nchi yangu

  7. JamiiForums Tanzania Britanicca ndani ya Korea Kusini na Kaskazini Kwa miezi 8, week ya awali yawa ngumu Kwa kukiuka Utaratibu wa nchi husika

    Ni mara yangu ya pili kufika Pyangyong ! Ni kazi zetu hizi hizi ambazo Kwa manufaa ya wengi si vema kuzisema sema! Mwaka 2017 nilienda Korea kaskazini na nikakuta mashart magumu sana ambayo Kwa mtu asiye mvumulivu anaweza akajuta Kwenda ! Mashart kama vile 1. Kusindikizwa na wazawa wawili Kama...
  8. JamiiForums Tanzania Uwekezaji: Sio Kila Uwekezaji na Kujenga Nchi, Mwingine ni Kuvuna tu, Uwekezaji wa Total Energies kujenga Nchi!

    Wanabodi, Jukwaa la Siasa: Hapa Jukwaa la Siasa JF, mada nyingi ni mada za politiking, yaani kupiga siasa, lakini sii wengi wanajua kuwa hata mambo ya uchumi mkubwa ni siasa!, hapa tunazungumzia political economy, Siasa Uchumi. Kila nipatapo fursa, huwaletea zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

    Leo kwa mara ya kwanza Rais Samia amekuja hadharani na kukiri wazi kuwa anaongoza serikali iliyogawanyika vibaya, amezungukwa na wasaidizi wanao mhujumu wazi wazi na yuko kwenye vita kali ya kuupambania urais wake kwa hali na mali. Hali ni tete mnoo kwake, na hatakubali! Bila kumumunya maneno...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Samia kuwa Rais nilidhani ni lazima Rais wa nchi atoe hotuba ndeefu

    Katika marais wote niliowashuhudia katika utu uzima wangu sijawahi kushuhudia rais anayeongea kwa kifupi kama huyu wa awamu ya sita. Anaongea kwa ufupi na mara tu yale aliyokusudia kuwasilisha yakiisha anamaliza hotuba yake. Kwa kuwa nilizoea kusikia hotuba ndeefu za marais waliotangulia...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, usijenge Bandari ya Bagamoyo utaiua nchi kabisa

    Nipende kumuomba CDF amshauri Rais asijenge Bandari ya Bagamoyo kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kuliua Taifa Kabisa. Nimemuomba CDF kwani yeye ndiye mkuu wa majeshi ya Ulinzi, na ulinzi ni pamoja na kuangalia uhai wa Taifa, sio kwa mtutu wa Bunduki tu na mizinga bali hata kwa ushauri wenye...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Makamba nchi zinazozalisha mafuta haijaleta tija kama alivyotangaza

    Ndugu zangu, Miezi ya hivi karibuni Waziri Makamba alitembelea nchi za ghuba zinazoongoza kwa uzalishaji wa mafuta ulimwenguni.Baada ya kurejea alituhakikishia kuwa mwezi Disemba mwaka huu mafuta yatashuka bei kwani kafaniiiwa kuwashawishi wazalishaji ili Tanzania kupitia TPDC inunue mafuta...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa kusimamisha nchi trh 3/12 katika mahojiano maalum na TBC

    Tarehe 3/12/2021 siku ya Ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana. Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake. Itakumbukwa vizuri kuwa toka...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi ya viwanda - Pan Paper’s Sh500m unit starts operation

    The billionaire Rai family has commissioned a second Sh500 million paper machine at the Webuye-based Pan African Paper Mills that is set to double its current production to 40,000 tonnes per year as it aims at full revival. The plant has been operating with only one production line since it...
  15. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iliyoshindwa kujifanyia mageuzi inatuaminishaje tukiwapa nchi watafanya mageuzi?

    Tunashuhudia wafuasi wa CHADEMA humu mitandaoni wakiwa na imani kubwa sana na chama chao huku wakiwaamini viongozi wao mithili ya miungu watu kwamba eti tukiwapa ridhaa ya kuongoza nchi basi watafanya mambo makubwa kwelkweli. Mbaya zaidi ni kwamba hata inapotokea failure ya mtu binafsi ndani...
  16. JamiiForums Tanzania Ramaphosa: Hakuna sababu za Kisayansi za kuweka marufuku ya kusafiri kwa nchi za Kusini mwa Afrika

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani zilizoweka vikwazo vya usafiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrika yaliyobainika kuwa na maambukizi ya aina mpya ya Virusi vya Corona kuondoa vikwazo hivyo. Katika hotuba yenye urefu wa dakika 29, Rais Ramaphosa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

    Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi yetu inawezaje kuwa Tanzania ya viwanda bila kupitia daraja liitwalo mapinduzi ya Kilimo?

    Nchi nyingi zilizoendelea duniani zote zilipitia katika mfumo wa mapinduzi ya kilimo kwanza kabla ya viwanda. Katika karne ya 18 huko uingereza na marekani mapinduzi ya kilimo ndio yaliyoleta mapinduzi ya viwanda hadi hii leo tunaziita nchi za viwanda. Je mapinduzi ya kilimo ni nini? Ni...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwa viongozi wa nchi hii, kuomba mvua ni kupoteza muda tu

    Wananchi wanalia kila kona nchi hii kuhusu KUKOSEKANA KWA HAKI. Hii maana yake viongozi walioko mamlakani ama wamebariki au wameasisi udhalimu huu. Tulitegemea viongozi wa dini wawe wakali na wakemee udhalimu huu, lkn wamekaa kimya. Maana yake ni kwamba viongozi hawa wa dini pia wamebariki...
  20. JamiiForums Tanzania Ni Mwambe au Kikwete yupi muongo kuhusu mkataba wa Bagamoyo?

    Nimeona wengi wakimshutumu Mwambe, lakini inawezekana Mwambe akawa yupo sawa Ila kikwete ndio aliongopa. Tarehe 17/10/2015 ilifanyika hafla ambapo raisi mstaafu J Kikwete alizindua jiwe la Msingi kwa ajili ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Hadi kufikia hatua ya kuweka jiwe la Msingi tafsiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…