Yaani kigamboni pamekaa kushoto sana, pantoni zenyewe magumashi tupu, kuna muda usiku huwezi kupata huduma. Kuishi kigamboni ni sawa na kuishi Bujumbura tu. Changamoto ni nyingi...
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.
• Algeria 🇩🇿
• Angola 🇦🇴
• Congo DR 🇨🇩
• Egypt 🇪🇬
• Guinea 🇬🇳
• Libya 🇱🇾
• Morocco 🇲🇦
• Nigeria 🇳🇬
• South Africa 🇿🇦
• Sudan 🇸🇩
• Tanzania 🇹🇿
• Tunisia 🇹🇳
Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu wangapi wanapata ujauzito kwa Siku .
Hivyo kwa Uzoefu wangu nitakuja na Takwimu ambazo zitareflect kidogo...
It's advantage mikopo yake hutolewa haraka sana baada ya bank kujirizisha na thamani ya asset iliyopo na actually value it has,
It's loan are very fast even good for businessmen.
Kwa kile kinachoonekana kama kupaniki,kujishtukia & kupatwa na uoga nchi maskini ya Ulaya,Poland imeamua kufanya maamuzi ya ajabu ya kutumia mbinu zozote zile ikiwemo kukopa hovyo ili kuliimarisha jeshi lake na kujiweka tayari kwa uvamizi wa super power Russia
Kwa sasa nchi ya Poland imeamua...
Tanzania ni nchi huru kwa miaka 61 sasa.Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na raslimali nyingi kila mkoa
Tanzania ni nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo mito mabwawa maziwa na bahari.
Tanzania ni nchi yenye misitu
Tanzania ni nchi yenye mifugo mingi na wanyamapori wengi
Tanzania ni nchi yenye...
Kufuatia uvamizi wa kijeshi wa Urusi nchini Ukraine, nchi mbili za nchi za Skandinavia yaani Nordic zisizoegemea upande wowote, Finland na Sweden, zilibadili sera zao na kuomba kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO.
Kwa baadhi ya wachambuzi, uamuzi wa Finland na Uswidi ni "janga" kwa Moscow...
Habari!
Napenda tujibu swali hili kwa kutumia mfano huu.
Serikali au waziri Mchemba anapendekeza viongozi wakopeshwe magari badala ya njia ya sasa ambapo kiongozi hulikuta gari ofisini au hununuliwa jipya pindi anaposhika wadhifa fulani na kuliacha pale anapostaafu, kufa, kuhama, kufukuzwa au...
Ukweli ni kwamba kila mahali ukienda kwenye mashamba karibu Tanzania nzima utakuta migogoro ya wafugaji na wakulima. Wafugaji wengi ni wamassai na wamang'ati na wamekuwa kero kila mahali. Leo hii kuna mmang'ati kapika kambi na ngombe kwenye shamba langu Kidomole, Pwani bila kuomba au kuwa na...
Bajeti kuu ya Serikali inasomwa bungeni,huku Rais wa nchi akiwa yuko kuzurura nchi za nje?
Kwenye nchi za wenzetu huko wanakojielewa hili suala huwa lipo kweli?
Utalii wowote ambao unahusisha kuhamisha wanyama wetu kutokoka Tanzania kwenda nchi nyingine yoyote tuukatae wote bila kujali kabila, dini, jinsia wala elimu ya mtu. hata tukipewa bei gani. Hakuna nchi ambayo haijawahi kuwa na wanyama wake lakini tabia na maendeleo yao ndiyo yaliyosababisha...
Baraka Shamte ni mwanasiasa nguli visiwani Zanzibar ambae pia ni mtoto wa Waziri mkuu wa Kwanza wa Zanzibar, Mohammed Shamte amesema Rais wa sasa wa visiwa hivyo, Hussein Mwinyi hatoshi kuendelea baada ya miaka yake mitano kwisha.
Shamte amesema miaka yake mitano inakwisha na kurudia kosa ni...
Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkakini walivyo wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lakini ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.
Mexico’s president slammed NATO’s policy on the Russian invasion of Ukraine on Monday, calling it “immoral.”
President Andrés Manuel López Obrador’s did not mention NATO or the United States by name, but his comments were the latest example of his party's ambiguous stance on the invasion...
Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics
1. Algeria 🇩🇿 - tani 174 za kipimo
2. Afrika Kusini 🇿🇦 - tani 125 za metric
3. Libya 🇱🇾 - tani za metric 117
4. Misri 🇪🇬 - tani 80.73 za metric
5. Moroko 🇲🇦 - tani za metric 22.12
6. Nigeria 🇳🇬 - tani 21.37 za metric...
Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika
1 Rwanda 🇷🇼: Kaya za Rwanda hulipa wastani wa $0.26 kwa kila saa ya kilowati ya umeme, hii itatafsiri kuwa $6.24 kwa siku na $194.44 kwa mwezi.
Cape Verde 🇨🇻 : Kilowati ya saa moja ya umeme itagharimu kaya moja huko Cape Verde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.