nchi

  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Na tambi nazo zimepanda bei, hii nchi sijui tunaenda wapi

    Katika hali ya kushangaza mpaka tambi nazo wamechakachua. Kabla kulikuwa na tambi 450 kwenye pakiti moja Leo nimehasabu nimukuta tambi 410 yaani pungufu ya tambi 40. Watanzania tushtukeni na jitahidi kuhesabu vitu kabla ya matumizi Kama viberiti na tambi.
  2. The Assassin

    JamiiForums Tanzania CNN: 73% ya Wamarekani wanataka Biden asigombee 2024, hawaelewi nchi inakoelekea chini ya Biden

    Takwimu za kila siku zinaonyesha kua idadi kubwa ya Wamarekani hawamuelewi Biden na hawaelewi nchi inakoekea. Ndani ya mwaka mmoja umaarufu wa Biden umekua ukishuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni kutokana na kwamba wamarekani hawaelewi Biden anachokifanya Ikulu. Nashindwa kuelewa huyu mzee...
  3. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kwa usalama wa nchi yetu, huyu afande anafaa kuwa IGP ajaye

    Habari za asubuhi wana JF wenzangu. Ndugu zang baada ya kufuatilia kwa makini utendaji wa kazi unaofanywa na jeshi la polisi, pamoja na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na makanda wa jeshi hilo katika jitihada za kupambana na uhalifu nchini, hasa kwa mkoa wenye uhalifu mwingi kama Dar es...
  4. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa nchi za Magharibi na US kubadilika dunia inabadilika

    E bwana nachoamini hizi nchi za magharibi zisipobadilika kibiashara ,kitechnology,na uzalishaji kiukweli hapo mbeleni tutaanza kuona nchi za ASIA zinaibuka kuwa na nguvu sana. Wenzetu wa mangharibi wanauza vitu vyao ghali sana ,alafu utendaji ni ulele ,tena sometimes wanazidiwa kete...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yaendelea kupiga hatua kwenye teknolojia ya 5G, huku ikizitaka nchi nyingine kuacha teknolojia hiyo

    Fadhili Mpunji Moja kati ya sekta zenye maendeleo ya kasi duniani katika muongo huu, ni teknolojia ya habari na mawasiliano. Maendeleo ya sekta hiyo yanayotajwa kuwa mapinduzi ya tatu ya viwanda, kimsingi ni mapinduzi ya kidigitali, yanayohamisha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA)...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais kuhusu mahindi yanayosafirishwa nje ya nchi

    Nawapa tahadhari kuwa njaa inayokuja mbeleni kwa nchi ya Tanzania itakuwa ya kutisha. Jana nimeshuhudia kwa macho yangu katika mpaka wa Sirari mamia ya malori yakiwa na shehena ya mahindi yakipelekwa Kenya. Huu ni mwezi wa sita bei ya gunia moja la mahindi ni zaidi ya Tshs.130,000 maeneo ya...
  7. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Royal Tour inavyoleta neema nchini

    Baada ya uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour, watalii na wawekezaji katika sekta ya utalii wameongezeka kwa mujibu wa hoteli za kitalii Dar es Salaam ongezeko la wageni limefika asilimia 280 na Arusha asilimia 340. Kwa upande wa viwanja vya ndege miruko imeongezeka ikiwamo ndege zinazoingia...
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kigogo aliyeruhusu wanyama kusafirishwa nje ya nchi ameshapigwa chini!

    Kongole Rais Samia! Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa. Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na taratibu za wakuu wake , kutoa vibali kwa makampuni fulani fulani kusafirisha wanyama nje ya nchi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Makundi yanayopinga nchi nyingine hayafuati utaratibu wa pande nyingi

    Kundi la Nchi Saba (G7)na Jumuiya ya Mkataba wa Atlantiki ya Kaskazini (NATO) hivi karibuni kwa nyakati tofauti vitafanya mikutano ya kilele. Nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani zinachukulia makundi hayo mawili kama majukwaa ya kupinga nchi nyingine, kitendo kinachokwenda kinyume na...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wamasai, Wasukuma sasa imetosha, karne hii ya 21 muache kutembeza mifugo nchi nzima

    Naliangalia suala la Ngorongoro, Loliondo, Handeni na sasa huko Songea, Katavi na hata wale waliovurumishwa bonde la Ihefu kwa jicho tofauti. Imefika muda wenzetu hawa Waasaai, na siye wasukuma na jamii za kifugaji, inabidi kubadilika na wakati. Watu wanaisi karne ya 17 kwa kutembeza mifugo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri: Nchi yetu haijawahi kushuka uchumi wa kati chini ila uchumi wa wananchi ndio umeshuka

    Akijibu swali bungeni leo mheshiwa naibu waziri wa fedha amesema nchi yetu haijawahi kushuka toka uchumi wa kati chini tangu tulipiongia. Kilichotokea ni kushuka kwa ukuaji wa pato la taifa toka 7% hadi 4%. Ila mimi niliwahi kumsikia kiongozi mmoja akisema tulifika uchumi wa kati ila wenye...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa nchi yoyote anayeingilia majukumu ya Bunge kiasi cha kushawishi kiongozi wa Bunge ag'olewe, lazima ana nia ovu. Na haya ndio matokeo yake

    Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki. Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuia ya Madola 2022 Rwanda

    Mkutano huu ulihudhuriwa na Mwana wa Malkia aitwae Charles pamoja na mke wake Camilla Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Jonhnson na mke wake
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mionekano ya Makamanda wetu wa Majeshi ya Nchi za Afrika Mashariki

  15. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana kufahamu kwamba nchi ya Israel ina mabomu ya nyuklia 90

    Kumbe nchi hii ndogo kwa eneo ina mabomu mengi hivi ya nyuklia? Pamoja na kuzungukwa na maadui wengi, hawajawahi kutumia silaha hizo kuwaangamiza. Hii ni nchi inayojali utu. Ni nchi yenye ujasusi wa hali ya juu. Hii nchi imesaidia kulinda usalama mashariki ya kati kwa kuhakikisha iraq, iran...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mnyeti ni mfano hai wa Wabunge mizigo na anayehatarisha diplomasia ya nchi

    "ALEXANDER MNYETI" sio jina geni katika siasa ya Tanzania. Wengi wanakumbuka ugomvi wake mkubwa na waandishi wa habari mkoa wa Arusha wakati akiwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambapo chanzo kinaelezwa kuwa ni Mnyeti kumuweka ndani mwandishi wa ITV (Arusha) Halfan Liundi kwa kile kilichoelezwa kuwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Mulamula ataka migogoro katika Nchi za Jumuiya ya Madola imalizwe

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika kiti cha Tanzania wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika nchini Rwanda tarehe 20 hadi 25 Juni 2022. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Iko siku nchi nzima itakuwa giza kwa sababu ya kukumbatia walamba asali kina January Makamba

    Nasema hivi! Haiwezekani kuwa matatizo ya Tanesco yalikuwa sugu kiasi hiki Ni mwaka sasa na miezi tangu tuambiwe Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linaundwa upya na mitambo yake kufanyiwa ukarabati muda wa miezi miwili kwamba hatutaona tena kukatika kwa Umeme wala mtandao wa manunuzi ya...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la wamaasai ni mchango wao Mdogo kwenye maendeleo ya nchi

    Kabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo. 1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamaasai 2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka Morogoro mpaka Lindi ni wamasai 3. Hawapendi kuendeleza watoto wao 4. Hawalipi kodi zozote za maana 5. Hawafuati ushauri mfano ufugaji...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania 70% ya Waitalia hawataki nchi yao kumsaidia silaha Zelensky

    Wabunge wamemshikia mabango Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi wakipinga hatua ya kuisaidia Ukraine === Italy Deputies rise up against Mario Draghi “Stop sending weapons to Zelensky! More than 70% of Italians do not want to send weapons to Zelensky,” the deputies say. Mario Draghi is accused...
Back
Top Bottom