Britanicca ndani ya Korea Kusini na Kaskazini Kwa miezi 8, week ya awali yawa ngumu Kwa kukiuka Utaratibu wa nchi husika

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Ni mara yangu ya pili kufika Pyangyong !
Ni kazi zetu hizi hizi ambazo Kwa manufaa ya wengi si vema kuzisema sema!

Mwaka 2017 nilienda Korea kaskazini na nikakuta mashart magumu sana ambayo Kwa mtu asiye mvumulivu anaweza akajuta Kwenda !

Mashart kama vile
1. Kusindikizwa na wazawa wawili Kama waangalizi wa mgeni aingiaye

2. Ku surrender simu kwenye baadhi ya Mamlaka Au kuto ruhusiwa kuwa na mawasiliano yeyote nje ya Norh Korea

3. Internet haikuwapo (very limited) Kwa baadhi ya maeneo ya maafisa wa ngazi za juu za Usalama!

4. Kumbi za starehe na miziki zinacheza nyimbo maalumu Kwa uangalizi

5.Kama passport yako una stamp ya ama Britain 🇬🇧 / USA 🇺🇸 / Israel 🇮🇱 ni matatizo

6. Kwenda kwenye Locales zao kuliport kila baada ya Masaa 12 Kama roll cal

JE SAFARI HII MAMBO YAKOJE

Tuanze na Kionjo cha video hapa ni maeneo kadhaa

Video 2

Kadri siku zinavyoenda inaonekana bwana kiduku anaanza kulegea na kuendana na dunia inatakaje yaliyobadilika mpaka sasa

Pamoja na kwamba kila saa 12 Utaratibu wa Kwenda Freedom square kulaani vitendo walivyofanyiwa na Marekani Kwa kukaa Kimya ukionesha ishara ya kusikitika dakika 2 yaan 120 seconds mambo mengine mengi yamebadilika!

Hawazuii sana kupiga picha Kama zamani!!

Wageni hawazongwi sana kama zamani

Ku repot kwenye locale ni mara moja Kwa week siyo kila siku !

Waangalizi wa Kuchunguza shughuli ya mgeni hawapo close kama zamani!

Kwa sasa unaweza nyoa style yeyote ya nywele ila isifanane na ya KIM mwenyewe!

Mtandao wa internet Uko vizuri!!

Maendeleo yameanza kuwapo Korea kaskzini bajeti ilokuwa inagengwa 60% Kwenda jeshini now inaenda 35 tu!

North Korea wameruhusu mashirika ya Kimataifa kama msalaba mwekundu ambao walikuwa wame wa piga stop!

Japo Bado ndege ya Kwenda Korea ni Moja Air Koryo ila wageni wanakuja Kwa wingi ndani ya nchi hii!

Muhuri wa US Au Israel ndani ya Passport haikuzuii sasa kuingia!!

Hakuna kupewa special SIM card airport tena!!

Japo wameniweka ndani masaa 3 Kwa Ku record video moja Lakin wakaniachia Kwa mashart ya kuzifuta . NILI RECORD MAGARI YA FAMILIA YA JAMAA YAKE KIM WANAVYOFUNGA BARABARA AKIENDA SUPERMAKRT

nitaandika mengi

KIDUKU KALEGEA

Kuhusu Ukahaba Upo Ila kwa kujificha Sana na wanakulana tu
 
Korea kaskazini bado Iko gizani sana Tanzania iliziishi hizo scenarios 1970 to 1980s, NK waache ujinga wafungue nchi aisee
Mbona bado hapa kwetu ukoministi unaendelea hapa waulize ndugu zangu CCM wanatawala toka mwaka gani mpaka sasa
 
Rais wako si kafungua nchi? Umefaidika na kipi?
Nimefaidika na mengi sana yasiyo na idadi kujifungia mwenyewe ndani ni kujinyima fursa za kyshirikiana na wengine dunia imekuwa kijiji
 
Mbona bado hapa kwetu ukoministi unaendelea hapa waulize ndugu zangu CCM wanatawala toka mwaka gani mpaka sasa
Ccm ndio inatawala lakini tumevuka level nyingine za kimaendeleo tofauti na style ya Nyerere ka ya NK watu walikuwa wanakosa Hadi nguo za kuvaa kisa sera ka za Korea huoni mwinyi alifungua nchi aisee
 
U communist ni shida sana. Ndiyo maana hata Tz bado bado sana
U communist ni uongozi wa ulemavu wa akili Sasa huko Korea internet inatumiwa na wakubwa tu wakija kwa Raia wanajifamya wao ni watabiri na Wana akili, kumbe wanaangalia vitu vinavoendelea dunia, Raia mnachaguliwa Hadi Cha kufikiria na habari gani mpate huo sio utumwa
 
Ni mara yangu ya pili kufika Pyangyong !
Ni kazi zetu hizi hizi ambazo Kwa manufaa ya wengi si vema kuzisema sema!

Mwaka 2017 nilienda Korea kaskazini na nikakuta mashart magumu sana ambayo Kwa mtu asiye mvumulivu anaweza akajuta Kwenda !

Mashart kama vile
1. Kusindikizwa na wazawa wawili Kama waangalizi wa mgeni aingiaye

2. Ku surrender simu kwenye baadhi ya Mamlaka Au kuto ruhusiwa kuwa na mawasiliano yeyote nje ya Norh Korea

3. Internet haikuwapo (very limited) Kwa baadhi ya maeneo ya maafisa wa ngazi za juu za Usalama!

4. Kumbi za starehe na miziki zinacheza nyimbo maalumu Kwa uangalizi

5.Kama passport yako una stamp ya ama Britain / USA / Israel ni matatizo

6. Kwenda kwenye Locales zao kuliport kila baada ya Masaa 12 Kama roll cal

JE SAFARI HII MAMBO YAKOJE

Tuanze na Kionjo cha video hapa ni maeneo kadhaa wakionesha michezo Yao

View attachment 2033872
Video 2

Kadri siku zinavyoenda inaonekana bwana kiduku anaanza kulegea na kuendana na dunia inatakaje yaliyobadilika mpaka sasa

Pamoja na kwamba kila saa 12 Utaratibu wa Kwenda Freedom square kulaani vitendo walivyofanyiwa na Marekani Kwa kukaa Kimya ukionesha ishara ya kusikitika dakika 2 yaan 120 seconds mambo mengine mengi yamebadilika!

Hawazuii sana kupiga picha Kama zamani!!

Wageni hawazongwi sana kama zamani

Ku repot kwenye locale ni mara moja Kwa week siyo kila siku !

Waangalizi wa Kuchunguza shughuli ya mgeni hawapo close kama zamani!

Kwa sasa unaweza nyoa style yeyote ya nywele ila isifanane na ya KIM mwenyewe!

Mtandao wa internet Uko vizuri!!

Maendeleo yameanza kuwapo Korea kaskzini bajeti ilokuwa inagengwa 60% Kwenda jeshini now inaenda 35 tu!

North Korea wameruhusu mashirika ya Kimataifa kama msalaba mwekundu ambao walikuwa wame wa piga stop!

Japo Bado ndege ya Kwenda Korea ni Moja Air Koryo ila wageni wanakuja Kwa wingi ndani ya nchi hii!

Muhuri wa US Au Israel ndani ya Passport haikuzuii sasa kuingia!!

Hakuna kupewa special SIM card airport tena!!

Japo wameniweka ndani masaa 3 Kwa Ku record video moja Lakin wakaniachia Kwa mashart ya kuzifuta . NILI RECORD MAGARI YA FAMILIA YA JAMAA YAKE KIM WANAVYOFUNGA BARABARA AKIENDA SUPERMAKRT

nitaandika mengi

KIDUKU KALEGEA
View attachment 2033872
Hukula tunda kimasihara?
 
Nimefaidika na mengi sana yasiyo na idadi kujifungia mwenyewe ndani ni kujinyima fursa za kyshirikiana na wengine dunia imekuwa kijiji
Sasa kama huwezi kuelezea jinsi ulivyonufaika, huoni hizo ni kamba?
 
U communist ni uongozi wa ulemavu wa akili Sasa huko Korea internet inatumiwa na wakubwa tu wakija kwa Raia wanajifamya wao ni watabiri na Wana akili, kumbe wanaangalia vitu vinavoendelea dunia, Raia mnachaguliwa Hadi Cha kufikiria na habari gani mpate huo sio utumwa
Hata Tz tunachaguliwa habari za kuandika , kuchapisha & kutangaza . U communist ni hovyo na haijawahi kuitoa nchi yoyote mrisi .

Wewe , Seul watu wanakula maisha, huku Pyongyang ni kumtukuza kiongozi na genge lake linalotawala !! U communist ni hovyo kabisa
 
hongera kwa kupata safari mkuu,naona mambo yaliyokuwa yanakuliza moja wapo ni nights
IMG_3618.jpg
 
Back
Top Bottom