Nchi ya Marekani ndiyo muamuzi wa Dunia. Mbungea wa Kenya amemlaumu balozi wa Marekani kuwa ndiye anayeeneza ushoga nchini Kenya, pia amesema Marekani ndiyo inayoharibu dunia
Ukweli ni kuwa Kenya hailingani na Marekani hata theluthi hivyo haiwezi kupingana na Marekani, Marekani wakiamua Kenya...
Hii hapa orodha ya nchi zenye gharama ndogo kabisa za nishati ya umeme katika Afrika.
https://africa.businessinsider.com/local/lifestyle/african-countries-with-the-cheapest-household-electricity-prices/bc9kys4
Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.
Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.
Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe...
Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.
"Katikati ya lindi la yaliyotukuta Kagera, Mola atufanyie wepesi janga hili lituepuke."
Hata hivyo maisha lazima yaendelee.
Kutokea kwa majirani zetu:
Ilikuwa wiki yenye mengi kutokea Jumatatu iliyopita iliyoshuhudia kimbembe cha kufa mtu, pata shika nguo kuchanika.
Miamba miwili kila mtu...
Tumesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari kuwa Tanzania imetoa dola za Kimarekani milioni moja (zaidi ya bilioni 2 na milioni 200) kwa Uturuki iliyopatwa na janga la tetemeko la ardhi mwezi ulliopita.
Yapi Merkezi ni kampuni ya Kituruki inayojenga SGR kutoka Dar hadi Mwanza kwa zaidi ya...
Wikiendi iliyopita yaani tarehe 18 na 19 Machi, lilifanyika Kongamano kubwa visiwani Zanzibar nchini Tanzania ambalo limeshirikisha vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi vinavyotangaza kwa lugha ya Kiswahili.
Kongamano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil...
Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha
1. MAURITIUS
2. LIBYA
3. IVORY COAST
4. SOUTH AFRICA
5. GAMBIA
6. ALGERIA
7. LIBERIA
8...
Nimefuatilia kwa muda toka week ilipoanza wakati Rais wa Zambia Hakainde Hichilema alipokuwa akiwavika nishani makamanda wa jeshi la nchi yake.
Wakati akikagua gwaride ndipo mvua ikaanza kunyesha, no mwamvuli na shadow!
☝🏾Baada ya kukagua gwaride.
☝🏾Akiwa anakagua huku akinyeshewa mvua...
Mods! Tafadhari, mada hii haina uhusiano wowote na kabila la mtu, hivyo naombeni sana!
Shalomu Tanzania!
Zamani za mfalume Farao, mfalume huyu wa Misiri kipindi cha yeye kuongoza Misiri' alitoa amri ya kuwauwa watoto wote wa kiume waliotokana na wayahudi wahamiaji wa Kiisraeli katika nchi...
Wapigadili, walafi, mafisadi na matapeli wana akili sana. Kila kiongozi anayeingia madarakani humkalia kikao na kujua wapi anawashwa ili wamkune hapo hapo!
Hakuna Rais aliyewahi kuwa na mapenzi na watu wake Kwa hapa Tanzania kama Julius Nyerere lakini hatukuwahi kusikia akiitwa "Rais wetu...
Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya kulinganisha nayo hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia kingo za mipaka yake imetukinga sisi watoto wake.
Ukipitia twakimu kwa miaka...
Natanguliza shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunileta duniani na kuweza kupata uhai ambao Leo hii unanifanya naweza kufikiri Kwa mapana.
Leo katika kupitia pitia katika mitandao ya kijamii nimekutana na nukuu iliyonukuliwa wanahabari...
Hivi karibuni Serikali iliahidi kuingiza mchele toka nje ya nchi ili kupunguza makali ya bei ya mchele na nafaka zingine!
Matarajio ya watu wengi ilikuwa ni bei ya mchele kushuka na kuwasaidia watu kuweza kumuda kupata mlo
Sasa imepita miezi zaidi ya miwili lakini bado bei iko pale pale lakini...
Ripoti ya Dunia ya Furaha 2023 imetolewa. Kwa mujibu wa viwango vya Dunia Vya Furaha kwa mwaka 2023, Finland ndiyo nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa sita mfululizo. Wakati huo Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi zenye Watu wasio na Furaha duniani.
Orodha kamili hii hapa
Nchi 10...
Huu ni msafara wa raisi wa nchi ya Equatorial Guinea moja ya nchi masikini Afrika, ambayo ni sawa na mali binafsi ya dictator Nguema wakila matunda ya UHURU huku wananchi wake wakitopea kwenye umasikini.
Nilikuwa ndani ya DalaDala naelekea Mjini kwa Mambo yangu ila baada ya Kupishana na Gari Moja limewabeba Wanawake wanakata Viuno Madirishani (tena Makusudi na kwa Kuturingjshia) huku ndani wakiwa na Madela ndani bila Chupi kiukweli Hamu ya Ngono nami imenipanda na nimeamua Kugeuza na kwenda nami...
Kila la kheri kwa Jini, Predator.... mchezaji bora Afrika na katika ligi kuu ya Tanzania Bara.Tunashukuru kwa makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa ndani ya Tanzania na Afrika, sasa ni wakati wa kurejea nyumbani kuitumikia nchi yako wakati tukijipanga kufika fainali na kuchukua ubingwa CAFCC...
Kwenye Mtandao wake wa Truth Social, Donald Trump kapost hii habari.
Wakati huoo huko Twitter, Elon Musk katoa neno.
Democrats hawana Tofauti na Msoga Gang kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.